Hii hofu yao haina muda mrefu, itaondolewa kwa nguvu ya Umma. Kenya, majirani zetu, Bunge linaoneshwa na Tv zote, labda iamue kutokuonesha. Pia, tunashudia KESI kubwa au zenye mvuto zikionyeshwa live........ndio maanatunatengwa na wenzetu EAC.
Licha ya umahiri wake kisiasa. Zitto ni kama POPO. Msimamo na kazi aliyoifanya katika PAC hatimaye anawageka wenzake na Bunge zima hasa wale wa upinzani na Wanaccm mahiri waliojitoa mhanga, kuua mapendekezo waliyokubaliana katika kamati na kuanza kutoa maoni yake binafsi. Amewapa ugumu mkubwa...
Nakushukuru sana kwa kulitambua hili. Hamna mtu hata mmoja aliyetambua umuhimu wa kazi waliyoifanya. Hakutamkwa hata mara moja wala wajumbe wake......nilisikia tu mara chache sanaaaaa maneno ''''tume ya katiba''''''' inasikitisha.
Naomba mtu ambaye ni mwelewa kwenye hili: Kuna Wajumbe, baadhi, wamekuwa wakipigakura ya HAPANA kwenye IBARA kadhaa na NDIO kwenye IBARA nyingine. Watakapomaliza kufanya hivyo mwishoni athari yake ikoje? Kwani wakishamaliza kuzipigia Ibara, je, itapigwa kura moja kwa kila mjumbe kuamua katiba nzima?
Leo katika mdahalo nimependa uzi mmoja makini. Kuna jamaa mmoja mweupe hivi alisema: .......kama kura za maoni zilizopendekeza serikali tatu zinasemekana ni chache, je za serikali mbili zilitosheleza ngapi??????????
MASWALI MAGUMU ANAYOULIZWA NA MTANGAZAJI!
Nampongeza sana mwendesha kipindi kwani anampiga maswali ya kiwango.
Mfano: kwa hiyo tume iundwe upya ili ichukue takwimu sahihi?
Walichokiandika tume si ndio wazo ya wananchi?
kwanini unadai rasimu ni mawazo ya tume wakati takwimu wamezichukua kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.