Search results

  1. P

    Kauli ya Nape Juu ya Arusha na Tafsiri Yangu

    Kweli watanzania kwa sasa wana akili hivyo Nape uwe na hoja za msingi kwani hoja hizihizi mlizipeleka huko Arumeru na matokeo yake mmeyaona,toeni sera watu hawapo tena kihivyo nyie CCM na Nape
  2. P

    shamrashamra arumeru-polisi wanakimbia wananchi

    CCM wao hawana ubinafsi?kwanini kuna ufisadi?mbona hawajawahi kutuhumiwa kwa ubinafsi?
  3. P

    Maji marefu kamchanja nani chale hadi kunako?

    Wamepata walichopanda,sasa warudi na huyo majmarefu wakajigange upya,kazi yao kutumia jina la Mwalimu vibaya kuwadanganya watu wazima kwa pipi huku wao wakichezea urithi wa nchi yetu.waelewe zama za ujinga zinaelekea mwisho,waje na sera na si propaganda.
Back
Top Bottom