Search results

  1. K

    help please

    watakuja
  2. K

    Tanga Fresh...Mtindi

    99% ni maziwa ya ng'ombe,waliwapa mikopo wafugaj ili wafuge ng'ombe wa maziwa so kila siku huwa wanapokea maziwa kutoka kwa wafugaj na hupimwa kabla ya kuhifadhiwa endapo yatagundulika ya maji hata kidogo basi huyo mfugaj hupigwa faini,baada ya kutengenezwa huongeze creem test ambayo ni almost...
  3. K

    Huwa anatokwa na haja kubwa wakati wa mavituz part 2.

    hawez sema ukwel ila ukwel halisi anaujua nn kafanya na mahabuba wake
  4. K

    Kila nnapokaribia kumwaga anachomoa na kuibana kisha ananidai vitu vya thamani!

    mwenye macho haambiwi tazama,nina hofu kama bado haja kuroga coz ungekuwa mzima hata ushaur usinge omba ungechukua uamuz mgumu
  5. K

    Huwa anatokwa na haja kubwa wakati wa mavituz part 2.

    hatuna ushahid coz mlikuwa peke yenu room,so chochote huenda kilitokea na nina amin huwez kusema,but kabaang ulipiga
  6. K

    nahitaji laptop toshiba /hp

    ni pm utapata mpya yenye zaid ya hzo sifa ulzo ztaja
  7. K

    Ladies: To me huyu ndio mwanaume wa ukweli

    itaku cost wengine twaweza fanya vyote hivo bado twawa walaghaii tu
  8. K

    Niko njia panda

    huyu bint namjua sana ni ki malaya kilicho bobea
  9. K

    Niko njia panda

    i know u very well,umesoma ardhi,ww ni kicheche mbaya so uctusumbue kuomba ushaur
  10. K

    Murder, torture and bad leadership in Tanzania

    wewe kiingeleza chako ni kizuri?wakat mwingne ucpende kukosoa bila kufkria kwan kiingeleza sio lugha yetu,
  11. K

    Picha:Madhara ya kutumia laptop mapajani!

    na kupata cancer inatakiwa uwe na exposure ya kutosha,unaweza kutumia laptop kwa mapaja may be once a week,kumbuka tuna calculate cancer risk in term of life time exposure kwa ile ambayo ni chronic ondoa ile ya acute ambayo a single dose inakuletea cancer but for laptop radiation,il uwe muhanga...
  12. K

    Sikumkimbia Dr. Slaa New Africa Hotel

    hata mm nitafurah ukitoa ufafanuz juu ya hzo mambo
  13. K

    CHADEMA msimpokee Makonda

    huwa napenda sana kuona watu wa humu JF mnavojipa moyo kuhusu kufa kwa CCM, mtasubiri sana
  14. K

    Cheka ya tshs 400 vodacom haina maana!

    mtandao ni mmoja tu Tanzania,vodacom hao wengne wanasubiri,hata kama wakiiba poa tu lakin network haizngui kama mitandao hyo mingne
  15. K

    Lema ailiza tena CCM: Mjumbe wa kamati kuu Wilaya na kamati yake yote wahamia CHADEMA

    chadema mmebaki history huo ndio ukwel hata jamaa enu mbowe anajua ndio maana hana la kuongea na m4 chagaz kwishiney
  16. K

    Lema ailiza tena CCM: Mjumbe wa kamati kuu Wilaya na kamati yake yote wahamia CHADEMA

    mtakalia hayo hayo nchi hii inawenyewe nawenyewe ni ccm,ukwel unaumaa
  17. K

    msaada wa crack ya android window 7

    wakuu natumia sumsung galaxy pocket nime install Android Window 7 via google play,inapiga mzigo fresh ila tatizo kwenye screen kuna maandishi yanasema UNREGISTERED,kijiregista ina cost ankara so pliz kama kuna mtu mwenye crack au mwenye kujua jinsi ya kuondoa hayo maandish without registration...
Back
Top Bottom