Search results

  1. C

    Matumizi ya "Dr" kwa wanasiasa wetu ni PhD au vumbi?

    Wanabodi, Katika pitapita zangu nimekutana na orodha ya watu waliowahi kutunikiwa udaktari wa heshima (Honorary Degrees) na UDSM, but jina la mkuu JK halipo. Tukumbushane, anapoitwa Dr huwa reference ni PhD ipi? au kuna chuo kingine kiliwahikumpa huo udaktari wa heshima? University of Dar es...
  2. C

    Live Updates: Mwendelezo wa kusikilizwa Rufaa ya Lema - Oktoba 02, 2012

    Mkuu rutashobya update ya mwisho nimeiona mda mrefu sasa; Kwani kesi imesimama? ------ Kimomogoro: Jukumu ni la jaji aliyetoa uamuzi kuhakikisha kuwa decree imetengenezwa. Tumetoa pia kesi ya mausi vs Arusha general store. Mahakama ilitoa mwongozo kuhusu aina ya kanuni, moja ni mandatory na...
  3. C

    Rished Bade kumsaidia Kitillya TRA

    Huyu jamaa alikuwaga MD wa Barclays. So anakwenda kuchukua nafasi iliyokuwa imeachwa na Bw Luoga. Labda ndio maandalizi ili Kitillya akistaafu yeye ndo achukue hiyo post. Sina CV yake kwa kirefu zaidi, mwenye nayo atumwagie hapa tuichambue jamani!
  4. C

    Clouds na Matusi ya Lusinde inamaanisha Nini?

    Hii hapa clip: Lusinde Matusi_0002.wmv - YouTube ya youtube
  5. C

    Ndugu watanzania ushindi wa chadema Arumeru umetufundisha nini ?

    Nimeipenda sana hii, ni ukweli mtupu! Yabidi kubadili mfumo na sera... kutengeneza mazingira ya nchi kujitegemea kuliko kuendelea kuwa tegemezi. Serikali tulio nayo imethibitisha kushindwa katika hili, tunahitaji mbada! Nilisikitika sana nilipokuwa mpakani mwa Tanzania na nchi jirani iliyopo...
Back
Top Bottom