Search results

  1. C

    Makada CCM wakata rufaa ubunge wa Lema

    Anaejua jumla ya kiasi wanachotakiwa kulipa anijuze wakuu,ni milion ngapi na kulingana na agizo la mahakama deadline ni lini?
  2. C

    Dozi kamili ya "MVUNGE" plzzzz!!

    Thanks mkuu somehow nimekupata, but baada ya kuchukua damu nachanganya na utomvu kwa kupaka damu pale pale nilipochanja tunda AU ninakinga utomvu kutoka kwenye mti then ndo nachanganya na damu?naomba maelezo kidgo hapo na ninatanguliza shukrani mkuu!!
  3. C

    Dozi kamili ya "MVUNGE" plzzzz!!

    Habari zenu wanajamvi,,,nimeguswa na kufarijika na ugunduzi na uthibisho wa mmea aina ya MVUNGE kuwa dawa ya kurefusha na kunenepesha uume,huu ni wokovu kwa ulimwengu wa "free market",naomba mwana MMU yeyote anaejua jinsi ya kutumia huu mmea kwa namna yoyote ile afunguke kwa manufaa ya wanajamvi...
  4. C

    msaada wa phone security plzz!

    sasa mkuu bahati mbaya me niliweka password bt tofauti na izo bt nimezisahau,nifanyeje mkuu ray05?
  5. C

    msaada wa phone security plzz!

    habari zenu wanajamii forum,naomba anayejua anisaidie original phone password kwa sababu nimezisahau,simu ni nokia 2690,natanguliza shukrani!
  6. C

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Dah nilisema kuhusu hi ki2 mm toka kitambo!washabik wa mpira 2badilike!
  7. C

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    dah!mtanange ndo leo ko 2candikie mate,but naomba wakuu 2siwe mbali na thread kuendelea kunotice mwenendo wa refa na kujuzana,guwd luck 2 all!!!!!!:majani7::target::kev:
  8. C

    Kauli mbiu ya CHADEMA nguvu ya Umma na wabunge 23

    Shame on u!ni kashfa kubwa sana mwanaume kutumiwa!ww una2miwa!na ukifuatilia historia wa2 weng walio na historia ya kutumiwa huishia kuuawa il kuficha ushaid za wakubwa wao!so kama una2miwa narudia tena KAMA UNA2MIWA cku zako c nying!
  9. C

    Mukama: Mbio za Urais CCM, sasa ni zamu ya nyanda za Juu Kusini, Kati na Kaskazini

    Dah!huyu jamaa alivyoingia kwa mbwembwe na sera yake ya kujivua magamba na anayoyaongea leo!yan havifanan kabisa!?
  10. C

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Hata kabla ya kuisha kwa game ya chelsea jana dhidi ya wapinzan wao jana usiku,tayar wengi wa mashabiki walikuwa wana piga mahesabu ya fainali kati ya barcelona na atakaeshinda kat ya madrid na bayern,kwa kusema kuwa chelsea imeshatoka because inakutana na barca!je ni sahihi kusema hivo...
  11. C

    Kauli ya Mwisho ya Mwalimu kuhusu Mzee Mtei pale nyumbani kwake Msasani..

    zaidi ya kumfaham ka mwasisi wa cdm sina info zozote za mzee wetu mtei!mwenye historia,cv zake na mikasa na info zake zaid atujuze tafadhali kwa manufaa ya 2siomfaham kiundan!
Back
Top Bottom