Search results

  1. J

    Hivi ni kweli COVID-19 haijaingia bongo au ndio tunafichaficha kama ilivyo desturi yetu?

    Leo nimeboresha afya yangu. Kucheka kunaboresha sana afya. Yaani nimecheka mpaka mbavu zimeuma.
  2. J

    Binadamu wasio na upendo wanaandaliwa!

    Natamani sana Mheshimiwa waziri wa Elimu angeusoma uzi huu. Natamani sana. Natamani sana angewanusuru watoto wasio na hatia, watoto wanaoathirika na maamuzi mabaya ya wazazi wao. Nimesoma maoni ya wadau mpaka machozi yakanilengalenga!
  3. J

    Binadamu wasio na upendo wanaandaliwa!

    Tunathamini elimu kuliko utu wa watoto wetu Mtoto anapelekwa shule ya bweni tangu akiwa chekechea Watoto wanakosa upendo wa wazazi wao na wanalelewa kama watoto yatima Matokeo ya hizi shule za bweni tutayaona muda si mrefu.
  4. J

    Msaada wa kupata App ya Biblia Takatifu

    Vitabu vya Deuterokanoni ndio vitabu gani hivyo?
  5. J

    Mita ya Luku ya inhemeter haikubali token

    Hii inayowasumbua haina hata miezi mitatu !!
  6. J

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    FANYENI TATHMINI YA MATATIZO YA MITA ZENU ZA LUKU NA MTAFUTE PERMANENT SOLUTION. Watu wanateseka sana na mita za Luku. Tatizo ni nini hasa? Mafundi au? Hivi mnajua kinachoendelea?
  7. J

    Mita ya Luku ya inhemeter haikubali token

    Ni wiki ya tatu sasa mafundi wa Tanesco wanahangaika na mita yangu ya three phase aina ya inhemeter lakini patupu. Mwenye solution tafadhali
  8. J

    Nimetumiwa email na Toyota nimeshinda USD 350,000

    Tamaa mbele mauti nyuma. Yaani unathubutu hata kuwajibu?
  9. J

    Unamuachia kijana wa car wash funguo za gari yako?

    1. Amekuonyesha leseni yake? 2. Unamfahamu? 3. Amekuandikia risiti? Unamuachia funguo za gari ya mamilioni mtu usiyemfahamu? Kuna siku utaitafuta gari kwenye mifuko ya suruali yako?
  10. J

    Kioo kilichochafuliwa

    Hadi huruma!! Hicho kioo kimeandikwaje vile?
  11. J

    Nani kalipia muda wa maongezi wa Kingunge N. Mwiru?

    [/COLOR]Kaa! usiache Faizar Fox na Nape wakazimia kwa hofu!!
  12. J

    Aibu ya tanzania "nchi ya amani"

    'I begged them not to take my arm away': Albino woman reveals thehorrific moment gang hacked off her limb with a machete to sell to Tanzanianblack magic witchdoctor Kulwa Lusana was 15 when she was attacked by five men in Tanzania They hacked off her right arm with a machete and left her for...
  13. J

    Picha za vurugu South Africa: Wazungu wamlilia Mwalimu Julius Nyerere

    Wewe unayejiita Dublin acha ku-quote makorokoro yote hayo. Unasumbua wasomaji. Kama hujui uliza, kuuliza si ujinga!
  14. J

    Watu wamiminika kwa wingi kwenda kupata utajiri wa haraka Meatu - Simiyu

    hivi watu ni wajinga kiasi gani? Bado hawajapata somo toka kwa babu wa loliondo? Uliza waliokunywa kikombe cha babu wako wapi.
  15. J

    Kuzaa watoto usioweza kuwatunza ni kuongeza vibaka mitaani

    Ukitembelea mitaani nyakati za mchana utashangaa kuona vijana wengi wakiwa wamezagaa mitaani bila kuwa na shughuli yoyote ya kufanya. Unapojiuliza hao vijana wanaishije bila kufanya kazi yoyote ndipo utakapojua kwa nini uhalifu umekuwa ukiongezeka siku hadi siku. Kijana ambaye hajala chochote...
  16. J

    Ni nani wanunuzi wa viungo vya albino?

    Kama tumeweza kuwakamata wauaji wa albino tunashindwa nini kuwatambua wanunuzi wa viungo vya albino? Kulingana na gazeti la Daily Mail inaonekana wanunuzi wa viungo vya albino ni watu wenye pesa na uwezo mkubwa kwa sababu viungo hivyo vinauzwa kwa bei kubwa sana! Je, hao wanunuzi wanaogopwa? Kwa...
  17. J

    Tb Joshua alivyonipa utajiri

    Hata mtu awe mjinga kiasi gani akisoma maneno hayo mekundu atajua kuwa huo ni ushirikina kabisa. Chukua tahadhari ndugu yangu, hizo ni mbinu za shetani. Yesu alipokuwa duniani hakutanguliza utajiri. Katika mafundisho yake yote aliwasihi watu watangulize UFALME WA MUNGU kwanza sio magari na...
  18. J

    Mtu akishakufa anatoa wapi power ya kufanya matukio?

    Pole sana kwa kutatizika na matukio uliyoelezea. Sasa ondoa shaka kabisa, nakupa majibu ya uhakika kabisa kulingana na Biblia: 1. Mtu akifa hawezi kufanya kitu chochote kile, hana uwezo wa kufanya jambo lolote linalofanyika chini ya jua. Swali. Hayo matukio uliyosimulia yaliwezaje kutimia? 2...
Back
Top Bottom