Search results

  1. M

    Mchengerwa akabidhi Tsh. 50,000,000 kutoka mshahara wake kusaidia Wanarufiji waliokumbwa na mafuriko

    Unless labda kama huyo jamaa mnafahamiana na mmeamua kutu- confuse, vingine kama kweli uko serious achana na huyo jamaa, argument zake ni za kibwege na kichawa chawa. Angalia hata Hilo jina analotumia, ni ama Kuna kitu anawinda au kama siyo hivyo basi atakuwa ni punguani mbumbumbu mzungu wa...
  2. M

    Tumsaidie Mama Samia kupata mtu sahihi wa ITIKADI na UENEZI, Weka jina humu JF na toa sababu

    Kwani wewe huyo Mungu unayemwabudu unafahamu anafanana vipi? Pengine wewe unaabudu labda fisi.
  3. M

    Tumsaidie Mama Samia kupata mtu sahihi wa ITIKADI na UENEZI, Weka jina humu JF na toa sababu

    Dini zote za kuletewa hasa Uislamu na Ukiristo inabidi uwe mjinga sana Ili kuzikubali.
  4. M

    January Makamba, Nape Nnauye, Mzee Kinana msishupaze shingo zenu; kubalini yaishe

    Na Tabasamu naye ni kiongozi? Hapo umepotoka mkuu.
  5. M

    Itatafsirikaje picha au video polisi Tanzania wakimdhibiti shabiki aliyevaa jezi ya Mamelodi au Al Ahly?

    Halafu Hawa chawa akina Msigwa, Ndumbalo wanatufanya saa nyingine tuombee hata hizi timu zetu Bora zifungwe. Yaani maneno yao mara Mh Rais mara nyonyonyonyo yanakera sana. Yalishatutokea 1993 wakati Mzee Mwinyi alipotaka kutafuta sifa za Bure tulifungwa na Stella. Afadhali Hawa jamaa wakae kimya...
  6. M

    Uchambuzi: Yanga wamefungwa kimakusudi Ili kuwazubaisha mamelodi na simba

    Ila huyu kiukweli ukweli hakufeli Kwa sababu ya factor nyingine yoyote, hakuwa na akili na nadhani anaendelea kutokuwa nazo.
  7. M

    Chozi la Jenerali Mabeyo akisimulia siku za mwisho za Hayati Magufuli linaashiria nini?

    Wewe nawe Kumbe hamna kitu, wenyeviti na wajumbe wa Bodi hawana mishahara. Hupata pesa kama kiinua mgongo Fulani kila baada ya miaka mitatu ambao ndiyo muda wa Bodi kuwapo madarakani. Na wengine huigawa Kwa tatu Ili kila mwaka wapate chochote. zaidi ya hapo ni posho ya vikao.
  8. M

    Tetesi: Katibu Mkuu mstaafu wa CCM, Bashiru Ali kutimkia ACT Wazalendo

    Afukuze? Kwani Huyo mama mwenyewe ni m-wapi?
  9. M

    Miaka 76 iliyopita (mwaka 1947), hakukuwa na nchi inayoitwa Israel

    Mtumwa wa akili wewe, hizo zote ni Dini za kuletewa. Waliokuletea huo uislam ndo waliokuaminisha hivyo lakini huna uhakika na lolote zaidi ya kumezeshwa hiyo imani unless labda kama wewe ni mwarabu.
  10. M

    Mnataka kumbebesha Hayati Magufuli madhambi yenu?

    Shambulizi la Tundu Lissu lilikuwa baya na ni sawa na shambulizi la Dr. Ulimboka na akina Kibanda, hata hivyo finally Hawa wote wapo hai. Lakini Shambulio baya zaidi ni lile mfano la General Kombe, Mwangosi na Dr. Mvungi maana Hawa walishambuliwa Hadi kufa Tena enzi zisizokuwa za JPM.
  11. M

    Haji Manara: Paul Makonda ulinilaza Korokoroni, acha dunia izunguke kwenye Mhimili wake

    Wangekuwapo wangejitokeza wakati akiwa kijiweni. Ila Kwa sasa Yanabakia kuwa maneno matupu.
  12. M

    Haji Manara: Paul Makonda ulinilaza Korokoroni, acha dunia izunguke kwenye Mhimili wake

    Makonda hata awe mjinga vipi hawezi kulinganishwa Kwa vyovyote na Manara. Makonda ana sapoti ya watu kibao, wakiwa ni watu wajinga ama la hiyo siyo issue. Ila Manara kuwa mjinga hiyo ni issue yake. Na Kwa kweli kijamaa hakina akili.
  13. M

    Ushauri: Tundu Lissu usihudhurie Interview nyingine itakayopangwa na WASAFI FM

    Anzisha TV yako Ili kucha kutwa uwe ukihojiana na Tundu Lissu au yeyote unayemuona bila yeye maisha hayawezi kwenda. Usitoe matusi Kwa Mali ya watu au wewe mwenyewe nenda ukamhoji, Kwani lazima wasafi.
  14. M

    Nadhani kuna cha kujifunza katika katiba ya Namibia hasa kipengere cha Rais ,Kimekaa kizalendo zaidi

    Haya tufanye Magufuli hakuchaguliwa, basi alishiriki kwenye kupigiwa kura. Hayo mengine ya kutuliza nchi na kutotekwa hizo ni ngonjera za kufunika madhaifu.
  15. M

    Nadhani kuna cha kujifunza katika katiba ya Namibia hasa kipengere cha Rais ,Kimekaa kizalendo zaidi

    Rais atapendekeza jina linapigiwa kura Bungeni tafadhali refer the late Dr. Omari wakati wa Mkapa.
  16. M

    Nadhani kuna cha kujifunza katika katiba ya Namibia hasa kipengere cha Rais ,Kimekaa kizalendo zaidi

    Nani kakuambia tunahitaji kuongozwa kizembe zembe kama ilivyo sasa? Fuatilia mikutano ya makonda ili ujionee, watu hawahitaji vijineno laini laini huku wakiendelea kuteseka. Wanahitaji lugha Kali itakayowatisha watu wabaya.
  17. M

    Nadhani kuna cha kujifunza katika katiba ya Namibia hasa kipengere cha Rais ,Kimekaa kizalendo zaidi

    Hakuna anayekwenda kupanga foleni ya kupiga kura ati Ili amchague makamu wa rais na after all kile kibox Cha kuweka tick au x Huwa kipo Kwa rais pekee. Makamu wa rais ni by the way na Kwa hivyo ni sahihi sana watu wakisema rais wetu wa sasa hajachaguliwa na yeyote
  18. M

    Rais Mwinyi msimamishe kazi DC wa mjini unguja , kukaa kimya ni kuidhinisha kauli yake ya kibaguzi

    Wewe Hayo makanzu unayaona ndo ustaarabu? Huo nao ni ujima b'se yamevaliwa tangu miaka ya nyuma zama za mawe na Bado unayang'ang'ani ati tu ni vile yanavaliwa na waarabu ambao Kwa ujima na ujinga wako unawaona viumbe wa daraja ya juu Kwa kivuli Cha Dini ya kikoloni.
Back
Top Bottom