Search results

  1. DIUNATION

    UVCCM, Mdude Nyagali aoneshwe kuwa taasisi ya Urais haitukanwi kirahisi

    Nimefanikiwa kuiona clip ya Mdude akitumia maneno ya kuudhi na yasiyo na staha kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Niseme wazi kama Rais Samia angeamua asitoke asingetoka ila kwa sababu anaamini katika Uhuru wa Mahakama aliamua ifanye kazi yake. Ni muda muafaka sasa kwa UVCCM...
  2. DIUNATION

    Uchaguzi 2020 Uwanja wa Mkapa umeharibika waandishi kimya

    Jana kulikuwa na tukio kubwa sana la kampeni la Chama cha Mapinduzi kwenye uwanja mkubwa wa Mkapa. Kilichotokea baada ya tukio hilo picha zinajieleza haina tofauti na kilichofanywa na WCB kule Sokoine, Mbeya. Tofauti ni kuwa kule Mbeya kelele za kulaani zilikuwa nyingi ila kwa Jana kimya kila...
  3. DIUNATION

    Uongozi wa mkoa Tanga hakuna haja ya kuzuia wananchi kumwambia Rais matatizo yao

    Tarehe tano ya mwezi huu mkoa wa Tanga unategemea kupata ugeni wa mh raisi Magufuli.Kutokana na hofu ya makosa ya kiutendaji na kutotatua matatizo ya wananchi kwa baadhi ya watendaji wa serikali kumeibuka matishio kwa wananchi hasa wa eneo la chongoleani ambako mradi wa bomba la gesi litafika...
  4. DIUNATION

    KASHFA ZAZIDI KUMUANDAMA BLATTER.

    Fifa imesema aliyekua raisi wa fifa Sepp blatter pamoja na manaibu wake wawili walijipatia kiasi cha dollar million 80 isivyo halali.Huyu mzee alikua mwizi na ndio maana kila alipotaka kutolewa madarakani alihakikisha mpinzani wake anapotea.Sasa ni zamu yake ataisikia fifa ndotoni. Source.France 24
  5. DIUNATION

    Hatma ya Niyonzima

    Wakati nikiisoma taarifa ya yanga ya kuvunja mkataba na mchezaji huyu,sababu kubwa ni kua amekiuka baadhi ya vipengele vya mkataba wake hivyo kama club imemvumilia na imefika mwisho. Sakata hili nadhani halina tofauti sana na kilichomkuta morinho aliyekua kocha wa chelsea kwamba katika mkataba...
  6. DIUNATION

    Angalizo kwa viongozi wa Coastal Union

    Kama mwanamichezo ningependa kutoa dukuduku langu ambalo linanikera hasa kwa club hii. Nimekuwepo hapa tanga kwa mwezi mzima sasa na hua natembelea mazoezi ya timu mbalimbali pindi wakiwa hapa. Coastal union imekua haina matokeo mazuri katika msimu huu.kuna mambo nataka niwaambie viongozi wao...
  7. DIUNATION

    Wito kwa wapigakura wa mikoani

    Wanajamvi! Kumekua na tabia inayoendelea kushika kasi kwa lundo la wanasiasa wa vyama vyote waliokulia au wamehamia jiji la dar es salaam kwa miaka mingi na kuwekeza huku kuanza kurudi katika majimbo yaliyo mikoani eti kwa kigezo cha kuzaliwa huko. Sina ugomvi nao ila haiwezekani mtu amewekeza...
  8. DIUNATION

    Ufafanuzi wa kikatiba

    Wasalam, Ninasikiliza redio hapa wanafafanua kua kikomo cha Waziri serikalini ni baada ya raisi kuvunja Bunge. Je kuna ukweli hapa? Au kuna ufafanuzi zaidi? Pili ukomo wa raisi aliye madarakani ni lini? na nani anakaimu?
  9. DIUNATION

    Sakata la Geofrey Mwashiuya: Jerry Muro aumbuka

    Baada ya kuropoka na kuwatukana viongozi wa Kimondo Fc kua hawajitambui na hawakua na mkataba na mchezaji waliomdajiri Jofrey Mwashua leo katibu wa Yanga kanda mbozi kuyamaliza na viongozi wa kimondo.
  10. DIUNATION

    Siku ya valentine na matukio yake.

