Search results

  1. T

    Ulivyoagiza gari yako spare key uliikuta sehemu gani?

    Ulivyoagiza gari yako ufunguo wa akiba..uliukuta sehemu gani? Njooni tupeane maujanja. Kuna gari moja niliiagiza ufunguo wa spare niliukuta ndani ya Manual book ya gari. Kwenye gari nyingine baada ya kutafuta sana.. nilikuja kuukuta kwenye hivi vidroo vidogo dogo ambavyo vipi kwenye dashboard...
  2. T

    Safari moja nje ya nchi imenigharimu zaidi ya laki nne(400,000) kwenye vipimo vya Corona tu

    Nilikuwa na safari moja nje ya nchi. Kabla ya kuanza safari, nilitakiwa kupima Corona hapa Tanzania ambayo ni dola 100 (231,000), nilivyofika kwenye ile nchi (West Africa). Sheria ya ile nchi ilinilazimu nifanye self isolation kwa siku 7, then nikaenda kupima ile rapid test (ilikuwa Bure)...
  3. T

    Je, naweza kuifunga (lock) TV iliyoibiwa?

    Wezi sio watu wazuri, wamekata dirisha (grill) na kuondoka na Tv yangu, Kabla sijanunua nyingine nataka kujiridhisha ni kwa njia gani naweza kuiprotect TV yangu? kwenye hizi smart TV kuna jinsi naweza kulock mtu mwingine asiweze kuitumia? Wenzangu nipeni maujanja, Tv zenu mnaziprotect vipi na...
  4. T

    Hivi kuna jinsi ya kuzuia ufa wa kioo cha gari au kuziba?

    Kuna kioo cha gari cha mbele.. kilianza kuwa na ufa mdogo.. siku zinavyokwenda ndio ule ufa unazidi kuongezeka. Je, kuna jinsi ya kuzuia Huu UFA usiendeleee.. au kuna jinsi ya kuziba huu UFA?
  5. T

    Sehemu nzuri ya kufungua Car Wash kwa hapa Dar es Salaam

    Wazee natafuta sehemu nzuri ya kufungua Car wash hapa Dar. Mwenye wazo/eneo zuri tafadhali.
  6. T

    Jimbo la Vunjo, hakuna Mbunge alishaongoza vipindi viwili mfululizo

    Nimekuwa nikifuatilia siasa za Jimbo la Vunjo tokea vyama vyingi kuanza Tanzania. Hakuna Mbunge alishawahi kuongoza kwa vipindi viwili vinavyofuatana. (ingawa Mbatia na Mrema walishawahi kuongoza kwa vipindi viwili tofauti tofauti ). Je hawa jamaa wa Vunjo wanajitambua au ni kutokana na upinzani...
  7. T

    Nimeshangaa mahindi ya kutengeneza popcorn yanatoka nje

    Leo nilijisikia kutengeneza popcorn ili weekend iende vizuri, nikajivuta sokoni hapa Dar. Kwenye maduka ya nafaka. Naulizia mahindi ya popcorn naambiwa kilo moja 3500. Wananiambia mahindi ya popcorm asilimia kubwa yanatoka USA. Nimeshindwa kuelewa. Watanzania tumeshindwa kuchangamkia hii...
  8. T

    Naomba ufafanuzi katika tatizo la Hand break ya gari kung'ang'ania

    Hii issue imenitokea mara mbili. Mara ya kwanza nilikuwa naendesha gari Pasaka kwenye mvua na tope kali sana. Ile gari baada ya Pasaka nili ipark kama wiki moja hvi bila kuiendesha. Siku natoka gari haisogei mbele wala nyuma.. nilihangaika nayo mbele nyuma kama dakika 15 hvi.. nikasikia imepiga...
  9. T

    Tunaotumia Escudo Grand Vitara tukutane hapa

    Nimekuwa natumia Grand Vitara Escudo ya mwaka 2005 CC 2000 kuanzia januari hii.. ila nimeona ulaji wake wa mafuta ni mkubwa sana. Sijakwenda nayo safari za mbali. Ila safari za hapa hapa mjini inakwenda kama km 5 hadi 6 kwa liter moja. Nataka kuwauliza wadau hii ni kawaida? Nikisoma soma kwenye...
  10. T

    Hii ya machungwa kuoshwa na sabuni ya Unga imekaaje wadau?

