Search results

  1. O

    Mgomo wa Madaktari uungwe mkono na wote wenye akili. Tuachane na kuwaamini wanasiasa. Soma haya.

    Nawaombo waganga wa jadi wakiongozwa na BABU wa Loliondo na DR Kifimbo na Dr wa Vidonda vya tumbo na Bingwa Dr Ndodi , wajameni ingia kazini basi si mlisema nyie ni mabingwa wa magonjwa sugu, Haya tuwaone Muhimbili mnaudumia watu maana serikali inawathamini , waiteni na sangoma wengine wawajoin...
  2. O

    mpenzi wangu kaharibika, msaada plz

    Nenda Chuo Kikuu Muhimbili, Taasisi ya Tiba Asilia watakupa dawa nzuri ya ngozi na tatizo litakwisha
  3. O

    Kibonde amtetea Ngeleja

    Kwani MAKUWADI hayajui , huyu hana mbele wala nyuma anaganga njaa
  4. O

    Mgomo wa madaktari, waalimu, kutopitishwa kwa budget (mgomo wa wabunge)...TZ mchawi nani?

    Mbona walimu walishagoma siku nyingi ? Kama hujui kampeleke mwanao katika shule za kata ndipo utambue mgomo wa walimu. Mtoto anamaliza darasa la saba bila kujua kusoma na kuandika hapo useme mwalimu hajagoma ? Walimu wametutengenezea pumba nyingi na hizo ndizo zitakuja kuwa viongozi wetu wa...
  5. O

    Mapungufu ya Kikwete: Constructive Criticisim!

    Kwani tulimuomba kuwa kiongozi wetu, mbona nyie watu mnajaribu kumpamba ? Rais maana yake ni nini ? ni kiongozi anayepashwa kutuonyesha njia, ndio maana tunamlisha na kumtunza maisha yake yote hili yeye akae atafakari awe makini , afikiri badala ya sisi na kutuonyesha njia ya kutupeleka kwenye...
  6. O

    Mch. Mwesiga afyatuka... "Matatizo hayawezi kutatuliwa na watu wenye fikra zilizoyasababisha!"

    Jamani nikiangalia Makamanda wa Chadema napata tumaini jipya, najua Mungu amesikia kilio cha watanzania Watu wenye akili pevu , watu waliopikika wakaiva , watu wanaoweza kulivusha taifa hili na kulipeleka kwenye neema wameanza kuchomoza .Hongera sana Chadema tunawaona tunawakubali. Mimi sio...
  7. O

    Tundu Lissu amjibu Komba; short and clear

    Jamani watu wengine tunapashwa kuwasamehe bure Shida ya sisi watanzania ni kudhani kila anayeitwa mheshimiwa basi anazo kichwani. nitawapa namaanisha nini ! Komba wakati bunge letu lilipokuwa limesheeni watu makini yeye alikuwa mnenguaji, akiwaburudisha watu baada ya kufanya kazi nzito za...
  8. O

    Mwigulu Nchemba: Mbowe anamlipia mtoto wake chekechea tu dola 15.000 kwa mwaka

    Hapa tuna Hoja mbili ni vizuri kuzigalia . Kwanza ni uhalali wa fedha na Pili ni matumizi ya fedha. Hatujawahi kusikia kuwa Kamanda Mbowe anayo kashfa ya kulimbia taifa katika bihashara zake ,hajawahi kukwapua EPA, LADA, DEEP GREEN Pili tuangalie matumizi , angalia matumizi hata kamani halali ...
  9. O

    Serikali, shughulikieni akina 'Sheikh Ponda' haraka sana

    Wakati mwingine tunapojaraibu kuchangia hoja tumwangalie mtoa mada au hoja ni mtu wa namna gani. Mtu kama ponda ni mtu wa aina gani , ana uwezo wa aina gani , elimu yake ni kiasi gani ndipo tuweze kuanza kulumbana ama kuelimisha , la sivyo tutakuwa tunabishana na vichaa kwa kujaribu kuonyesa...
  10. O

    Vurugu Zanzibar, makanisa yachomwa moto!

    Mimi nadhani tuwe wakweli zaidi tunapoangalia swala hili la Zanzibar. Kwanza tuondokane na dhana ya watawala wetu kuwa kila kitu kibaya kikifanywa tunaanza kulalama na kusingizia kuwa kuna mkono wa watu wa nje wanahusika . Hili mimi nalipinga. Machafuko ya Zanzibar hayana uhusiano sana na mambo...
  11. O

    Mpigania Uhuru na Mwasisi wa TAA, Dr. Vedastus Kyaruzi afariki dunia!

    Mbona Ikulu mnatudanganya huyu Dr Kyaruzi hakuwahi kuwa katibu mkuu wa TAA na TANU yaye alikuwa President wa TAA wa kwanza kabla ya mwalimu , Nyerere alikuwa bado anafundisha huko Tabora wakati harakati hizi zikiwa Dar es salaam. Naona kuna umuhimu wa kuandika historia yetu upya. Naona viongozi...
  12. O

    Mpigania Uhuru na Mwasisi wa TAA, Dr. Vedastus Kyaruzi afariki dunia!

    Dr Luciano Tsere is among those who participated in independence movements and has been forgotten.may be i was not fortunate to see all posts and articles during 50yrs independence celebration but I never heard anyone among our current leaders who publically mentioned existence of the famous...
  13. O

    Mpigania Uhuru na Mwasisi wa TAA, Dr. Vedastus Kyaruzi afariki dunia!

    TUWEKE HISTORIA VIZURI , KIFUATACHO NI KIPANDE CHA KIFUPI KUTOKA KWENYE KITABU ALICHOANDIKA DR KYARUZI MWENYEWE AMBACHO SINA UHAKIKA KAMA KILICHAPISHWA. ............At the time I got to St. Mary's at Tabora in 1939 Mwalimu was at Tabora School. I loved and played football. At that time there...
  14. O

    Mpigania Uhuru na Mwasisi wa TAA, Dr. Vedastus Kyaruzi afariki dunia!

    Nchi ndio maana tutazidi kuishi kwenye lindi la ufukara ! Watu wenye hekima ambao walituongoza kwa hekima na uadilifu walifichwa uvunguni tukabaki na wahuni na washerekeshaji. Matapeli wa kisiasa, mafisadi na mabaradhuri . Dr kyaruzi ni mmoja wa tunu ambazo zilifichwa kwa makusudi. Wakatukuzwa...
  15. O

    Kuna mahusiano ya mapenzi without sex?

    ukiwa na hamu chomeka kichupa cha pilipili
  16. O

    Mtoto usiye na uhakika nae

    Mulika mwizi kaka, siri ya kujua ukweli mbona rahis ? angalia visogo vya majirani zako na cha kwake , kama kinafanana na cha Bushiri yule mpemba mwenye kiosk karibu na kwako , mpelekee mzigo wake !
  17. O

    Kuna mahusiano ya mapenzi without sex?

    Labda vidudu vyenu viwe vimexpire ! sasa mnapendana iwe nini ?
  18. O

    Augustino Mrema: Behind the Scene

    ni mtu pekee aliyejichimbia chumbani mwake na kuibuka sebuleni kaishavaa digree na anataka tumtambue kuwa ni msomi ni mtu pekee aliyepewa phd ya barabarani ingawa ni pumba kisomi
  19. O

    Tume ya katiba na hoja tata kutoka kwa jamii

    Hoja zingine hazina mshiko , tunaagalia uwezo wa mtu wala si dini yake , kwani hawa watu wanakwenda kuandika Biblia au Koroani ? Wazee wengine bwana ?
Back
Top Bottom