    Ikiwa leo ni tarehe 14 febr ndio siku ile ya wapendanao.Ni siku ambayo wapendanao hufanya matukio mengi ili kuthibitisha upendo wao.Ila pamoja na hayo siku hii imekua na matukio. mengi kama Mafumanizi au ndoa kuvunjika na mengine mengi.Wadau wa Jf jaribu kuripoti tukio lolote katika mtaa au...
  11. DIUNATION

    Raisi amteua mwanasheria mpya.

    Raisi wa Jamuhuri ya muungano wa tanzania amemteua Bwana george msaju kua mwanasheria mpya kuanzia tarehe 2 january.
  12. DIUNATION

    Flights disrupted after computer failure at UK control centre

    Passengers are facing widespread flight disruption after a computer failure at the UK's air traffic control centre. National Air Traffic Services (Nats) said a technical fault in the flight data system at its Swanwick centre had caused the problem. It had now been restored to "full operational...
  13. DIUNATION

    Bunge la Ufaransa laitambua dola la Palestina

    First it was the British and the Irish. Then the Swedes and the Spanish. And on Tuesday, the French, too, added their weight to the push for recognition of a Palestinian state. The vote in the French lower house of Parliament favoring such a step was a largely symbolic move. But it was the...
  14. DIUNATION

    Mubarak cleared: Egypt protests as ex-leader charges dropped

    Aliyekua Raisi wa Misri HOSNI MUBARAK ameachiwa huru na mahakama ya misri ikiwemo mauaji ya waandamanaji na rushwa =================================================== Mubarak cleared: Egypt protests as ex-leader charges dropped Mubarak waves as he is wheeled out of the court after the...
  15. DIUNATION

    Sitti Mtemvu ajivua taji la Miss Tanzania 2014, Lilian Kamazima amrithi!

    Sitti Mtemvu 2014 kajivua taji rasmi ndani ya hoteli ya JB BELMONTE Posta - Dar es Salaam. Mshindi namba 2, Lilian Kamazima kakabidhiwa rasmi taji hilo. Sitti alikuwa anashutumiwa kwa kugushi vyeti na umri ili ashide u-miss ambapo ilizua mjadala mkubwa kwenye huu uzi Miss Reds Tanzania 2014...
  16. DIUNATION

    Gerrard kuikosa madrid leo

    Kocha wa Liverpool amesema katika mechi yao dhidi ya Real madrid atampumzisha Gerrard.Je atapona kweli?
  17. DIUNATION

    Hongereni sana jiji la Arusha

    Wakati nikiangalia kipindi cha tuongee asubuhi Star TV. Imeelezwa kua pamoja na ukubwa wa jiji la Mwanza ila linakusanya shillingi millioni 30 tu kwa mwaka kama kodi za mabango ikiwa ni tofauti na jiji la Arusha linalokusanya Zaidi ya Shillingi Billion Moja kutokana na kodi za Mabango.
  18. DIUNATION

    Changa la macho mahakama ya kadhi.

    Wakati Waziri mkuu akilihutubia BMK asubuhi hii kasema swala la mahakama ya KADHI lipewe muda mpaka mwakani mwezi wa kwanza ila leo na kesho waislamu wapige kura kama kawaida.Hili ni changa la macho mchana kweupe.
  19. DIUNATION

    FIFA ya Blatter inakufa

    Wakati naangalia kipindi cha michezo CNN.Wametaarifu kua Raisi wa FIFA amekaa ripoti ya kashfa ya rushwa inayoihusu FIFA isisomwe hadharani.Anataka iwe siri.Huyu babu analiua hili shirikisho.Na amepanga kugombea tena.
  20. DIUNATION

    Wanawake kwa nini mnakua malimbukeni hivi?

    Nilikua naangalia kipindi cha Diary ya Lady Jaydee akiwa ametembelea Maria Stopers.Wakati anatembezwa thieta kwa ajili ya kina mama yule mkunga akamwambia Idadi kubwa sana ya wazazi hasa wanaokua ndio wanajifungua kwa mara ya kwanza wanapenda kutumia njia ya Oparesheni na sio njia za kawaida na...
Back
Top Bottom