Search results

  1. Wa Bagamoyo

    Walimu wapewe posho ya kufundishia

    Ualimu ni ndoa ya mateso
  2. Wa Bagamoyo

    ZEC 50 inch led flat screen tv for sale

    Haichelewi kufuta vipindi hiyo, mana ZEC mhhh
  3. Wa Bagamoyo

    Rais Kikwete vipi 'umemsahau' ktk ufalme wako Reinfred Masako au? Anaonyesha ana bifu zito!

    Fanya hivi kama anakukera angalia TBCCM huko utayapata unayoyataka makali? ww
  4. Wa Bagamoyo

    Haki ya kujiunga na ACTwazalendo kwa mujibu wa Katiba ya Act

    Act juuuuuuu tutakutana tu kwani watanzania ndio wenye maamuzi ya mwisho... God bless act-wazalendo
  5. Wa Bagamoyo

    Wiki hii ni mwanzo wa Zitto kujua uongo na utapeli wa kisiasa wa CCM

    Mijutu ya CHADEMA utaijua tu kila kukicha wanamuwaza ZITTO tu, kwani mwanamke akimkataa mwanaume si anampotezea tu sasa miCHADEMA mmemkataa ZITTO sa kila siku mnamzungumzia yeye tu ya nini.... Tuachieni chama chetu bado ni kichanga tunakijenga jamani ACT-WAZALENDO oyeee
  6. Wa Bagamoyo

    Mwaka huu wameajiri wenye PGDE?

    Yes ajira unapata mkuu ondoa shaka.
  7. Wa Bagamoyo

    Ajira mpya za Walimu wa Sekondari zasitishwa kwa muda ili kurekebishwa

    Hawa walimu wetu hawa nina mashaka nao lile tangazo halijasema kuwa ajira zenu zimesitishwa bali limesema kuwa "kuondolewa kwa muda majina" na wala sio kusitoshwa kwa ajira mbona nyie walimu hamjiamini mnaboa sasa embu jiaminini.
  8. Wa Bagamoyo

    Airtel wapandisha vifurushi vya OMG

    iko safi Sana yakhee
  9. Wa Bagamoyo

    Airtel wapandisha vifurushi vya OMG

    Piga *149*07# yakheee karibu ZANTEL
  10. Wa Bagamoyo

    Airtel wapandisha vifurushi vya OMG

    Mie nishahama Airtel kitambo now natamba na Zantel wiki kwa 1gb kwa sh1000 tu... Sasa na wao wakiongeza bei dahhhh sijui nitakimbilia wapi mana hili linchi hili arghhhhh..NB: Karibuni Zantel ila njooni polepole mana mkijazana kwa mkupuo watashtuka hawa jamaa itakuwa shida zile zile.
  11. Wa Bagamoyo

    Walimu wapya mmejiandaaje kuripoti vituo mtakavyopangiwa?

    Swali zuri sana mkuu, mana walimu wana mizuka na shauku sana.
  12. Wa Bagamoyo

    Ukweli kuhusu blood group O

    Duh! Me nasoma comments zenu tu jamani
  13. Wa Bagamoyo

    Mnaomuunga mkono Zitto naomba jibu la swali langu!

    ACT ndo habari ya mjini
  14. Wa Bagamoyo

    Microsoft Lumia 535 for sale 250k

    Microsoft LUMIA 535 Dual SIM Windows Phone 8.1 8GB Storage 5MP front camera 5MP rear camera with LED flash Black color
  15. Wa Bagamoyo

    Microsoft Lumia 535 for sale 250k

    Simu tajwa inauzwa, simu bado mpya na Ina guarantee ya mwaka mzima nipo Dar 0713513637.
  16. Wa Bagamoyo

    Nahitaji simu, Bajeti yangu 350k

    Microsoft Lumia 535 ipo bei 300,000tsh maelewano yapo. 0713513637.
  17. Wa Bagamoyo

    Tulioishi na kusomea Tanga na viunga vyake kwa ujumla

    Jamani nilikuwa Tanga hizi siku za karibuni, nilichokutana nacho aisee dah! yani stendi kuu ya mabasi watu I mean wafanyabiashara maduka wanafungua saa nne na ukiacha ile funga fungua kwa ajili ya kwenda masjid... Dah hawa jamaa ni mamwinyi sana aisee. Kuna mtu aliweka uzi kuhusu Tanga kama...
  18. Wa Bagamoyo

    Nafasi za kazi St. Augustine Mwanza

    Madam Munyao ndo head of department sasa hivi, Njura, Maina bado wapo lakini ochoki hayupo.
  19. Wa Bagamoyo

    Bomu la IMTU limeshalipuka, bado la UDOM!

    Akili zenu bado changa wote nyie mnao shindanisha vyuo, nadhani kama sio first years au second years basi ndo form six maana mngekuwa na kazi au biashara zenu msinge kaa kuzozana kuhusu hayo mambo.
  20. Wa Bagamoyo

    Kwa waliosoma Forodhani shule ya msingi

    Me nakumbuka nilikuwa nakopa sana ice cream kwa babu jinga then full kujificha kwenye manguzo yale ili asinione. But nilivyo ingia standard 2 tukaamishwa wakadai shule inatakiwa kuwa kanisa.
Back
Top Bottom