Search results

  1. M

    Swali tu, hivi hizi Bilioni zinazotumika marudio ya uchaguzi Polepole unajisikiaje,?

    Hasara ni kubwa sio tu gharama ya uchaguzi hhata hizo hela za kuwanunua si ni kodi zetu? Bnasikia wanawalipa vizuri mishahara yote ya muda uliobaki hadi 2020 na pia kiinua mgongo hii ni hatari sana watawala hawana busara.
  2. M

    Anahitajika msichana wa kazi za nyumbani

    Yupo binti anahitaji hiyo kazi ana uzoefu na anakidhi vigezo ulovyoeeka simu 0657359159
  3. M

    UKAWA Wavamia Ofisi za Jiji la Dar - es -Salaam

    Kwa kweli hata tukiwaita ccm wahuni tutakuwa hatujakosea hawaoni hata aibu nasikia pia uhuni huu wapo pia mawaziri ambao ni madiwani wanajidhalilisha wenyewe na kupotea imani kwa wananchi siamini waziri kama Ndalichako Mbarawa Balozi Maiga na wegine wapo ktk ijinga huu.
  4. M

    UKAWA Wavamia Ofisi za Jiji la Dar - es -Salaam

    Ccm wanatia kichefuchefu ni wendawazimu na wanatumia mamlaka za serikali kulinda upumbavu wao.halafu na mamlaka zenyewe kama polisi na jiji wanayumbishwa na ccm na waoga kusimamia ukweli ili kulinda vibarua vyao wamekuwa watu wa ndio mzee bila hata kufikiri kidogo kwa akili zao.
  5. M

    CCM yasikitishwa, yaomba radhi kwa Bango lenye ujumbe wa Uchochezi Zanzibar

    Ubaguzi ni utamaduni wao hata sasa wamembagua MaalimSeif baada ya kushinda urais wanaendelea wao kutawala bila ridhaa ya Wazanzibari na wanatumia majeshi kuwatisha watu wasidai haki ya kiongozi wao waliomchagua.
  6. M

    Serikali yasitisha Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo. Kuimarisha Bandari za Mtwara, Dar

    Asante JPM unaona mbali sana bila kumuonea mtu yeyote aibu hata kama ni rais mstaafu kwa maamuzi yake mabovu.ilikuwa haiingii akilini hii hivi hakuwa na washauri au ni washauri wanafiki wa ndio mzee na kutomwambia ukweli bwana mkubwa aliyemaliza muda wake?haki ya Mungu wewe ni Rais bora...
  7. M

    Magufuli aendelea kutumbua Majipu: Mkurugenzi Hospitali ya Ocean Road Asimamishwa

    Kama serikali haitoi hela za kununulia dawa yeye kama mkurugenzi angezipata wapi?
  8. M

    CHADEMA kuomba kibali cha kuuaga mwili wa Mawazo mahakamani

    Mazishi kipindupindu hakihusiani kwani kuaga mwili na kizika ni kula chakula?maana kipindupindu huambikiza kama kuna vyakula tena vyenye kinyesi.
  9. M

    NEC yamuonya Nape kuhusu 'Goli la mkono'

    Tunamuonya mzee Lubuva asije kuwa ni Kivuitu wa time ya Kenya.
  10. M

    Lowassa, vitabu vitakatifu vinasema malipo ni duniani

    Mbona hukusema haya kabla ya EL kugombea urais ndio walewale magamba.
  11. M

    Muungano wa UKAWA waichanganya CCM, wamuahidi Slaa bilioni kumi Slaa awatosa

    Nipeni simu ya dr Slaa nimsihi awe na subira na uvumilivu.
  12. M

    Ufafanuzi kauli tata ya Asharose Migiro

    Inawezekana Seif Khatibu ni mzazi mwenzie kwa sababu kinamama wa siku hizi huzaa hapa na pale.2
  13. M

    CHADEMA yajiengua UKAWA

    Hilo si gazeti la fisadi Rugemalira wa escrow
  14. M

    Lissu: Dr. Slaa ni Rais ajaye

    Jamani watz tuwe serious na maisha yetu uchaguzi ndio maisha yetu tusifanye mzaha ni wakati muafaka wa kufahamu ni nani kiongozi wetu wa kutuondolea aibu hii iliyoletwa na ccm tubadilike sasa mambo ya wizi wa mali ya umma tumechoka ni lazima tubadilishe chama sasa hawa ccm wamechoks wala hawana...
  15. M

    David Kafulila ndani ya kipindi cha Dakika 45, ITV

    Amehitisha vizuti sana kwamba safari hii ukawa wana kika sababu ya kushinda uchaguzi wa October na akatoa sababu nzuri sana kwa sabsbu zifuatazo:ccm sasa hawakubaliki msikitini wala makanisani,hali ya maisha imezidi kuwa ngumu chini ya utawala wa ccm,ccm haina mgombea makini anayekubslika,ccm...
  16. M

    David Kafulila ndani ya kipindi cha Dakika 45, ITV

    Kwa nini watanzania hawaoni haya madudu ya ccm tuwaondoe haraka sana.
  17. M

    Tahadhari kali kwa nyote mlio na magari binafsi; chunga sana na waambie wengine!

    Mzee hii ni shule nzuri sana umetoa ila naongezea kwamba kama unajua utaendesha gari kwa zaidi ya saa tano au sita jaribu kulala usingizi wa kutosha maana wengine hulala saa sita au saba usiku tena wakinywa pombe na asubuhi anachukua gari kwenda mwendo mrefu matokeo yake anaanza kusinzia...
  18. M

    Mahakama ya Kadhi: Wabunge wafanya vurugu wakati wa Semina

    Pinda ana matatizo yake binafsi naye anataka uraisi kwa kuwalaghai waislamu.ilikuwa hakuna haja ya semina tena kwani jana bwana mkubwa wao alishafunga mjadala.
  19. M

    Iwe mwiko kuwa na sheria na ahadi za kidini Tanzania

    Nadhani hamna hata haja ya kujadili jambo hili bungeni. Liishie hapo hapo lilipofika kwa usalama wa taifa letu.
Back
Top Bottom