Search results

  1. WENYELE

    Natafuta Duka la Spare orijino za Mitsubishi Pajero

    Wakuu ni wapi hapa Dar nitapa duka linalouza spare orijino za Mitusbishi? Km unafahamu nipatie mawasiliano wakuu
  2. WENYELE

    Natafuta dictionary newe version ya kutoka TUKI

    Wakuu natafuta dictionary newe version ya kutoka TUKI ninayo soft copy ya hii dictionary lakini imekua ya zamani sana. Kuna mtu anayo au inauzwa wapi? Asanten
  3. WENYELE

    Chimbo la spare OG Tanzania kwa magari Mjapan yasiyo Toyota

    Wakuu nadhani ni Tanzania pekee ukiwa na gari sio Toyota spare zake kupata ni mlolongo kidogo. Nchini Kenya, Uganda au Rwanda gari yoyote una miliki na spare zipo ila Bongo ndo kipengele kingine. Nimeanzisha uzi huu tupeane tarifa ni wapi (maduka yapi) kwa TZ Dar/Mwz/Arusha/Mbeya mtu anaweza...
  4. WENYELE

    Kanipigia Analia: Kimoyomoyo nilifurahi

    Wakuu; japo si swa ila kimoyomoyo nimefurahi kijana anapelek moto. Kuna mke wa bro bahati mbay bro alitoka duniani miaka karibia 10 iliyopita; bro alikua maisha safi sana, kitengo kikubwa serikalini watoto walekua wanasoma English medium nk. Sasa alipoondoka alimwacha mjane (pisi) kali sana na...
  5. WENYELE

    Ushuhuda: Vitu vidogo vinaweza maanisha mambo makubwa kwa wengine

    Katika hii dunia tunayoishi, unaweza ukamfanyia mtu kitu kidogo tu lakini ukabaki ndani ya historia ya maisha yake. Jioni hii nikiwa nimejipumzisha na familia yangu ikawa imeingia sms kutoka kwa kijana aliyemaliza mtihani wake wa chuo wa mwisho akinishukuru. Mnaweza mkakosoa shida zake za r/l...
  6. WENYELE

    Engine Oil imejaa juu ya Maximum limit

    Wakuu gari iliwekewa engine oil ikawa juu ya maximum leo. Gari ilikua na sign ya kuvujisha oil ndo maana ikawekewa nyingi lakini sasa inaonekana oil haipunguzi. Je, hii inaweza ilaleta madhara gani kwenye engine?
  7. WENYELE

    Naomba ushauri kuhusu Bima za Magari

    Habari wakuu. Naomba msaada wa mawazo kuhusu kununua bima ya gari. Nilikua nataka kukata comprehensive, ila kuna mdau akaniambia badala ya kwenda kwa ofisi za bima moja kwa moja ni bora kupitia kwa agent. Mdau akasema ukipata shida ni rahisi kulipwa km ulikata kwa agent maana process...
  8. WENYELE

    Msaada: spare za magari yalisitiswa uzalishaji

    Wakuu kwema humu? Naomba msaada wa elimu na ufahamu kidogo? Hivi spare za magari ambayo makampuni ya magari yashasitisha uzalishaji wake huwa zinakua sokoni hadi muda gani zinakua hazipatikani tena? Mfano umenunua gari leo afu baadaye unagudua hizo gari hazizalishwi tena, je spare...
  9. WENYELE

    Ushauri: Used Car ndo imetoka Japan iko majini inakuja

    Wakuu nawatakia Jumatatu na week njema yenye mafanikio. Niende kwenye maada kwa wale wazoefu wanipe ushauri. Kwanza ni kiri kwamba jukwaa hili ndo lilinipa maamuzi ya kuagiza gari na kukwepa kupigwa hapa mjini. Gari ndo imetoka KOBE, Japan jana inategemea kufika huku mwezi wa nne. Je ikifika...
  10. WENYELE

    Nimeamua nichukue hii Ndinga; Una maoni gani ya kitaalam nauzoefu

    Awali ya yote niwashukru nyote wanajukwaa hili kwa msaada wenu mkubwa wa kuelimisha kuhusu magari hasa sisi tusio wazoefu. Baada ya utafiti kupitia humu kama miezi 6 hivi nimeamua nichukue Mitsubishi Pajero badala ya SUV mid size za Toyota. Hii gari ina cc 2970 na 127,000km, ina seat 7 na ni...
  11. WENYELE

