Search results

  1. C

    Inakuaje binti kuhamia kwa mwanaume kabla ya kuolewa?

    Na ukimuoa haraka je? si utakuwa umempa heshima zaidi na kumpunguzia huo mzigo bila kujibebea bure bure?
  2. C

    Kushiriki tendo la ndoa mara nyingi kunaongeza imani ya kiroho

    Hivi hana mke kumbe!!!!:confused:
  3. C

    Ubovu barabara ya Mbezi Makabe

    Habari wakuu, Kilio changu naomba niungwe mkono na wakazi wote pamoja na watumiaji wa barabara ya Mbezi kwenda Makabe kupitia katika viunga vyake vyote vya shule ya St Ann's, Madukani, Kwa Brigenda, Post, Njia panda mpaka huko mwisho Makabe. Kilio hiki ni ubovu uliokithiri wa barabara hii...
  4. C

    Mazee, kila nikimkumbuka ex-gf wangu lazima nijilipue, hii imekaaje!!?

    Yaani wewe huyo binti wa watu ulimtumia sana na ndio maana unapata shida ya kujilipua kila mara. yaelekea ulimgeuza mke kabisa alafu unamdump? wewe mbaya sana. umeharibu mwelekeo wa binti wa watu. Hizo sababu za kumuacha hata hazina mashiko. sasa ulitegemea binti atajitimiziaje mahitaji yake...
  5. C

    Natamani kuachana na wife

    pole sana mkuu, omba sana na mwenyezi Mungu atawatatulia matatizo haya, mpeleke ktk maombi
  6. C

    msaada ku unlock ZTE AC8710

    Mkuu ulipata njia ya ku-unlock nami unielekeze mana nami nina modem km hii na kwa sasa inanizingua hata network haipati.
  7. C

    Katuni: Bunge letu na dhihaka toka Kenya

    Hii ni aibu kubwa kwa bunge la nchi huru na yenye kujivunia amani. Sijui wabunge wetu mnaotuwakilisha mmeipokea vipi hii katuni na mmejifunza nini kutokana nayo?????
  8. C

    Uzuri wangu sasa umekuwa kero

    Sio kazi pekeyake na hela juu ndio mwanaume anasifiwa. kama huna hela hamna kitu
  9. C

    Hivi Wanawake Wanataka Wafanyiwe Nini?

    inamana wewe kila utakayemwona waweza mpenda hapo hapo utapenda wangapi sasa? mana ukisogea hatua chache utakutana na mwengine mzuri zaidi, mstaarabu zaidi, akakuvutia nae ukamtaka tena!!!!!!!
  10. C

    mke hataki kufanya sex,msaada plz

    LIKE 1000 kwako
  11. C

    Ole wenu mnao kula Sausages - zinaua

    Kiti moto ilishasemwa siku nyingi kwani wewe huna habari? Kitimoto inatakiwa ipikwe kwa masaa 8 ndio unaweza sema imeiva na wadudu waliopo ndani ya nyama iyo wanakuwa wamekufa. Vinginevyo hao wadudu hawafi na huleta madhara kwa binadamu km wewe ni mlaji wa kitimoto mara kwa mara
  12. C

    Pope Francis shunned the papal limo

    Huyu ni pope Francis tu na atajaitwa pope Francis I pale ambapo kutajakuwa na pope Francis II. Ivyo kwa sasa ni pope Francis
  13. C

    Najiuliza saana!! why she Introduce me as brother to her?

    Labda bado unamtaka wewe! sasa unadhani kukataa lunch ndio umemkomoa? Tena huyo bint ni mstaarabu sana nampa BIG UP.
  14. C

    Kasoro kubwa katika video ya Lwakatare

    umenena kweli kweli mkuu, na hakuna njia iliyo rahisi ktk kutafuta ushindi. Milima ni mingi sana na yote yatakiwa kuipanda ili kufika kileleni.
  15. C

    John Mnyika na Sakata La Maji Ubungo, Waziri Aanza Kuwajibika

    yaani ndallo unamshusha hadhi sana huyo dogo wako. Huyo dogo ni bora mara 1000 kwa CCM
  16. C

    John Mnyika na Sakata La Maji Ubungo, Waziri Aanza Kuwajibika

    Mheshimiwa inabidi ufwatilie kote mana si goba tu, kuna mbezi makabe huko hakujawahi ona maji ingawaje mabomba yapo. Kibamba zamani maji yalikuwa hayakatiki lakini siku izi yanakatika mara kwa mara, huko tuendako yataishia kabisa kama ilivyo kwa kimara
  17. C

    Nina miaka 21 na sijafanya mapenzi

    sasa unauliza ya nini?
  18. C

    Nina four ya 27 waheshimiwa!

    Mdogo wangu we nenda katafute certificate course yoyote uipendayo uanze nayo ili upate ujuzi na iweze kukusaidia kusonga mbele, huwezi jua waweza fika degree kama kweli una malengo ya kusoma.
Back
Top Bottom