Hawakushindwa jujitetea Hawa makomando. Wameheshimu uzakendo zaidi ya uvumilivu. Kama pa private tu na migambo wakizinguliwa wanauwasha moto miyaani, kweli JWTZ wameshinda kulitetea jeshi na utu wake? Au JWTZ unaowapa ujumbe wajeshi kwamba wawe kondoo wadhaifu KWA kuonewa tu?
Hata kama...
Unajuaje kama watu wote walihuzunikia Kifo chake na sio wengine walikusanyika ili kusherehekea. Aliyeumizwa sidhani kama aliguswa Kwa maumivu bali Ilikuwa faraja fulani hivi kwake
Hapo sawa. CCM waendelee na umilele wa chama chao lakini wasilazimishe KATIBA YA NCHI na umilele wao. Latina ya nchi inatambua uwepo wavyama vinginakila chama kina sera zake, ziheshimiwe.
Ukimjua adui yako vzuri utapambana naye tu hadi ushndi. Mwaka anawajua wabaya wake na silaha zao. The man has become an international figure now, fight him here atapaa tu kule nje ya nchi.
Nchi zingine kama za Scandinavia wanao utaratibu wa kujenga maeneo ambayo mwanamke anapotaka kunyonyesha anaenda kule anakutana na wenzake kunyonyesha. Ni marufuku kunyonyesha hadharani na ni jambo la kisheria. Kwao ni sahihi kwa sababu wametoa mahali maalum mbadala kwa kunyonyesha. Kama upo...
Lakini siku zote tumezoeataarifa za kukua kwa uchumi wa kwenye makaratasi, wakati maisha ya kawaida yanadorora. Watanzania tumekuwa hodari kwa kujieleza kuhalalisha hali duni kwa kuyapamba kwa maelezo hafifu maana sio jadi yetu kutafuta majibu halisi kwa maswali magumu. Tunapendelea kutumia...
Hilo ulioko hakina Hata zahanati? Acha kupuuza fani za wenzio, bends na mgonjwa kumwona daktari. Usimfanye mtoto wa wenzio guinea pig kwa kujaribisha Tina halafu akiishia zake ukawaumiza ndugu zake. Hilo tatizo linadhibitika hospitalini. Tuepuke siasa kwenye Afya za Watu.
Wapigwe chini tu. Maana hamna namna nyingine tena. Chama kinajifanya juries ate Pelee ndio kin a chin u a kila kitu Hata kutufikisha haha hovyo, wamedharau wosia wa wanzilishi wao. Ah, mimi nami nasema kipigwe chini tu.
Kwa nini vodacom watu ni aghali sana kulinganisha na mtandao mingine? Halafu manana no vifurushi Vyetu. Maana, university offers are so limited in terms of Wi-Fi La coverage around the target area na buying halafu Hanoi ya wiki Kama wenzenu. Hata offer ya Mwezi ingekuwa Poa ili mtu aliens field...
Of course ukijiachja tu atamanga tu. Maana Kama nawe wataka afu anajaribu kusema tu nawe unalegea, mimi nami nasema ugongwe tu, maana Hanna namna nyingine. Hata tukishauri hapa utagongwa tu. Si unapenda?
Naye ampe masharti. Amwambie hataki kumpa Kama hongo Bali Kama shukrani. Akipata karatasi Zake ndio aamue yes or no. Ni rahisi kucheza na Akili mgando. Using chains of reasons halafu mbele kwa mbele Kama chama fulani hivi , amejileta mwenyewe ache aisome namba ajue kidude kina wenyewe.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.