Search results

  1. M

    Mchakato wa katiba; Judge Augustine Ramadhani na Prof. Kabudi

    Naombeni list nzima ya hiyo tume wadau.Nilikuwa kijijini na hakukuwa na network
  2. M

    Mbowe atoboa siri

    Mbowe ameonyesha maana halisi ya kuwa mwenyekiti wa chama.Siyo kukaa tu ofisini halafu utegemee mafanikio.Lazima kushiriki michakato yote.Big up my brother.
  3. M

    Mkutano wa Pongezi kwa CHADEMA

    Mimi nasubiri kuchukua kadi wakuu wa chama wakirudi dar
  4. M

    Mh. Livingstone Lusinde akimwaga Sera za CCM Arumeru

    Powerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
  5. M

    Gazeti la serikali ya ccm (daily news tanzania ) lakiri chadema wins arumeru east pm election

    Hongera CDM.Arumeru mashariki wamedhihirisha kuwa wananchi wakiamua inawezekana
  6. M

    Matokeo ya Arumeru: Salaam kwa Edward Ngoyai Lowassa!

    Wananchi wakiamua hakuna kitakachowashinda.Huu ni wakati muafaka wa kuonyesha jinsi nguvu ya umma inavyoweza kuleta mabadiliko.Nguvu ya hela haina nafasi tena.Arumeru mashariki wameonyesha njia.Namwomba Mungu aniwezeshe kushiriki uchaguzi wa 2015.
Back
Top Bottom