Search results

  1. K

    Kampuni zinazokumbatiwa NHIf

    Wadau sisi wapiganagi wa NHIF tunachoshwa na baadhi ya wakurugenzi wanaoingilia michakato ya manunuzi kwa kuwa pigia kifua watu wao haswa katika manunuzi ya ICT michakato inakua mirefu kwa masilai yao uko huduma zikidhorota,tumechoshwa na sasa tunaweka wazi. KAMPUNI ya FM COMMUNICATION LIMITED...
  2. K

    Wanajeshi kortini kwa ufisadi wa mabilioni

    huyu jamaa ni jirani yangu kimara,ndo watu wa kwanza kujenga ghorofa kimara,yeye na mkewe anatambela HUNDAI Brand new.anainekana ana mali nyingi
  3. K

    Tamko la ZITTO na FILIKUNJOMBE hili hapa

    peoples poweeeeeeeeeer,tena zitto msiogope tumesha tenga pesa nyingi tu kwajili ya mapinduzi,vijana tupo tayari kwa lolote sasa.Mungu awatangulie na kuwalinda siku zote.
  4. K

    Henry Dafa Shekifu sasa Hivi ni "Dr Henry Dafa Shekifu"

    hakuna lolote,udocta wake autusaidii.
  5. K

    Movement for Change yaingia Simanjiro....!! Ole Sendeka ahahaaa...!!

    sisi vijana tupotayari kwa lolote sasa,makamanda tupo nyuma yenu na sila nzito na hasira kali.mabadilko lazima kabla ya 2015 lazima kieleweke tu.peoples poweeeeeeeeeeeer.
  6. K

    Nauli za daladala Dar kupanda

    du kali,kweli TZ imekwisha
  7. K

    Mambo nitakayopendekeza katika tume ya katiba mpya

    nakuunga mkono 100% mkuu
  8. K

    Ziko wapi Mimba za Chadema alizosema Lusinde???

    ccm wameishiwa sera,peoples poweeeeeeeeeer
Back
Top Bottom