Search results

  1. T

    Maaskofu kuipelekeka serikali mahakamani kuhusu kuchinja nyama

    Hapana hamna mwongozo. Ila point yako ni nini? Huku kijijini kwetu jamii kubwa ni wakristo kusema kweli sijasikia muislam labda mpaka mjini. Unataka kuniambia haturuhusiwi kula nyama mpaka tupeleke vitoweo vyetu mijini(kilomita 50) kisa hatuna mwongozo....sasa nikila nyama ambayo mie inaniona...
  2. T

    Kama umepita sekondari halafu hujui hii basi we kilaza

    Hapo hapo kwenye sayari....fomula nyingine; Mpenzi Veronica Dumisha Mapenzi Jibu Sipati Unataka Nisipate Pumzi
  3. T

    Watoto wa rafiki wa mke wangu ni wangu, nawahitaji

    Mimi nina kushauri kabla hujaamua kwenda mahakamani kudai hao watoto wako ni vyema ukaenda kwa mtaalamu wa saikolojia akuambia possible behavioral maladaptation watoto watazipata baada ya hiyo stress/transformation utakayowapa. Maana usije ukaona watoto wapo health physically and socially...
  4. T

    Hawa ndio wabaya wa waislamu na uislamu wenyewe kwa Tanzania...

    Ndugu yangu Chama umeshawahi kijijini kweli au kijiji chenu ni kati ambavyo serikali imekikumbuka? Unajua kuna sehemu waliya nzima ina hospital moja tu ya serikali tena isiyo na vifaa utasema ni zahanati au aliyepo ni clinical officer 1, nurse 2 na assistance nurse (wafagizi) 5 na hiyo hosp...
  5. T

    Hawa ndio wabaya wa waislamu na uislamu wenyewe kwa Tanzania...

    Yeye amechambua kwa uwezo wake ulipofikia ama kwa mazingira aliyopo amegundua hayo. Kama wewe una mtazamo zaidi ya kiwango cha mtazamo wa muuza kahawa basi itakuwa vyema kutujulisha zaidi hayo matatizo ya waislamu wenyewe na serikali na nini kifanyike sio kulalamika bila way forward. Usipende...
  6. T

    Makanisa yavunje MoU na Serikali...

    Serikali imeshindwa, usiongelee swala kwa kujiangalia wewe ambaye unaishi mjini na labda mshahara wako unakuwezesha kutibiwa au kupata huduma ya elimu sehemu binafsi. Mfano hospitali ya mkoa ya Mawenzi (Moshi) ilifungiwa vyumba vyao vya upasuaji na wakaguzi wa afya (serikali) kwa sababu...
  7. T

    Vurugu za Mbagala ni zaidi ya mnachokifahamu - Oh Tanzania!

    Nani labda amekuambia kuwa wakristu wanafundishwa kukashifu dini yenu kama huyo mtoto aliyekojolea quran? Huyo mtoto amekuwa provoked na mwenzie katika kupimana imani kama nyie mnavyojitetea mlikuwa provoked na huyo mtoto mpaka mkachoma makanisa (kwahiyo kwenye kuchoma moto kanisa na biblia nani...
  8. T

    Kipindi kigumu jimboni Kawe

    Itakuwa mnakaa nyumba moja unafurahia viroba vya unga na mchele anavyoleta nyumbani. Ila mtoa mada ameongea ukweli, maana Halima Mdee alikuwa mtu wa ahadi lukuki huku akilalama kuwa yeye ni maskini hivyo tumchangue awawakilishe wengi mana anajua machungu. Lakini tangu apite mtaa hadi mtaa...
  9. T

    Jinsi ya kuchonga SMS kama ushahidi kwenye kesi mbali na kifaa anachosema Mabere Marando

    Unaweza ukadhani ni ngumu ila mie ilinitokea kabisa mwaka 2008 ambapo kuna kipindi nilikuwa nina matatizo sana ya network after like two weeks nikawa napigiwa simu na watu tofauti wakiniuliza kwa jina lingine ambalo si langu kwa kipindi cha mwezi mmoja. Nilienda kwenye ofisi ya hiyo kampuni...
  10. T

    DNA YA RAIS KIKWETE Kuleta MAFANIKIO?

