Search results

  1. K

    Swali: JK tutakukumbuka kwa lipi?

    Kwa nyie lakini "Mtamkumbuka kwa kuchekacheka, safari za hapa na pale na jina alilopewa na Mnyika".
  2. K

    Kova: Kelele Zenu Ni Bure, Ahmed Msangi Ni Mtu Safi. Lazima Aongoze Tume...

    Huyo Kova kwanza akili yake sijui kama iko sawa, naye ni wa kupeleka Milembe kwanza akachekiwe. Pili hata yeye nadhani ni jambazi sugu kwa maana anaona kila kitu kwake ni sawa. Ila siku moja tu Mungu atawaumbua tu mateso sio hapa duniani malipo ni Mbinguni.
  3. K

    JOHN MNYIKA: Msimamo wangu wa sasa juu ya Kauli yangu bungeni!

    Wewe nae ndo wale wale walokunywa uji wa mgonjwa. Hujui usemalo.
  4. K

    JOHN MNYIKA: Msimamo wangu wa sasa juu ya Kauli yangu bungeni!

    Unastahili pongezi kwa kueleza ukweli. Usiogope hata kidogo kweli rais ni mdhaifu, mwoga na serikali yake kwa ujumla.
  5. K

    Nimesikitishwa sana na kibonde na clouds fm kuhusu mbunge nasari

    Heri KIFUA KIKUU na UKIMWI kuliko KIBONDE Namchukia sana huyu KIBONDE
  6. K

    Ushauri

    Wapendwa wanaJF naombeni ushauri kuhusu ili: dsfffffffffffffffffffffffffffsadasdasdasdasdasdasdas gdfgdfgdfgdfgdfgdfgdfgd
  7. K

    Wabunge Kupimwa Akili - Nani Awe wa Kwanza Kupimwa Akili?

    Hayo nayo maneno. Umeona ehe!
  8. K

    Bila CCM madhubuti upinzani imara nchi yetu itayumba...

    Kife Kife Chama Cha Mapinduzi.
  9. K

    Lema to Nassari: "Nitakupa mil. 10.... Jipe moyo utashinda"

    Safi sana na ameshinda nimefurahishwa sana na wananchi wa jimbo la Nassari.
Back
Top Bottom