Search results

  1. G

    Ladies, Can You Kneel Down For Your Husband Openly?

    Mimi nitaoa Uganda watoto wa Kiganda wanapiga goti nusu saa hajanyanyuka.Isee niliipenda hii kakangu ameoa Mganda kumuuliza anasema ndo utamaduni wao ni ishara ya upendo na heshima kwa mwenzi wako. Hawa wenzetu kizazi cha dot.com hawayajui haya na wazazi enzi za kina nyerere walikuwa wanafanya...
  2. G

    'Mwanajeshi' aliyepiga picha na Lema afungwa jela miaka minne

    Huyu jamaa kuhukumiwa haraka amekiri makosa yake jambo ambalo umeirahisishia kazi mahakama angakana makosa yake ingeichukua haraka mahakama kutoa hukumu. Hata hivyo kesi hii is not the government interest case kama za kina Ulimboka na Mwangosi hizi zina masilahi na siasa za CCM ndo maana haziko...
  3. G

    Zitto: Utajiri wa nchi (Tanzania) mali ya nani?

    Nchi zenye utajiri wa rasilimali ya Madini kama DRC Angola na Sierra Lione zimeathiriwa sana na makundi ya waasi ambao wamekuwa wakidhibiti migodi ya Madini ambapo wanapewa misaada ya zana za kivita na nchi za Magharibi then wao wanachukua madini na wananchi wanaishi kwa kukimbia nchi zao...
  4. G

    Tell Tanzanians to STOP KILLING the poor who steal: Let the Law Take Action!

    You have attempted your level best to express your leniency upon the victims but what you need to take into account is that the Tanzanian civilian take actions upon the victims because of irresponsibility of government law organs particularly policies. Laws do not work and civilians are tired of...
  5. G

    Shujaa wako mwaka 2012

    Magufuli anachapa kazi.
  6. G

    Mwaka 2013 - ni mwaka wa kuwa na mwenza

    Mkubwa ni kama huyo demu siyo type yako so we fanya mchakato apatikane umpendaye zaidi. ungekuwa unampenda sana hiyo sababu unayosema inakukera wala hata usingeiona tatizo. Zaidi ungemuelimisha naye angekuelewa so fanya uamzi wa kweli kwenye kuchagua warembo hawa ila ukizunguka sana utamaliza...
  7. G

    Wanaume tuache kugeuka

    Haaaa! Hasa hao wenye Inye kubwa wamevaa hizo transparent za kutait ndio wanaotuletea ajali mpaka magari yanagongana ci mnajua inye kaugonjwa ka most Men!.
  8. G

    Mdahalo wa Ugomvi: Ati Nyerere alikuwa Dikteta; aliua wengi...

    Idadi ya raia waliouawa kwenye mikono ya vyombo vya dola kati ya utawala wa Mkapa na Kikwete inazidi kwa mbali sana idadi ya waliouawa na vyombo vya dola kwa zaidi ya miongo miwili ya utawala wa Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere. Kiasi hicho pia kinazidi sana kile cha wale ambao hukumu ya kifo...
  9. G

    Magufuli, Barabara ya Kigoma hadi Nyakanazi umeitelekeza

    propaganda na porojo zenu tumezichoka sn nyie walalamishi barabara hiyo tutajenga na kura lazima mtupigie tu au humna macho? mbona tumeweza kujenga mwanza -dar tutashindwa hiyo njia ya panya?
  10. G

    NBC Bank Si Salama.

    Anachosema mkuu hapo ni sahii. Japo sijui kama yeye ni muathirika wa tatizo hilo au ana ukweli wa watu wangapi wanajua hali hii. Binafsi ni muathirika wa hiki kinachosemwa nilienda kulipa direct entry cost ya chuo (Udsm) 2009 Tshs. 74500.00 nikapewa pay in slip nikidhani wameingiza malipo hayo...
  11. G

    Uthibitisho wangu kwamba Ben Saanane/Mamuya ni watu hatari ndani ya chama

    Viongozi wakuu chukueni hatua mapema msifumbe midomo na macho kama utamaduni halionao bwana ...... vijana hawa waelekeze inaonekana ndo sasa vifaranga wa samaki wanaota mapezi kuanza kuogelea.
  12. G

    Taarifa ya Serikali - Kuzama kwa Meli Zanzibar

    Jamani Sio sahii kuhusisha maafa yanayotokea na siasa. Hakuna uhusiano kati ya kuzama kwa meli na ccm haya ni maafa tu kama ajali zinazotokea mara kwa mara. Inaonekana huyu jamaa amekariri na ana chuki binafsi na chama hki kwani upepo mkali ndo umesababisha meli izame na si vinginevyo.
  13. G

    Naibu Spika Job Ndugai amtoa nje Mbunge wa CCM kwa siku tatu

    Mji mpya wa kisasa Kigamoni unaotarajiwa kujengwa inasemekana ni wa Bush so makada wa chama wanaulinda mpango huu kwa nguvu zote ndiyo maana huyu kiranja msaidizi amemuondoa mbunge wa jimbo hilo kinyume na kanuni.
  14. G

    wanawake sa ingine mnajifedhehesha!

    Wanawake wa namna hii ni vibao tu. Wanawaza tu mambo ya wivu wakati wanaume wanahangaika watoto waende choo.
  15. G

    Nina mpenzi nimemchoka na simpendi lakini nashndwa jinsi kumuacha nifanyeje???????

    Kama vipi muite demu wako wa mz mwonyeshe huyo kuwa ndo demu wako umpenaye la sivyo hata ufanyeje kaishanata umwambii chochote.
  16. G

    Pesa za Msaada za maji kutoka kwa Sabodo kwa ajili ya Namanyere zimeliwa na wakubwa : Mbuge Kessy

    Haya ndiyo yanayokimaliza chama. Watajwe hawa mafisadi.
  17. G

    Haya ndo anayoyapenda Rais Wenu

    Uliyecoment hapo juu nathubutu kukwambia kuwa una chuki na kiongozi huyu. Huwezi kuishi kwa amani na uhuru wa kutoa mawazo yasiyo na staa namna hii afu ukamwita kiraza rais wako namna hii. Hata babako unamfanyia hv. Tumia vizuri uhuru wa watu kusoma mawazo yako. SO babako akisalimiana na jirani...
  18. G

    I am looking for a job

    ! Kuwa na busara mkuu we ndo nchemba hujitambui huwez tumia kauli za namna hii. Ulisoma Tumaini University? kwa kauli hz wewe na huyu mwomba ajira ni kopo na mfuniko wake. Chuo cha kata hicho au unabishaaaaaaa!!
Back
Top Bottom