Search results

  1. U

    Kwa usajili huu simba kuwa mnyonge sana msimu wa 2019/2020

    Ndio. Kwani hujaona official page ya simba sports club?
  2. U

    Manara: Wanasema kikosi cha Simba kina thamani ya bil.1 umewahi kujua kama Chirwa pekee ana thamani ya mil.200?

    Tena enzi za Malinzi msimu uliopita mda kama huu walikua wanaongoza kwa point lukuki!
  3. U

    Professional Okwi asaini 2yrs,amshukuru tajiri Mo Dewji

    Why all this? Uwe na staha! Ushabiki usitutoe utu wetu. Seriously, nimekua naheshim michango yako mingine. Lakini kwa huu uzi wako, No!!
  4. U

    Yaliyojiri Uwanja wa Taifa: Yanga FC 2 - 1 Mbeya City

    Mwache apige ramli. Atasubiri sana!!!
  5. U

    Kirumba, Mwanza: Mbao FC yaifunga Yanga 1-0 na kutinga Fainali za FA

    Naam, tunasubiri kusherehekea ushindi.
  6. U

    Sakata la Uber na Madereva Taxi jijini Dar: Ushauri kwa RC Makonda

    Una uhakika na ulichoandika. Si kweli kabisa, Kenya ipo uber Nairobi na Mombasa. Wenzetu wameenda mbali zaidi kuna kampuni nyingine imeanzishwa iweze kushindana na uber.
  7. U

    Sakata la Uber na Madereva Taxi jijini Dar: Ushauri kwa RC Makonda

    Mkuu Sooth kwa kuongezea, hata magari yanayotoa huduma kwa mwavuli wa uber wamiliki ni watanzania. Kwa taarifa nilizo nazo, naomba nisahihishwe iwapo nimekosea, uber hana magari, anchofanya sasa ni kusajili magari yanayomilikiwa na watanzania. Wao wameleta mfumo tu.
  8. U

    Sakata la Uber na Madereva Taxi jijini Dar: Ushauri kwa RC Makonda

    Hapa ndio lilipo tatizo! Kwa nini itumike nauli ya taxi za vijiweni na si zile za uber? Kigezo gani ulichotumia kwamba Mlimani city to Kariakoo nauli iwe elfu 20. Nauli wanazochaji taxi drivers wa vijiweni ni za kimagumashi! Taxi driver wa kijiweni yuko radhi apate elfu 60 kwa siku kwa trip...
  9. U

    Sakata la Uber na Madereva Taxi jijini Dar: Ushauri kwa RC Makonda

    Hili ni wazo zuri la wazawa kuwa na hisa ikiwezekana katika uber, au hata kuanzisha makampuni yao ili kuleta ushindani zaidi. Ukiangalia kwa undani taxi drivers wanaopinga uber, hawapingi kwa sababu ni kampuni ya kigeni, hapana, wao wanalalamikia mfumo wa uber uliosababibisha nauli kwenda chini...
  10. U

    Sakata la Uber na Madereva Taxi jijini Dar: Ushauri kwa RC Makonda

    Hatuongei kinadharia hapa! Tatizo hapa si uber kukosesha taxi drivers wanyonge vipato. Nimeongea na taxi drivers wengi waliojiunga na uber. Wanasema kuna unafuu sana sasa kulinganisha na awali: uhakika wa mapato na hata usalama wao (kuporwa magari n.k.). Kwa hiyo hoja ya kipato na cha ziada...
  11. U

    Sakata la Uber na Madereva Taxi jijini Dar: Ushauri kwa RC Makonda

    Mifano mwafaka husaidia sana kujenga hoja. Mifano isiyo mwafaka inaashiria kutokuwepo hoja ya msingi.
  12. U

    Sakata la Uber na Madereva Taxi jijini Dar: Ushauri kwa RC Makonda

    Hoja yako ni ipi hapa? Taxi drivers wa uber si Watanzania? Nani anamiliki magari yanayotoa huduma kwa mwavuli wa uber? Nani amezuia Mtanzania au Watanzania kuanzisha kampuni kama uber?
  13. U

    Sakata la Uber na Madereva Taxi jijini Dar: Ushauri kwa RC Makonda

    Mhh! Mwalimu, Mifano ya parachichi, nyaya,.. kwa mada hii!! Loh! Let us be serious!
  14. U

    Sakata la Uber na Madereva Taxi jijini Dar: Ushauri kwa RC Makonda

    Mbona unatoka nje ya mada uliyoianzisha wewe mwenyewe? Jibu hoja: Mimi nina gari langu dogo, nakwenda kulisajili uber, ili nitoe huduma ya taxi kwa uwazi na unafuu. Uber watanikatalia? Na kama wataniruhusu nikasajili gari langu, sitakuwa nimewekeza? Kutokana na nilivyokuelewa wewe, mwekezaji...
  15. U

    Sakata la Uber na Madereva Taxi jijini Dar: Ushauri kwa RC Makonda

    Kama huyo jamaa ni mtaalamu wa tehama alitakiwa atoe suluhisho la hili tatizo kwa kutengeneza mfumo utakaowasaidia taxi drivers anaowatetea. Watanzania tuache porojo!!
Back
Top Bottom