Search results

  1. vangiling'ombe

    VIDEO: DC Mtatiro aanza kwa kishindo. Apiga marufuku unyago, atakayekaidi kukiona

    Sijui hawa wateule wana-feli wapi, sijui wanadhani ni program tokomeza mifuko ya plastic. ameshafel tayar.
  2. vangiling'ombe

    Rais Jakaya Kikwete arejea nchini

    Kwani Tanzania tuna rais?
  3. vangiling'ombe

    jaman dunia imeisha

    Nalo hili unataka ushauri? nawe malaya tu...
  4. vangiling'ombe

    Je kuna umuhimu wowote kumuandalia Chakula mumeo wakati housegirl yupo?

    Je, mm nilimuoa Housegirl au....? Ndio maana mnaachika kwa kutojua majukumu yenu...Kwa hiyo chakula kikiwa kitamu nimsifie nani? Housegirl au ww (mke wangu)?
  5. vangiling'ombe

    Tofauti za kiuchumi vs mapenzi na ndoa

    Kama ni Chagazzzzzzzzzzzz...........loading........................0.1%
  6. vangiling'ombe

    Mheshimiwa Zitto Kabwe aache siasa za kuchanganya wapiga kura.

    Kama kwenu(ccm) ZZk anayofanya ni yenye Busara na Hekima kwa sasa mchukueni...Another silly season for ZZK...
  7. vangiling'ombe

    Urais 2015: Mtei amshukia Zitto

    Ifike wakati apuuzwe kama Shibuda....Kijana ZZK busara na Hekima ni zeroooooooooooo kabisa. Ndio awe Rais huyu...
  8. vangiling'ombe

    Mheshimiwa Zitto Kabwe aache siasa za kuchanganya wapiga kura.

    Another silly season for ZZK. Akikua ataacha.
  9. vangiling'ombe

    Urais 2015: Mtei amshukia Zitto

    NAUNGANA NA WANA JF WENGINE KUWA ZZK NI MBINAFSI SANA. MARA ZOTE HUPENDA KUJIPAMBANUA KIBINAFSI-BINAFSI SANA. Swali: 1.Hivi ktk chama hakuna taratibu/vigezo vya kumpata mgombea wa urais? 2. Hivi ZZK katumia vigezo vipi kujua kuwa...
  10. vangiling'ombe

    Zitto: Nia, Uzalendo na Uwezo wa kuwa Amiri Jeshi Mkuu wa Tanzania ninao!

    Another silly season for Zitto. Plz zitto usipime upepo kisiasa namna hiyo...tungetegemea ujikite kuleta vyanzo tangible vipya vya kuboresha maisha ya mtanzania than urais unaoutaka kupitia CDM. Think of synergism. Avoid being Contraversial. Very soon you wil be Shibuda part 2.
  11. vangiling'ombe

    Ndege wa rangi moja huruka pamoja; Zitto Kabwe achana na Mnyika, njoo CCM!!

    kamuulize Shibuda, CHADEMA ni taasisi na sio ZITO kama unavyotaka umma uelewe. Kama mnampenda mumchukue. watanzania wasasa ni critical thinkers...pole naona masaburi yanakuwasha.
  12. vangiling'ombe

    Siri ya Ulegelege wa CCM

    Yaan Nchemba anajisifia Kuwa ni mchumi wa daraja A????? tena eti wa BOT???? NDIO MAANA SIKU HIZI BOT IPO KAMA MICROFINANCE coz kama wafanyakaz wenyewe ni kama Nchemba kaziiii kwelikweli. Alete hoja sio A, mbona hata Bana ni Dr, lakini inatusaidia nn wananchi.
  13. vangiling'ombe

    Madhara ya Mavaz ya kubana kwa Wanawake

    Health Problems from Wearing Clothes Too Tight Celebrities and every day people alike, have been squeezing into slimming, tight clothing for centuries. Whether it was corsets in the Victorian Age or skinny jeans in modern times, the fashion to be thin has been unsurpassed...
  14. vangiling'ombe

    Michuzi sio sawa: Uchakachuaji wa picha za ccm za Jangwani leo 9.6.12

    Nimejaribu kutafuta viti walivyokuwa wamekalia sijaviona. tena vilikuwa vyeupe? Michuz hii ni aibu. kama ni njaa yako unamhitaji Cameroon sasa.
  15. vangiling'ombe

    CHADEMA yateka kusini - Soma hotuba yao

    Join 10th April 2011 Posts 65 Likes Received 4 Likes given 0 Sio kosa lako kwa ulichokiandika. simple minds discuss people, great/critical minds discuss issues. Napata taabu sana kuishi na watu wa caribre yako.
  16. vangiling'ombe

    Je Tutapona wenye wapenzi UDSM & Mzumbe?

    unataka uishi milele kwani wewe mungu. Kwetu pazuri nimeshapakumbuka...
  17. vangiling'ombe

    hapa ni Zanzibar ama ni Iran?

    hawajafanya mazoezi siku nyingi. Hawajapigwa mabomu siku nyingi so sirikali kazi kwenu.
  18. vangiling'ombe

    Picha:Umbumbumbu wa magazeti yetu

    Heri ukose vyote isipokuwa akili. Kipi kinaongeza hasira? Kulipoti kilichofanywa au kuchoma makanisa, mali,nk.? Hv hamkuwa na njia mbadala ya kuwasilisha kero zenu? Kemea anayembagua mwanadamu mwenzie kwa mwavuli wa dini, kabila, rangi nk. Umeandika matapishi tu hapa. Badala ya kuongelea...
  19. vangiling'ombe

    Waislam hawana Imani na Baraza la Mitihani...

    Walishazoea TENDE NA ALUA. Kamueni acheni kulalama. Itawachukua miaka mingi sana kujiletea maendeleo yenu wenyewe kwa tabia hizi za kulalama.
  20. vangiling'ombe

    Kwa hili la CDM jangwani kweli Dar ina wenyewe

    SOMA HII AMEANDIKA GAMBA MWENZIO. LABDA ITAKUSAIDIA KIDOGO. KARNE YA 21 UNAONGELEA WATU??? KOSA LA CCM: Ukiangalia vizuri, CCM haina uwezo wa kubaki madarakani miaka mitatu ijayo; ukiangalia vema CCM haiko madarakani hata sasa: Ukiangalia kwa umakini CCM haiko madarakani tangu miaka kadhaa...
Back
Top Bottom