Search results

  1. F

    CHADEMA yamteua Mh Lema kuongoza kampeni Kalenga, huku CCM ikimteua Lusinde

    wako strategic kwa kutumia chopa 3 kupata kata 3?haa haa mahaba niue
  2. F

    Zitto anasema 'Fuata Misingi sio watu'...

    Ni bora kumfuata mtu unaeamini ana vision na uwezo wa kulifikisha taifa mahala fulani kuliko kusadiki miiko na misingi isiyofuatwa wala kutekelezwa kwa vitendo bali ni ngazi ya kuwanufaisha watu wachache kama silaha yao ya ukandamizaji,ubaguzi na ubeberu huku wakijipambanua kinafiki kua wao ni...
  3. F

    Haya ndiyo matokeo ya kukimbia shule, masikini CHADEMA...

    waweke hapa cv zao tujue maana cv ya Mnyika ya bungeni hainoneshi ilikuaje baada ya kumaliza form 6
  4. F

    CHADEMA, huu ni wakati wa kufanya maamuzi magumu...

    Transaction or transition duuuuu ama kweli kingereza nacho wito kwaa kwaa kwaaaa
  5. F

    Star TV acheni unafiki, propaganda zenu dhidi ya CHADEMA hazitafanikiwa

    amaaa ivi kumbe slaa nae ni rais?kumbe kuna bendi mpya imeanzishwa mi siijui duuuu naona nazeeka sasaaaa
  6. F

    Juu ya tuhuma kwa Zitto na kundi lake kutoka kwa Mamuya...

    Zitto niko nyuma yako na nitakusuport mpaka mwisho,najua hawa wanatumika kukuchafua ila ukweli utadhihirika mbele kaka
  7. F

    Undani wa Freeman Mbowe na Dr Wilbroad Slaa

    haaaa haaaaaa kufanyaje?duuu kweli watu wana ndoto jamani loooo nchi haichukuliwi jamii forum bw mdogo kwakwa kwaaaaa kwaaaaaaa
  8. F

    Huyo ndiye Ben Saanane na majibu ya Zitto

    betlehem yaaani Zitto kutokua wa ukanda ule halafu kutangaza kugombea ile kitu inawauma hawa jamaaa duuu, CHADEMA hakuna chama pale ni kijiwe tu
  9. F

    Huyo ndiye Ben Saanane na majibu ya Zitto

    hivi wewe hata kiswahili chenyewe hujui halafu eti unamtisha Zitto wewe unapata wazimu au,toka kule mapanzi tu nyie aliewaroga kafa muache siasa za kitoto na hamna hadhi ya kumtisha Zitto
  10. F

    Huyo ndiye Ben Saanane na majibu ya Zitto

    Dawa kuchanana tu Wewe umetumwa na Mbowe au? Toka hapa na uzushi wako,hakuna cha uzalendo wala nini ni walewale mnaitaka kumchafua Zitto na tutamlinda mpaka dakika ya mwisho,akiondoka na sie tunaondoka tumechoka na uzushi na ujinga wenu
  11. F

    wanaume wa kiafrika bana....

    kwani wewe umelelew na wazazi au umekulia orphanage centre?wasnt ua mother doin these thing 2 your father?huu ***** wa kutaka kutengeneza mfumo wako hautakusaidia utakupa stress tu,kaolewe na hao wazungu wakuzadhalilishe watakavyo na ukilemaaa tu watakupigia 0718,ulale na pensi
  12. F

    Dk. Slaa: Safu Mpya ya CCM imejaa Taswira ya Ufisadi

    we tatizo lako lile limeshaisha?pole sana nakuombea 24/7
  13. F

    Mtonyaji serikalini; Usalama wa Taifa wampa JK mtihani mzito kuhusu CHADEMA kuelekea 2015

    Unakipaji cha kutunga mashairi,na ufunuo wako ni wakina haaaa haaaa pauka pakawa usalama gani watakwambia mtu kama wewe labda askari kanzu tu,mfyuuu kale upumzike jua kali
  14. F

    Dk. Slaa: Safu Mpya ya CCM imejaa Taswira ya Ufisadi

    Babu siku hizi amekua kimeo,tangu mshahara wake uanze kulipwa na cdm kwa makubaliono maalum sasa kageuka mtumishi wa CDM na anatetea kibarua chake,pigana babu Mil 7 zinakuweka mjini usiache kibarua kipoteee,kama una uchungu na ufisadi ungeanza na mbowe aliewauzia magari chakavu kwa bei juu,haaa...
  15. F

    KIZOTA-Chumbani kuhesabu kura

    haaa haaaa 0713 ya nini wakati hata mkeo mawenzi huwezi kumfikisha wewe sharobaro kapake poda ulale
  16. F

    Wasomi Wapinga: Dr. Lweitama adai Hakuna Mapya; Bashir Ally asema CCM haiwezi kufanikiwa kubadilika

    Lwaitama kachemka,Lowasa kachezeshewa cheusi chekundu na hata safu ilioingia haiko upande wake nadhani hajui undani wa makundi ya CCM,huyu bashiri hua simuamini coz consistency yake ktk mijadala hua inafuata upepo,hebu mtafute shivji aseme hawa bado sana,angekuwapo chachage au horoub othman...
  17. F

    Swali kwa Nape, katibu itikadi na uenezi CCM

    mbona mnahangaika ivi wandugu,maana mlikua mnapika propaganda humu kua mkutano mkuu wa ccm this time utafeli kwakua kuna mgawanyiko mkubwa wa makundi na bla blah kibao huku mkisema mwenyekit hatarudi,sasa wamerudi na secretariat imeteuliwa mmehama tena na kuja na ajenda za miaka ile,sasa nape...
  18. F

    KIZOTA-Chumbani kuhesabu kura

    haaa haaa haaaa heri mie narrow thinking kuliko wewe empty set mfyuuuuuuuuuuu haaaa haaa mavi yanawabana na yatawabana sana tu CCM chama dume haaa haaa haaa
  19. F

    KIZOTA-Chumbani kuhesabu kura

    hivi mbona mnajiaibisha jamani,sasa uchaguzi wa CCM wewe unakuhusu nini,whether wameibiana kura ama la nyie inawahusu nini,fanyeni ya kwenu,mbona nyie mlituma wazee wakamuomba zito atoe jina la kugombea uenyekit hakuna aliesema neno,haaaa haaa haa haaaa mfyuuuuuuuuuuu
Back
Top Bottom