    Jana katika pita pita zangu Hapa jijini DSM nilikutana na kitu ambacho kilinifanya nifikirie sana kuhusu afya zetu. Nilikuwa mitaa ya Stendi ya Mbezi Mwisho. Kama ujuavyo Stendi imezungukwa na Wamachinga kibao. Wakati ninashangaa shangaa nikawaona hawa wamachinga wanaouza Machungwa ...
  11. T

    Kuna uhusiano gani kati ya vazi la DERA(ke) na jezi(me) na Uswazi?

    Nilikuwa naapita mitaaa ya uzwazi ya hapa Jijini.. Manzese na Magomeni. Ukikutana na wanawake 10.. lazima tisa wamevaa vazi la dera.. Ukikutana na vijana 10 lazima 9 wamezaa tshirt za timu(simba,yanga, madrid,Arsenal, Manchester etc) Bado najiuliza kuna uhusiano gani ya haya mavazi na uswahilini?
  12. T

    Zawadi uliyopewa na mpango wa kando

    Hivi ulishawahi kupewa zawadi na mpango wa kando zawadi kama simu ,saa etc sasa ukifika nayo nyumbani mme/mke anaipenda na umeshadanganya ya kuwa hiyo zawadi umenunua hii issue ilishakutokea ulifanyaje?
  13. T

    Nimebadilika baada ya kuona hii documenty wa wachina jinsi wanavyofanya maintenance

    Juzi nilikuwa naangalia documentary fulani ya wachina inaitww Major Project. Aisee nilishangaa sana jamaa walivyo serious na kumaitain hizo project. Mfano wanavyokagua madaraja.. Reli.. vichwa vya treni etc.. Mfano kwenye madaraja yao kila usiku kuna team ya kwenda kukagua.. wanatumia...
  14. T

    natafuta suzuki escude manual

    natafuta suzuki escudo manual. mwenye nayo aje inbox please.. Sihitaji madalali tafadhali
  15. T

    Hii Foleni ya Moshi mjini jioni hii ni balaa

    Kwa wale walio Moshi mjini hii foleni sijawah kukutana nayo.. Hii foleni inazidi ile ya Ubungo Kimara. . Hawa jamaa wa kaskazini wameshindikana
  16. T

    Bombadia yetu inatua lini?

    tumesahau kabisa issue ya Bombadia yetu kukamatwa huko Ughaibuni kwa wenye taarifa inatua lini? Je serikali imeshindwa kuwalipa wadaiwa wetu? Mbona taarifa ambazo tulikuwa nazo wanasema walikuwa kwenye hatua za mwisho ya mazungumzo? Mazungumzo yali fail? Mbona serikali imekaa kimya? Serikali...
  17. T

    Hivi ni kweli Mh. Dr John Magufuli (waziri wa ujenzi) alimpigia kampeni Odinga mwaka 2013?

    Nimekuwa nasikia watu wengi wakimponda Mh Lowasa kwa kusimama jukwaani kumnadi Mh Uhuru. Watu wengi wamekuwa wakiponda na wengine kusifia wanaosifia wanasema eti Mh Magufuli alivyokuwa waziri wa Ujenzi alikwenda Kenya kumpigia Odinga kampeni? Nimejaribu kutafuta video/audio huku mtandaoni...
  18. T

    TRA hawana materials za kutengeneza driving license

    Ni wiki ya tatu sasa tangu leseni yangu ya gari imeisha muda wake. Nilikwenda ku-renew wakaniambia nirudi baada ya wiki 2 maana materials za kutengeneza license zimewaishia. Nilivyorudi wakasema bado hawajapata materials nirudi baada ya wiki moja Nimerudi tena baada ya wiki moja wanasema bado...
  19. T

    Tuwaunge mkono Jukwaa la Wahariri kwa kuwa-unfollow wanaomsapoti Makonda

    JF napendekeza tuwaunge mkono jukwaa la Wahiriri kwa hii issue ya Paulo. Mimi napendekeza tuanze kuwa unfollow wale wote wanaendelea kumsupport Paulo huku kwenye social network. Nataka wajue kwamba bila sisi hakuna anayeweza kuwa king of social media. Tusiishie hapo, hata msanii yeyote...
  20. T

    Mchanganyiko wa wafanyakazi walioacha familia Dar vs wanachuo waliokosa mkopo

    Nimekuwa nikifuatilia hili sakata la serikali kuchukua baadhi ya majengo ys UDOM na kuyafanya ofisi za serikali. Hawa wafanyakazi wengi wanatoka DSM na wamehamishiwa Dodoma. Kikawaida kabisa kama hata ofisi zao hazipo tayari hata nyumba za kulala na shule za watoto wao nao bado hazipo tayari...
Back
Top Bottom