    Utaratibu wa kubadilisha kituo cha kazi kutoka Sekondari kwenda TTC

    Heri ya mwaka mpya. Wakuu naomba msaada kwa wenye ufahamu nilisoma BED wakati ule ulikua wanapangiwa kwemda kufundisha vyuo vya ualimu lakini sikupangwa nilienda sekondari. Sasa hivi nataka nibadilishe, je ni utaratibu gani natakiwa kuufuata? Asante sana Mwl Wenyele
  12. WENYELE

    Ushauri: Nichukue gari ipi kati ya hizi?

    Nawasalimu wakuu kwa jina la nguvu na uchakalikaji wetu. Baada ya kupitia threads nyingi hapa na kujifunza mengi kuhusu magari nami natupia uzi hapa ili kupata ushauri. Kiukweli mi mgeni sana wa magari hata kuendesha si mtaalam sana ila naweza sema sijakaa na gari tu nimesota kwa miaka 8...
  13. WENYELE

    Msaada: Shule ya wasichana Advanced Level inahitajika haraka

    Wakuu, naomba msaada kupata shule ya wasichana ya Bweni ya bei kawaida Advance, itakua nzuri ikipatikana kanda ya ziwa au sehemu nyingine Tanzania. Iko hivi, mimi ni mwenyeji wa kanda ya ziwa, jana nilipigiwa simu na binti wa pale kijijini kwetu kamaliza form 4 akapata DIV III ya 25 bahati...
  14. WENYELE

    Tarehe 20/07/2020 sitaisahau, mbaya kwa watia nia nzuri kwangu

    Wakuu natumaini mko salama Niende moja kwenye mada. Tarehe 20/07/2020 ilikuwa mbaya sana kwa watia nia hasa Kigamboni. Nami upande wangu kabla jua halijazama ilikuwa mbaya sana. Kwanza kabla ya hapo COVID-19 ilikuwa imeniathiri, nilikatwa mshahara ili kuwasaidia watu wa chini yangu nao wapate...
  15. WENYELE

    Kwanini Upinzani wanafuatilia sana CCM?

    Kwa siku za hivi karibuni, wapinzani hasa Chadema na Zitto wamekuwa wakifuatilia sana mambo ya CCM. Yaani sasa hivi wanafuatilia kila move anayopiga mgombea wa urais CCM badala ya kufuatilia mambo ya kwao? Nimeona gazeti la CHADEMA, Tanzania Daima habari kuu ni CCM na humu hadi social media...
  16. WENYELE

    Ushauri: Miaka 6 kazini, mishahara haikutani

    Wakuu nina miaka 6 kazini, lakini naona hata nikiacha kazi leo sina future wala hela ya kula mwezi mmoja. Nilianza na mshahara wa laki 6 leo nina mshahara wa 2.9M lakini hadi leo sina project wala uwekezaji wowote. Nimeishia kujenga nyumba mbili tu moja kijijini nyingine mjini na zote...
  17. WENYELE

    Msaada kijana wangu kapinda mguu

    Habari wakuu, Kijana wangu wa miaka 8 alizaliwa salama cha ajabu sasa hivi mguu umepinda. Nilienda hospitali tukaambiwa mguu wake haujaunganika kwenye goti, nikampeleka Bugando ili afanyiwe operation bahati mbaya hakufanikiwa sababu ya daktari wake kutokuwepo kwa muda mrefu. Kwa kuwa alikuwa...
  18. WENYELE

    Nasikitika mshumaa umepotea

    Nina huzuni wimbo wa mshumaa wa Alikiba haukuweza kutrend youtube uliishia kushika namba mbili tu nyuma ya UNO ya Harmonize badae Baba Lao. Nilikua nategemea utashika no.1 lakini figisu hazikuisha Baba Lao,Roma akatupa jiwe gizani likawaporomosha UNO hadi baba lao kashik no.2 Maskini nikaona...
  19. WENYELE

    Diamond na Wasafi wanafanya vizuri ila kuna watu wanajifanya kutojua,Rhumba haimo kwenye nyimbo bora za mwezi EAC

    Angalieni kwenye top 10 ya nyimbo bora za mwezi hapa chini https://www.okayafrica.com/east-african-music-songs-best-month-june/
Back
Top Bottom