Search results

  1. panyabuku

    Jinsi gani nitaingia DSTV bure

    Wadau nilikuwa naomba msaada wa namba ambazo nasikia ukiweka kwenye king'amuzi chochote haswa cha startimes unaweza kuona channel za DSTV free.
  2. panyabuku

    Usajili wa Nursery School

    Shukran kwa kujitokeza kunisaidia ni Nursery School nahitaji watoto kuanzia miaka mitatu mpaka minne Pia kama unaweza ukanieleza yote hayo nitashukuru kwani ndio chanzo cha kujua mengi hata nikitaka na day care centre nifanye pia >Ubarikiwe nasubiri makjibu yote hayo.
  3. panyabuku

    Usajili wa Nursery School

    Mbona mnapita hii post wadau naomba mwenye uelewa wa suala hilo anisaidie ufafanuzi
  4. panyabuku

    Usajili wa Nursery School

    Wadau naombeni msaada wa kujua jinsi ya kuendesha Nursery School na taratibu za kuisajili kama kuna mtu anamchanganuo wa gharama zote hadi uanzishaji na mbinu mbalimbali za kukamata wanafunzi.
  5. panyabuku

    Msaada:NAomba mwenye notes za kujisomea za IT video tutorial

    Ahsane sana mkuu ,ila mbona site not found ukitaka kudownload hizo za free?ubarikiwe
  6. panyabuku

    Msaada:NAomba mwenye notes za kujisomea za IT video tutorial

    Wadau kwa mwenye notes za video za office application(microsoft wod,excel,powerpoint na access 2007) pamoja na Adobe products na coral drawing anisaidie
  7. panyabuku

    Msaada wa Motherboard Dell GX 280

    Wadau naomba mnijuze mtu anayeuza motherboard za Dell model hiyo na bei zake
  8. panyabuku

    Jinsi ya Kusajili kampuni katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    mungu akubariki nasi tunasubiri ajira kwako maana tz imekuwa ngumu
  9. panyabuku

    Nahitaji kuku wa kienyeji pure

    Nilizan utasema jogoo Kuchi,Singamaganzi au Bukin!!maana ndio kuku pure wa kienyej ninao wajua mimi nikisikia Australia najua hapo lazima kuna nusu mzungu nusu mswahili samahan ufafanuz kidogo mbegu ya Australia n kienyej pure?
  10. panyabuku

    Maandamano ya Waislam: Polisi waanza kulipua mabomu ya machozi maeneo ya Kariakoo!

    Duuuh...ngoja nigeuzie hapa magomeni maana wale wa mabakabaka hawachelewi kwenda huko.
  11. panyabuku

    Mjue tajiri mkubwa duniani anayeishi na papa nyumbani kwake!!

    Mkuu hiyo si sawaaaaaa Bakhresa hana waandish wa habar akitoa misaada uliza waliokaribu naye sio unakurupuka tu kama unauharo...
  12. panyabuku

    Msaada jinsi ya kutatua matatizo yangu ofisi za LAPF Dodoma

    Mbona kimya mkuu bado sijafanikisha kuipata...
  13. panyabuku

    Biashara ya Kuonesha Mpira wa Miguu (Kibanda-umiza): Fahamu Kiasi cha Mtaji, Vifaa na Mbinu za Uendeshaji

    Kwani wewe unauza aina gani mkuu...maana mimi nahitaji yenye ubora
  14. panyabuku

    Msaada jinsi ya kutatua matatizo yangu ofisi za LAPF Dodoma

    Ahsante Mkuu kwakutupa faraja Mungu awe pa1 nawe....
  15. panyabuku

    Tanzia: Mwanajamvi afariki Dunia.

    R.I.P Wasaimon
  16. panyabuku

    Msaada jinsi ya kutatua matatizo yangu ofisi za LAPF Dodoma

    Mkuu niPM details zako zaidi na za huyu Dada Joyce nifanye mihadi naye maana naenda mara ya 5 sasa kwa kupitia njia hizo nakwamishwa nikiwatajia shida yangu tu inaonyesha kama wameshaambiana hawa wa chini wanizungushe ili yasifike juu
  17. panyabuku

    Breaking News: Zimbabwe Vice President Dies

    Rest in Peace VP John Landa Nkomo
  18. panyabuku

    Mifuko ya Hifadhi ya Jamii inawadhulumu Wafanyakazi

    Mkuu tunadai mwaka wa 10 huu tangu mzee afariki tunazungushwa tu LAPF na hatujui lini watakamilisha maana kila siku wanatoa sababu mpya
  19. panyabuku

    Msaada jinsi ya kutatua matatizo yangu ofisi za LAPF Dodoma

    Wadau mambo yanazidi kuwa magumu nimejitahidi kwenda Dodoma ila sipewi nafasi ya kuonana na wakuu mlioniagiza niwaone naomben ushauri wa nini chakufanya maana tunapoteza muda tu sipat muafaka tunafuatilia mambo hatujui mwisho wake utakuwaje
  20. panyabuku

    Jihadharini na huyu jamani hapo Dar Tech

    Kwa wanaofanya short course watoto wakike zingatieni masomo msidanganywe na huyu fiasadi wa mapenzi
Back
Top Bottom