Search results

  1. O

    Rais Kikwete apangua Baraza la Mawaziri

    wadau baba riz anahutubia taifa muda huu
  2. O

    Hakika walimu wote ni wakati wetu wa kugoma kuishinikiza serikali kutambua umuhimu wetu

    nikiburi na kudharau taaluma za watu sasa kwa majibu kama yale aliyo toa wazir(hawa ghasia).hii ni alama tosha inayoonesha ni kwa kiasi gan mwl. anadharaurika katika jamii.hatambui yeye mwenyewe pale bila ya huo msaada wa mwalimu angefika pale? ebo inahudhunisha sana
  3. O

    Judge Warioba ateuliwa kuwa Mwenyekiti Tume ya Katiba

    nampongeza muheshimiwa rais kwa uteuzi wake makini
Back
Top Bottom