Search results

  1. ndinga

    Mugabe awalipua Walokole

    Mbona povu linakutoka ushahidi upo Dini imegeuzwa kichaka cha wezi ona maisha ya hao wanojiita manabii utashangaa.Wanamiliki magari na majumba ya kifahari na mfano hapa Mbeya wachungaji wa TAG wanashindana kutembelea magari ya kifahari.
  2. ndinga

    Tanzania iko mbioni kujiingiza vita vya DRC

    Ni kweli kabisa Congo DR inachangia ukuaji wa uchumi wa Tanzania mfano ujenzi wa barabara ya kutoka Tunduma - sumbawanga hadi kasanga port ziwa Tanganyika.Wacongo ndo waliosukuma ujenzi wake ili kupitisha mizigo yao nasi tutanufaika na barabara hiyo hasa vijiji vya pembezoni vilivyotelekezwa na...
  3. ndinga

    Tanzania ni nchi ya 97 kwa kuwa na ubora wa barabara duniani

    Barabara za mikopo au zingine mnazozungumzia? Tanzania inasikitisha.
  4. ndinga

    TANESCO, Mgao wa Umeme waanza kinyemela?

    Mbeya nako Umeme tunapewa kwa mgao isipokuwa maeneo wanayoishi wao viongozi duuh Tanzania inasikitisha.
  5. ndinga

    Dr. Slaa ashindwa kung'ara Shinyanga

    Porojo za Uamsho.
  6. ndinga

    Tbc tv ovyo kabisa! Ni aibu kwa shirika hili la umma.

    Mkuu unatoa utetezi kwa kirefu unalipwa shilingi ngapi hebu jiulize DTV kituo kidogo kinaweza kuonyesha mechi za UEFA wao Tbc wana coverage kubwa wanashindwa kuonyesha japo ligi ya bongo kuna tv hapo.
  7. ndinga

    kwanini mitandao ya simu inatupa shida kias hiki???

    Voda ndo kimeo no 1 hamia airtel
  8. ndinga

    Mh.LUKUVI dodoma uliondoka na Taa na Saa zako au ndo....

    mkuu wa mkoa hawezi badili kitu usimpe sifa asiyostahili jukumu lote lipo kwa halmashauri na baraza la madiwani plus watendaji kama mkurugenzi na wataalam wake (wahandisi) ndo watanzania tunaburuzwa kila uchao kwa ajili ya kushabikia mambo tusoyajua.
  9. ndinga

    Chadema mnalalamika nini? Mbeya maji, Moshi beer.

    Kikwete hana lolote alochangia mradi huo, Tunawashukuru Jumuiya ya watu wa ulaya na watu wa ujerumani CCM msitafute sifa ambazo si zenu
  10. ndinga

    Mabere Marando asema Meseji zilizodaiwa kutumwa kwa Mwigulu ni za kuchonga!

    Ni kweli kabisa Kwani Ccm hutumia mbinu chafu kwenye chaguzi mbalimbali.
  11. ndinga

    Mgawo warejea...

    Hata huku Mbeya meneo ya uyole ni giza,Tanesco watuambie umeme ni wa mgao tujue?
  12. ndinga

    Bunge Linapojadili Maoni ya Kambi ya Upinzani Badala ya Budget ya Serikali: Inaashiria nini?

    CHADEMA imewafanya Ccm waweweseke hasa hii M4C wabunge wake pamoja na mawaziri wanahofia sana uchaguzi wa 2015.Endelea kufuatilia bunge utabaini.
  13. ndinga

    Euro 2012: The Official EURO 2012 Thread

    Mata gooooooooo 4-0
  14. ndinga

    Euro 2012: The Official EURO 2012 Thread

    Di Natale keshaingia.
  15. ndinga

    Hivi watu wa Mbeya ni vichwa sana?

    Kikwete hajawahi kukanyaga Mbeya tangu achaguliwe 2010.Nape mwenyewe kashindwa hata kuhutubia mkutano wa hadhara tangu alipoingia Mbeya, Watu wa Mbeya hawadanganyiki isitoshe wameshaichoka CCM rejea vurugu za machinga ilikuwa vita kali mpaka jeshi kuingilia kati maana polisi wote walishindwa...
  16. ndinga

    Hospitali ya Bombo (TANGA) ipo hali mbaya sana! Serikali iiangalie haraka...

    Jilaumu mwenyewe kwa kuchagua mafisadi 2010 wao India wewe mwananyamala utajibeba.
  17. ndinga

    Dr. Ulimboka apelekwa nje kwa matibabu zaidi...

    Vifaa tiba hamna
  18. ndinga

    Tamko la madaktari bingwa MNH, MUHAS na ORCI

    Si wananchi ndo mloichagua CCM! tulieni.
  19. ndinga

    Nchi ipo ktk hali ya hatari, Rais kukutana na baraza la usalama la Taifa

    Wengine mmeumbiwa ubishi tunaiona kabisa kwenye tv wewe unabisha tu.
Back
Top Bottom