Search results

  1. M

    Wana CCM Iramba waja na Operation Chakaza Mkumbo(OCM)

    Inaelekea mieta uzi huu ni mbaguzi fulani hivi, na ubaguzi siyo sera ya ccm. Yeye anatoa wapi sera hiyo? Aache ubaguzi afanye siasa. Hiyo Iramba magharibi ni ngome ya ccm miaka yote iliyopita, je mbona bado ipo masikini hadi leo? Kwa hiyo cdm kupata asilmia 28 ndani ya ngome ya ccm ni jambo la...
  2. M

    Tanzania: Fake phones to be blocked soon!

    Ni jambo zuri,litawafanya wachina wajipange upya ili watengeneze simu bora. Kwano mchina ni mkombozi anatengeneza simu hadi line nne. Badala ya kununua simu nne unanunua moja tu. Hivo sisi walalahoi tunaona simu za mchina ni kama mkombozi.
  3. M

    Nia ya Dhati ya Wanaharakati Kumshtaki Livingstone Lusinde kwa Child Abuse

    Naafikiana na wanaharakati na kusudio lao hilo. Lakini isiwe ni siasa tu,walifanyie kazi ili iwe fundisho kwa wanasiasa wengine.
  4. M

    Kesi ya G. Lema kuisha kiajabu

    Kesi haiamuliwi mitaani,tumwachie jaji tuone. La sivyo mtoa hoja atuambie basi kwa ushaidi upi utakao mfanya Lema ashindwe kesi.
  5. M

    Salaam kwa members wote

    Hi wana JF, nawatakia kila la kheri ili muweze kutoa michango yenye busara zaidi ktk nyanja mbali mbali humu ndani ya JF.
Back
Top Bottom