Search results

  1. S

    Bungeni: Waandishi nao walitimuliwa

    Kwa dunia ya leo ya smart phone n.k. waache kujisumbua. Bado yote yasemwayo yatafahamika, tena recorded. Ni heri mambo yaachwe hadharani, siungi mkono kabisa suala hili. Ninalipa kodi nina haki ya kujulishwa na kushuhudia kinachoendelea ktk mihimili yote kwa usahihi na kwa wakati.
  2. S

    Mfumo wa GPA wafutwa na Waziri Ndalichako

    Hatua ni nzuri lakini ambacho atalifanyia taifa hili kwa miaka mingi tumkumbuke ni kusaidia kuweka mfumo ambao utakuwa juu ya hisia za kisiasa. Walipta kina Mungai, wakafanya yao wakapita hao kina Kawambwa wakafanya yao. Amekuja amerejesha, lakini what is next? Lini tutafoka mahali tuwe Taifa...
  3. S

    Ubadhirifu Ofisi ya CAG

    Tutenganishe majungu, kuoneana kijicho na uhalisi. Ikiwa kuna uhalisi unaoweza kuleta mashaka, uchunguzi ufanyike, hatua zichukuliwe. Ktkt ofisi mbalimbali wapo informers, kazi yao ni kuleta taarifa za ndani ili kutufumbua macho. Ikiwa hazina ukweli uchunguzi uturidhishe.
  4. S

    John Heche na kamati za bunge

    Badala ya kuendelea kulalama na kujiaminisha kuwa kazi itakuwa ngumu, wabunge wajipange kwa kufuatilia mambo, kutafiti na kutumia uwakilishi wao kusimamia serikalimndani ya Bunge. Kamati ni ngazi kuelekea kwenye forum halisi * Bunge* Waache hofu wajipange kuleta matokeo yanayotazamiwa.
  5. S

    Gesi yapeleka uwekezaji wa kihistoria Mkoa wa Lindi

    Tunahitaji kuamka, tunahitaji kusimama bila woga, jamii hii ing'ang'anie kupatataarifa kwa uwazi na kuweka mfumo wa kuwabana wabunge. Zaidi kwa kuwa mfumo ndi8 shida kubwa, naamini itakuwa hekima kama jamii kuweka msukumo kwenye upatikanaji wa katiba mpya ikijikita katika mapendekezo ya Warioba.
  6. S

    Kikwete alisema Upinzani utakiona cha Mtemakuni,Ameanza kutumia jeshi la Polisi.Tusikubali..

    Tunapaswa kuwa makini na siasa ambazo zinalenga kulisha watu wa kawaida chuki na hasira za kuja kuleta vurugu katika taifa letu. Viongozi hawa wametoka mbali, niaona shida wanapotaka kutumia nafasi zao kukomoana. Hii inapelekea kujenga taswira ya kuja kulipizana, je Taifa litapona. Ninaamini...
  7. S

    Amboni Tanga: Askari Polisi, JWTZ wapambana na majambazi wenye silaha nzito za moto

    Sio Salehe Otango ni Osale Otango tokea Kenya aliyewatesa wakoloni mno. Just for record.
  8. S

    Msome Zitto Kabwe: Kazi ya mwisho kuifanya kama PAC Chairman

    Unaposimama ukweli ni lazima tuwe watu wa mantiki. Ninapenda kuweka pembeni ushabiki wa chama na mtu. Ninalotamani wengi humu tulione ni ukweli kuwa nchi inaangamia. Mwenzetu ametuwekea mambo yaliyo na takwimu, tuangalie uhalisi wa mambo haya na jinsi tunavyoweza weka mkazo katika mirija na...
  9. S

    Picha: Kibali cha Leseni ya Gari kwa Mtanganyika akiwa Zanzibar

    NI wajibu wetu kuamua juu ya hatma yetu. Crimea ni mfano mzuri sana wa nini kifanyike. Tuache kwanza suala la katiba, tujadili na kutoa uamuzi juu ya suala la Utanganyika na sura ama hatma ya Muungano kwanza ndipo tuje suala la kujadili Katiba. Jinsi ilivyo kwa hakika Muungano utatawala mjadala...
  10. S

    Madini: Aibu,Mbona Tunayatoa Sawa Na Bure

    NAshangaa kusikia askari waliwahi eneo la tukio, ni matukio mangapi yanatokea mitaani na hawawahi? Hapo uwe na hakika hata viongozi wao wako kwenye pay list ya under carpet. ndio maana wakisikia tu ni issue ya Geita mbio. Mimi siungi mkono uhalifu, lakini hapo ni mahali pa kuanzia, wakaguzi-...
  11. S

    Uwekezaji:zijue fursa mbalimbali za kiuchumi wilayani lushoto,tanga.

