Search results

  1. Sizinga

    Hizi ndoa mbona ngumu sana au ni kwangu tu?

    Ndoa ndoano bro, ishi nae kwa akili, ndoa ikiwa na utulivu ni baraka tosha, ndoa ikiwa na dosari ni jehanamu tosha ya hapa duniani.
  2. Sizinga

    Rangi nzuri ya kupaka sebuleni

    White NA cream usitoke nje ya hapo, grill weka kijivu
  3. Sizinga

    Imekuaje “Mulokozi” akajenga hekalu lake Manyara?

    Mwenzako alishavuka hizo ages, hana cha kupoteza, hadi fungu la 10 katoa ana maua yake mbinguni
  4. Sizinga

    Sikukuu zinapoteza thamani

    Mambo yashakuwa mengi kikubwa zaidi watu wengi bado kipindi wanachukua likizo kuona ndugu zao na familia zao, tatizo linakuwa kubwa Januari mambo huwa magumu mno ukiyawazia
  5. Sizinga

    Kwa milioni tatu nifanyeje ili nikaishi kwangu?

    Hiyo nyumba mpaka iishe tena kwa kawaida sio chini ya milioni 50
  6. Sizinga

    FT: Young Africans SC 3 - 0 Medeama FC | CAFCL | Benjamin Mkapa Stadium | 20.12.2023

    Mshafikia malengo inabidi mtoke tu mjiandae kwa mwakani, robo fainali sio level zenu
  7. Sizinga

    Kitila Mkumbo; NHC, NSSF, TBA, Watumishi Housing vipi?

    Idea is well but not that much possible
  8. Sizinga

    Mlio kwenye ndoa: Hivi kuna ratiba ya kupeana unyumba?

    Ndoa mambo mengi, mara nyingi mnabinyana alfajiri au asubuhi ila ile jioni ni bilabila yaani sio ishu, mkiwa na nguvu kila siku mnabinyana but mkiwa busy depends na hamu na moody mlizonazo, ingawa mkizinguana hapo ni tatizo kwenye unyumba
  9. Sizinga

    Ninunue zipi kati ya Tiles za Kichina na za Kispaniora?

    Twyford hazipauki kirahisi, zinadumu sana
  10. Sizinga

    FT: Simba SC 1-5 Young African SC | NBC Premier League| Benjamin Mkapa Stadium | 05.11.2023

    Tukisema Roberthino ni kocha mbovu anatetewa... Haya sasa panapovuja pameonekana Mgunda achukue timu
  11. Sizinga

    Jiji la Tanga watu wanalala sana

    Njoo Tanga
  12. Sizinga

    Jiji la Tanga watu wanalala sana

    Kazi gani
  13. Sizinga

    Utabiri wa leo: Simba 0-2 power Dynamo

    Uzi wa mnyama unafunguliwa na Uto 😂😂😂
  14. Sizinga

    Ofisi za halmashauri ya Jiji la Dodoma zijengwe upya

    Unashauri? Unapendekeza? Unatujulisha? Au unafikiria iwe ivyo?
  15. Sizinga

    FT: CAFCL: Young Africans SC 1-0 Al-Merrikh SC | Azam Complex | 30/09/2023

    😂😂😂Sijakuona muda sana ndugu yangu kiwatengu ,but naamini upo mzia kabisa... Beer zitanywewa sana leo ngoja wapigwe hao Uto, nitawafariji
Back
Top Bottom