Search results

  1. L

    Ushuru wa Parking kwenye fukwe za Dar Ni kwa Sheria ipi?

    Ushuru wa saa mbili usiku ndo unaonishtua mkuu.
  2. L

    Ushuru wa Parking kwenye fukwe za Dar Ni kwa Sheria ipi?

    Hapana, wao wanadai wamepewa tender na Halmashauri ya Kinondoni.
  3. L

    Ushuru wa Parking kwenye fukwe za Dar Ni kwa Sheria ipi?

    Ndo wewe nini unaekula posho?
  4. L

    Ushuru wa Parking kwenye fukwe za Dar Ni kwa Sheria ipi?

    Mbezi beach jirani na Ramada Hotel. Jamaa kaja kudai ushuru saa mbili usiku.
  5. L

    Ushuru wa Parking kwenye fukwe za Dar Ni kwa Sheria ipi?

    Habari wadau. Kuna huu ushuru ambao watu wenye magari wanalipishwa wanapokuwa wanaingia kwenye fukwe za bahari kwa maelezo kuwa ni ushuru wa halmashauri. Nimemuhoji mmoja wa watoza ushuru ila hapa Mbezi beach ila majibu yake hayaeleweki. Mi ningependa kujua, huu ushuru wanaokatisha kwa...
  6. L

    Tupeane connection za mashamba/viwanja vya gharama nafuu

    Sqm 300 unapata hati?
  7. L

    Plot4Sale Nauza kiwanja Goba

    Kimepimwa?
  8. L

    Matumizi ya wimbo wa Taifa kwa matangazo

    Habari ya mchana wakuu. Kuna mahali nimeona tangazo kwenye ukurasa wa kampuni fulani ila audio inayo play ni wimbo wa Taifa la Tanzania. Naomba kufahamu, hii inaruhusiwa kisheria au kuna makatazo yake?
  9. L

    Chuki, na wivu kwa watu wa kaskazini ndio chanzo cha kusemwa hawafai

    Romance ndo hawana kabisa, kwa kifupi wanawake wengi wa Kichagga mapenzi hawajui.
  10. L

    Chuki, na wivu kwa watu wa kaskazini ndio chanzo cha kusemwa hawafai

    Ni ukweli usiopingika kuwa wachagga wamejikita kwenye utafutaji na hata kuwajengea watoto wao na wajukuu uwezo wa kutafuta mali. Ila kwenye swala la kuoa uchagani simshauri mtu wa jamii nyingine, japo unaweza kubahatika kupata mwenye tabia njema. Wao kwa wao wanabaguana, utaskia Mmarangu hataki...
  11. L

    Ukioa kwenye familia yenye wazazi wenye maadili mabovu binti yao anaweza kuwa tofauti?

    Kuna mchungaji aliwahi kusema, "ukitaka kumuoa binti, muone mama yake" Mara nyingi vile binti atakavyokuwa ni kutokana na kile anachokiona baina ya wazazi wake. Tukubali au tukatae, tabia za watoto wengi ni urithi kutoka kwa wazazi. Kama mama anaamini kwenye ushirikina, halafu ukaoa binti yake...
  12. L

    Familia nyingine ni za ajabu sana

    Hapa ninavyosoma hii thread yako, inaita simu ya baba mdogo. Yuko kwenye 50s hapo. Ila kila week lazima atapiga kuomba elfu kumi/ishirini. Bado ana nguvu kabisa za kufanya kazi, lakini naamini akili yake ameshaielekeza kwenye kuomba pesa ya kula. Niliwahi kumshauri walau aseme ni biashara...
  13. L

    Natafuta Kiwanja Madale

    Ninahitaji kiwanja maeneo ya Tegeta, Madale. Ukubwa: sqm 450-500. Budget: 15m. Nitafurahi sana kama ntapata kutoka kwa mmiliki mwenyewe na kisiwe na migogoro. Mwenye nacho naomba ani PM
  14. L

    Aptitude test TCB

    Mi nimeona ni 8.30 Am
  15. L

    Nape aanza nyodo kwa wananchi. Anatoa majibu ya shombo

    Bila katiba mpya, huu upuuzi wa tozo hautoisha kamwe.
  16. L

    Dar: Mkuu wa Mkoa, Amos Makala aagiza Mabasi yote kushushia abiria Stand ya Mbezi

    Stand we iache hapo hapo, weka sheria ndogo kuwa bus lisiondoke Dar bila kupita Stand kuu. Habari za kushusha au kupakia achana nazo.
  17. L

    Dar: Mkuu wa Mkoa, Amos Makala aagiza Mabasi yote kushushia abiria Stand ya Mbezi

    Sababu zinazotolewa ni za kipuuzi sana. Wekeni utaratibu kuwa gari inaweza kuwa na terminal yake, lakini isondoke Dar bila kupita Stand kuu ya Magufuli. Happ mtafanya ukaguzi wenu wote kabla gari haijapewa clearance. Saa saba usiku umshushe mtu Mbezi wakati bus linaenda uelekeo wake ni unyama wa...
  18. L

    Daktari: Pigeni nyungu angalau mara 2 kwa siku

    Za kuambiwa changanya na zako. Kaka kama kusoma hujui, hata picha huwezi kuona?
  19. L

    Serikali yasema hii si mara ya kwanza kwa Tanzania kuwa na utaratibu wa kukagua magari yanayoagizwa nje ya nchi

    Ni wakati sasa hizo kampuni za uagizaji magari zifikirie kuhamishia hizo stock hapa hapa. Sio mi naagiza gari halafu nishalipa pesa yangu nakuja kuambiwa gari ina shida, hivyo lazima itengenezwe. Hizo gharama anafaa azibebe muuzaji, maake alinihakikishia kuwa gari iko sawa kabla sijanunua...
  20. L

    Athlete Crown sio gari la kubishana nalo ukiwa barabarani acha liende

    Ndo hivi hivi wengi walikimbilia Brevis, na sahivi hawazitaki tena. Wabongo wengi ni watu wa hype tu.
Back
Top Bottom