    Nina mashaka kuwa haya ni mawazo ya mtu ambaye hajafanya utafiti, pamoja na kuwa Lushoto toka wakati huo, bado haikupi kibali cha kuweza kushutumu bila utafiti. Kwanza nikujulishe kuwa Lushoto kama wilaya ndiyo yenye idadi kubwa zaidi ya watu kuliko wilaya nyingine mkoani Tanga. Ina uchumi...
  12. S

    Siri za fujo za Mtwara hizi hapa: Ngwilizi afunguka

    Hivi kuna anayeweza kuwa na rekodi juu ya maneno haya Nchimbi alisema "wahusika watasakwa popote, iwe ndani ama nje ya nchi na kuwafikisha kwenye mkono wa dola" nimeyaona tena alipotoa taarifa ya mtwara. Any record na mangapi yametekelezwa?
  13. S

    kumgegeda shemeji ni sawa? wadau nisaidieni

    Pambafu... badala ya kuuliza ya maana unaleta ujinga. Hata lini tamaa itawashinda akili na roho zenu?
  14. S

    Mbatia: Milio ya kupoea simu yenye ujumbe wa kidini isitishwe mara moja

    Nilifikiri nimeliona mimi tu hilo. Hii ni janja ya wakulu kutaka kuonesha kuwa aliyekamatwa ni mkristo...lakini mbona majina ya hao wasaudia na hao waTz wengine hayajatajwa. Too foolish and too simple mind that deserves only ignoring them.
  15. S

    BUNGENI: Peter Serukamba(CCM) atukana tusi kali, "F*** you"

    Ninasikitika kusema tu ametukana bila kuonesha njia tufanyeje. Kimsingi huwa sina habari na bunge hili. Hata hivyo bado najua wanatumia fedha yangu 'kodi'. Je sisi tulioudhiwa tuna weza kufanyaje juu ya hili, ikiwa raisi, bunge na wabunge wenyewe hawaoni, je kama wananchi kwa wakti huu, sio hadi...
  16. S

    Msaada wa China: Haya ni baadhi tu ya masharti

    Ninasikitika kwa kuwa kwa nchi iliyo na utajiri mkubwa kama huu kuona kuwa tutaendelea kwa kupokea msaada ni udhalili wa akili na mawazo ya wanaofanya maamuzi. Hakuna hata taifa moja ambalo limeweza kupiga hatua ya maendeleo kwa sababu ya misaada. Ikiwa sisi tunadhani ni kwa misaada na masharti...
  17. S

    Bandari ya Bagamoyo ikijengwa CCM ijindae kwa adhabu pia

    Iondoke madarakani na kupisha wengine we are tired of it. Huo ndio ushauri wangu, anyway kwa mipango hii tayari imeshaanza kuonesha inajipanga kuondoka. Nyongeza: Yote uliyotaja hapo juu yakitekelezwa kwa kulenga faida na mafanikio na sio kuweka bomba la gesi toka Mtwara kuja Dar, au...
  18. S

    Bandari ya Bagamoyo ikijengwa CCM ijindae kwa adhabu pia

    Iondoke madarakani na kupisha wengine we are tired of it. Huo ndio ushauri wangu, anyway kwa mipango hii tayari imeshaanza kuonesha inajipanga kuondoka. Yote uliyotaja hapo juu yakitekelezwa kwa kulenga faida na mafanikio na sio kuweka bomba la gesi toka Mtwara kuja Dar, au kuhamisha goal posts...
  19. S

    Bandari ya Bagamoyo ikijengwa CCM ijindae kwa adhabu pia

    I would like to know which wise word should be of a wise thinker, when after all wisdom, sharing, tolerance and patience you end up having the plans that are changing with the blow of wind. You are given a plan in the morning, by noon they are no more, you are given a promise in noon, by evening...
  20. S

    Bandari ya Bagamoyo ikijengwa CCM ijindae kwa adhabu pia

    Kwa hili ninasema tutafanya liwezekanalo, afadhali tuwe na mpango wa majimbo kila mtu ajijue kivyake, ni shida kuwa na baba mdini, mkabila na mfitinishaji wa watu wake kwa mipango dhaifu. Tunahitaji kukasirika na kuamua kwa hasira sasa.
Back
Top Bottom