    Kama alivyosema mchangiaji aliyepita kabla ya kufanya DNA test comparison group inahitajika. Sasa ingekuwa implemented vipi ikiwa hamna hiyo comparison group? Labda kabla ya hapo ilibidi watanzania wote tungefanyiwa DNA test then tupate data base kwa ajili ya kucompare na hao waliofariki.
  11. T

    "Uchekibobu" unawaponza madaktari nchini Tanzania.

    Basi ukiwa unajiuliza uwe na kakumbukumbu kidogo. Mgomo haukuitishwa na MAT bali ni Jumuiya ya Madaktari na kiongozi wake ni Dr Ulimboka....labda ungemsaidia angerespond vipi? Anashangaa kwasababu kesi haimhusu MAT labda waiandike upya.
  12. T

    Mh. Mbowe muulize maswali haya waziri mkuu pinda

    sisala Naomba niongezee hili ila itabidi likae baada ya swali la 2. Kwasababu Manyanya ametaja wazi waliomteka Dr Uli walivaa magandwa na hadi sasa hamna aliyekamatwa kuisaidia serikali, kwanini wasimchukue yeye ili walau akatoe maelezo yanayoweza kukamatwa kwa washukiwa? Mmmmh kinachonishangaza...
  13. T

    BBC Waanza Kuinang'a Tanzania Kwa Mauaji ya Albino

    Chezea kuweka bendera ya Tanzania kwenye meli za Iran, wanataka kutufunga kila mahali. Sasa hivi ukitaka kwenda UK itabidi uonyeshe vielelezo kuwa huusiki na mauaji ya Albino lasivyo hupati visa
  14. T

    CCM wapigana vibaya Kawe na mkutano kuvunjika

    Soma vizuri thread
  15. T

    Malipo ya madaktari wa majuu - tujilinganishe

    Mwanamutapa Kama wangekuwa wanafanya hivyo basi hii migomo isingeonyesha impact kabisa, kama wagonjwa huwa hawahudumiwi na madaktari wengi bali ni wachache na ilihali kuna wachache waliobaki hawakugoma kwanini uwalalamikie warudi wakati huwa wanapiga domo na kujifungia ofisini? Halafu kumbe...
  16. T

    Malipo ya madaktari wa majuu - tujilinganishe

    Hapo UMEDANGANYA umma, nenda bodi ya mkopo watakujibu vizuri kuhusu kuwakata madaktari kama kada zingine......wanaolipiwa na wizara tu ndio hawarudishi hiyo hela na inajulikana kama grant(ruzuku)kwa vyuo vya private nafasi 25 tu hutolewa kwa ajili ya hiyo grant. Usikurupuke kutoa hoja bila hata...
  17. T

    Maoni ya Mnyika dhidi ya hotuba ya rais ya mwezi Juni

    Hapo ndipo alipo niacha hoi kwa hiyo wakazi wa dar na kigoma hawaheshimiwi wala kuthaminiwa......mana hawa waliahidiwa flyover na wengine kuwa kama dubai.:yawn::yawn:
  18. T

    Hivi wanawake wote wako namna hii au?

    Mie siamini kuwa tatizo ni la hao wanawake ILA ni lako. Mana tangu umeanza kudate serious inaelekea unaangukia kwa hao hao. Swala ni kwamba hiyo ni type ya wanawake ambao moyo wako umewaridhia. Inawezekana ukiwa na peer na sababu ya kusakamwa na wenzio inakuwia vigumu kuwa na kauhuru ambao una...
  19. T

    JK kawasili hapa Rwanda, kwenye Sherehe za miaka 50 ya Rwanda

    Kwasisi rasta..., Jah = Mungu Kaya = Bangi aka weed I just left you to connect the dots, na hata hivyo wazazi hawakukosea hata kidogo.
  20. T

    Hivi profession ya Nape ni nini?!

    Tatizo la Chama Cha Mapinduzi ni kujisahau, wafahamu kipindi kile cha ukoloni tulikuwa tunahitaji mapinduzi.....kumwondoa mkoloni. Ila sasa mkoloni ameshaondoka tunachohitaji ni :israel:Maendeleo:israel: lakini wao wameng'ang'ania na itikadi za kimapinduzi tu. Ndio mana hata mtu akitaka...
Back
Top Bottom