Shukrani kamanda kwa kutufungua macho. Nimekopi taarifa hii nampelekea Kubenea aiangalie na kuifanyia kazi.
Nadhani Bwana Makene ni memba JF, hivyo atauona uzi wako
Mimi ni mkatoliki. Hata Lowasa angekua mmbudha bado kura yangu ningempa tu. Mwaka huu CCM imeshikwa pabaya. Nape ameulizwa aonyeshe kwao ni wapi katika jamhuri hii ya TZ. Mara Ubungo mara Mtama. Kwenu wapi Nape?
Mzee Lowasa makini sana. Amebadili kabisa episode ya Janwani jana. Hiyo ndio kampeni ya mtaa kwa mtaa na nyumba kwa nyumba. Tunaanza na Mungu tutamaliza na Mungu. Freedom is coming on 25/10/2015.
Mara nyingi wengine kama mimi ni mvivu sana wa kutoa uzi ndani ya Jf. Lakini kwa uzi huu wa Shost naupa big up sana. Thanx mkuu kwa taarifa nzito na yenye kutufungua akili.
Achana na intelijensia ya CDM. Ni hivi huyo aliyeshinda kura za maoni amekuja kujulikana kwamba ni kibaraka wa Wasira. Mchezo ulichezwa vizuri ili ashinde na baadae afanye kituko kwa faida ya Wasira. Mabere Marando hoyeeeee
Ukatibu uenezi katika kipindi hiki CCM wamkodi aliye kuwa waziri wa habari wa Iraq ndugu AL Sahaf. Atawafaa sana katika kipindi kigumu. Anajua sana kuutumia muda na mazingira kama ilivyokua katika vita vya Iraq na Marekani.Askari wa marekani walipouteka uwanja wa ndege akawaamisha wairaq kua ile...
Mimi nampongeza ujasiri aliounyesha tangu sakata la Richmond mwaka 2008, CCM walipo kata jina la mumewe Dodoma, wakati wa maamuzi magumu hadi anahamia CDM a,k Ukawa. Huu ni ujasiri wa hali ya juu kwa mwanamke hasa wa kitanzania. Hongera mama nchi ya maziwa na asali ipo karibu sana na utapumua...
Hua siyo msemaji sana humu jamvini japo ni mwanajamvi hili. Kiukweli sijapata nafasi ya kusikiliza hii radio kwa leo. Ila kama ni kweli kayasema haya basi atuombe radhi mara moja wakotoliki si tu kwa Tanzania bali kwa ulimwengu wa kikatoliki. Catholic church means 'universal Church'.
Kuna tetesi ya kupewa U/MKUU wanajanvi. Hivyo lazima agombee kiti cha ubunge. Nape atapewa jimbo linguine hasa yale yawaliozomea mkutanoni wakimataka Lowasa. AMINI HIVYO
Mimi nadhani ni mkakati wa Mwakyembe na Kaka yake Mwandosya kwa maana kwamba mwisho wa siku kundi lote la Mwakyembe litaenda kumuunga mkono Mwandosya.Tubamogele bosa bo babili. Wamethubutu na wanasonga mbele. Kyela na tukuyu oyeeeeeeee
Machifu na maaskari wa kingoni walinyongwa na wakoloni wa kijerumani katika vita ya majimaji na hawakunyongwa na wamissianri wa kikatoliki ( wabenetiktini) wa ndanda na peramiho. Baadhi yao waliungama na kubatizwa saa chache kabla ya kunyongwa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.