Si kweli mkuu; as baba wa familia you should not cross the line; fanya mambo hayo mbali; hakimisha unaofanya nao hawamjui mkeo na watakiwi kumjua kamwe otherwise utamkosea heshima sana mkeo
Wakuu natafuta dictionary newe version ya kutoka TUKI ninayo soft copy ya hii dictionary lakini imekua ya zamani sana.
Kuna mtu anayo au inauzwa wapi? Asanten
Nina almost 10yrs, mama watoto yuko active akiwa danger zone.....baada ya hapo mara chache....so wakati wa danger zone ni show show....(bila kuuza mechi) there after hamasa inashuka
Huwa hatutumii uzazi wa mpango, tunafuata Kalenda.
So sisi tunachakachuliana sana wakati wa danger...bila kuuaza mechi...yaani kila siku hadi joto likishuka (danger zone ikiisha) tunabaki tu hamna hata kitu....
Wakati wa danger ni hatari nyie....ukigusa twa na bibie mnara ushasoma...
Wakuu nadhani ni Tanzania pekee ukiwa na gari sio Toyota spare zake kupata ni mlolongo kidogo.
Nchini Kenya, Uganda au Rwanda gari yoyote una miliki na spare zipo ila Bongo ndo kipengele kingine.
Nimeanzisha uzi huu tupeane tarifa ni wapi (maduka yapi) kwa TZ Dar/Mwz/Arusha/Mbeya mtu anaweza...
Wakuu; japo si swa ila kimoyomoyo nimefurahi kijana anapelek moto.
Kuna mke wa bro bahati mbay bro alitoka duniani miaka karibia 10 iliyopita; bro alikua maisha safi sana, kitengo kikubwa serikalini watoto walekua wanasoma English medium nk. Sasa alipoondoka alimwacha mjane (pisi) kali sana na...
Katika hii dunia tunayoishi, unaweza ukamfanyia mtu kitu kidogo tu lakini ukabaki ndani ya historia ya maisha yake.
Jioni hii nikiwa nimejipumzisha na familia yangu ikawa imeingia sms kutoka kwa kijana aliyemaliza mtihani wake wa chuo wa mwisho akinishukuru.
Mnaweza mkakosoa shida zake za r/l...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.