Search results

  1. M

    FIB Tanzania (special forces in Congo) yaichukua ngome kuu ya M23!

    Guys my squad is solid to move ahead. We will rub these rubbish mpaka kieleweke
  2. M

    FIB Tanzania (special forces in Congo) yaichukua ngome kuu ya M23!

    It is time to clean the shit now, I am leading one of the platoun in this area and we gonna clean the entire area including Rwanda, God be with us.
  3. M

    Mwigulu Nchemba aombwa kuongoza majimbo mawili, wananchi wazuia mwenge kwa muda...

    hivi inaruhusiwa kuvaa uniform za jeshi la nchi nyingine? Mwigulu hiyo kofia yake ni ya jeshi la china lijulikanalo kama red briged na nashangaa bado hajachukulia hatua!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  4. M

    VIDEO: Kilichotokea Chuo cha Uhasibu Arusha, Lema alivyowatuliza wanachuo

    Makamanda vedio inafunguka na kusikika vizuri mno ila hakikisha una GB za kutosha. Mimi hapa natumia 5GB!
  5. M

    Nyerere mzee wa mikakati gwiji na mahiri wa siasa Afrika

    Mada hii imenikumbusha mengisana juu ya mwalimu Nyerere. Kuna wakati Kalinali Lugambwa alitaka kugombea Upapa, lakini alipoenda kumwambia mwalimu, alimshauri kuachana na habari hiyo kwani wazungu wasingekubali kuongozwa na mtu mweusi! Hivyo alimwambia "watakuua hachana na kinyanganyiro hicho" ...
  6. M

    CHADEMA jipangeni upya Watanzania wamechoshwa na siasa za kibabe na vurugu

    Tatizo la CCM ni shule! Hata reasoning capacity ndogo hawana! wewe tafakari - CCM ili kuwa inatetea viti 28 and CDM viti 2 tu lakini katika uchaguzi CDM ikapata viti 5 and CCM kupoteza 6 na kupata 22 tu. sasa katika ya CDM and CCM nani alipoteza?????? CCM tatizo hawana shule na ndiyo maana...
  7. M

    Pendekezo: John Heche amrithi Zitto Kabwe

    Wewe unafukira za ki-CCM eti kazi ya Zitto hakuna mtu wa kuifikia-hayo mawazo ni ya kizamani sana, kwa sasa wapo vijana wapya na wanapiga mzigo. Hayo mawazo yako ndiyo yaliyowafanya CCM waendelee kumtegemea kingunge ngombale mwiru katika ushauri matokeo yake ngombale akajikuta yeye ndiye mwizi...
  8. M

    CHADEMA ANGALIENI HILI KWA JICHO LA TAI (tai aliweza tizama/ona leo kabla ya jana!)

    Ndugu zangu, watanzania wengi tumechoka sana na wizi wa CCM ambao kwa sasa Taifa limedhoofu lakini bado kuna watanzania wanaochekelea huki watoto wao wakishindwa kusoma na hata wengine kupoteza maisha ndani ya hospitali ambazo hazina dawa!!!!!
  9. M

    CHADEMA furahieni kupoteza umeya wa jiji la Mwanza, ni bahati sana kwenu

    Hao madiwani inawezekana siyo watanzania kweli, maana yeyote aliye mtanzania na mwenye kupenda maendeleo asingeweza kuipigia kura CCM (Mafisadi), mwaka 2015 tutapambana sana na lazima tuikomboe nchi yetu.
  10. M

    CCM: Dk. Slaa na wenzake wadandia kinguvu mazishi ya Mwangosi, Mbeya

    Huyu aliyeleta ujinga hapa kwenye forum ni Nape na akili fupi kama za kenge. Nimemsikia pia leo kwenye redio ya Clouds akitoa pumba zake akisema CHADEMA haikutii amri ya polisi na haraka haraka nikajua huyu mtot hana akili na siyui alikuwa anawezaji kujibu maswali ya "concept" kama alipitia...
  11. M

    Nguvu ya Umma yamtisha Wassira; akana kutaka kufuta CHADEMA!

    Wassira anatakiwa kukamatwa kwa kuhujumu uchumi wa watu wa kanda ya ziwa hasa wakulima wa pamba kupitia makampuni yake ambayo siku zote yamekuwa yakiwakandamiza wakulima kwa kutoa bei ndogo na Wassira akitumia mwanya wa kuwa Waziri wa Kilimo akutumia ule mtindo wa turufu (Kwa wale wachezaji wa...
  12. M

    Kwa mambo haya - JK ni Mdini!

    Ndugu yangu RC ni wasomi wanajua namna ya kufanya sensa ya watu wao. Kwa taarifa yako wanajua kila muumini na kuna jumuhia nchi nzima na mtoto anapozaliwa na kubatizwa taarifa zake utunzwa sambamba na kumbukumbu zinazopatikana ofisi za vizazi na vifo. Acha sisi waislamu tuendelee kushangaa kwa...
  13. M

    Kwa mambo haya - JK ni Mdini!

    wewe Ritz acha ujinga na thread yako ya kijinga. Ninyi ndiyo mnaleta udini hapa nchini mkidhani ni jambo la kujivunia. Jaribu kutumia akili ndogo uliyonayo kutafakari ushauri wangu.
  14. M

    "CHADEMA Wamechakachua Picha"!

    Kinacho waponza sisiemu ni wizi!!!!!
  15. M

    Msafara wa Dkt. Slaa wazuiwa kwa muda Iringa jioni hii

    Wakati umefika wa miti kusema na mawe kujibu- CCM jiandaeni kuachia ngazi mapema!
  16. M

    What has Halima Mdee done for Kawe (2010-2015)?

    Huu siyo wakati wa ku-review nini wabunge wamefanya kwenye majimbo yao bali ni wakati wa kusimamia serikali ya sisiemu imefanya nini!!!Ok?
  17. M

    HLRC kuiburuza serikali mahakamani kuhusu NSSF

    Gazeti la Nipashe na Daily News ya leo yameandika habari hii. Eti wanadai ilipitishwa tarehe 13 April mwaka huu na rais ali-sign. Nina uhakika alikupitishwa bungenbi kwani hili ni jambo nyeti na kama lingepita bungeni ni dhaili kwamba watu tungesikia au kupata taarifa. Kwa kweli aingii akilini...
  18. M

    TANZIA Bob Makani afariki dunia

    Makani, wewe ni shujaa, kazi yako imetunufaisha watanzania wote na tutakukumbuka daima. RIP baba Makani.
Back
Top Bottom