Search results

  1. N

    CCM yaliteka jiji la Arusha - Jan 26, 2014

    naona costa na mabasi mengi yamekodishwa ili kukusanya watu pande mbalimbali za ukanda wa kaskazini. pia toka jana wajumbe wa mashina wamekuwa wakigawa fulana na nauli kwa watu ili kuwashawishi.
  2. N

    Magari yametekwa huko igunga

    kuna taarifa za malori 3 kutekwa na majambazi usiku wa kuamkia leo. madereva wamejeruhiwa kwa kuchomwa mwilini na vitu vyenye ncha kali pamoja na kutobolewa macho. kwa sasa malori na mabasi yamekwama baada ya wenye malori kuziba njia kati ya igunga na nzega wakilalamikia serikali kushindwa...
  3. N

    Vijana wa Vyuo vikuu wanaCCM waandamana kuunga mkono JK kuvunja baraza la mawaziri!

    Leo mchana nape amepokea maandamano ya wale wanaojiita Wana cccm wa vyuo vikuu,lengo Lao ni kupongeza Kamati kuu.(source Chanel ten) Haiwezekani na ni vigumu kuamini kwamba bado kuna wasomi vyuoni ambao wanaweza kupoteza muda wao kwa ajili ya kuunga mkono ubadhirifu unaofanywa na mawaziri wa jk,
  4. N

    Moto mkubwa maeneo ya stand ya Arusha mjini

    habari za hivi punde ni kwamba kuna moto umezuka katikati ya jiji la Arusha maeneo ya Sabena. magari ya zima moto yameshafika na wanaendelea kupambana na moto huo,. chanzo cha moto bado hakijajulikana :A S-fire1::A S-fire1::A S-fire1:
Back
Top Bottom