Search results

  1. G

    Ajira mshahara milioni 1

    AJIRA MSHAHARA UNAPATA ZAIDI YA MILLION 1 KWA MWEZI HAKIHITAJIKI CHETI CHOCHOTE. fata hii link http://incomepart.com/ ref.php?page=act%2Fref&invcod=1 33939
  2. G

    Wanaodhani chadema itakufa wanajiongopea

    Watu wanaamini kuwa migogoro mingi iliopo sasa chadema itaua chama ila nimwanzo wakutengeneza chama imara kisichotikisika, Kwani..NAAMINI MUNGU ANATAKA IPA NCHI CHADEMA 2015, LAKINI LAZIMA AITENGENEZE CHADEMA KWANZA KABLA 2015, NDIO MAANA YA HII MISUKOSUKO LAZIMA WALE WOTE WASIO WAKE AWAWEKE...
  3. G

    Juu ya tuhuma kwa Zitto na kundi lake kutoka kwa Mamuya...

    ..SASA MI NATAKA GOMBEA UBUNGE 2015, via CHADEMA ILA KWA MWENDO HUU MNANITISHA..JAPO KWAKUWA NIMAONO NIMEPEWA NA MUNGU..NAAMINI MUNGU ANATAKA IPA NCHI CHADEMA 2015, LAKINI LAZIMA AITENGENEZE CHADEMA KWANZA KABLA 2015, NDIO MAANA YA HII MISUKOSUKO LAZIMA WALE WOTE WASIO WAKE AWAWEKE PEMBENI! ..
  4. G

    Chidi Benz kutoboa pua imekaaje?

    Moja ya kanuni ukijiunga freemansons unatakiwa usupport tabia za kishoga
  5. G

    Inasikitisha kweli

    Nasikia hata hiyo moja haipo active, juzi imepata ajali!
  6. G

    Mtazamo wangu kuhusu Pro Baregu

    Hao wote pale ni devil worshipr, wanapretender, natamani ka wote mngeweza ona katika ulimwengu wa roho ka mie nionavyo..then mngejua kila kitu kinachofanyika na kila jambo linalofanywa dumia hapa nikama marudio, ktk ulimwengu wa roho yalishapangwa siku nyingi!
  7. G

    Inasikitisha kweli

    British Airways... 248 planes 50 in order(still making) 10 options Kenya Airways 34 active planes 24 in order 4 options Tanzania 1 active 0 in order 0 options
  8. G

    Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

    hapo ndo haileweki kila mtu anasema lake
  9. G

    Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

    unamatatizo wewe, hujielewi!
  10. G

    Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

    hizo ndo habari zilizoenea mtaani!
  11. G

    Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

    kwa mujibu wa habari zilizoenea mtaani ni kwamba kanumba yupo msukuleni..yaan ndo maneno yapo mtaani! kuwa pale walizika mgomba na kanumba mwenyewe yupo msukuleni!
  12. G

    Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead

    yaan we acha tu..hi dunia sio
  13. G

    Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead

    yaan jamani, haya maisha yatofautiana usione watu tunatembea barabarani, ukajua tuna elewa kinachoendelea duniani, kila mtu anamatatizo yake!
  14. G

    Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead

    mi maswala ya mziki na filamu, yamenipitia pembeni kabisa, cz nimekaa jela kamiaka 5 ndo nimetoka juz juz.
  15. G

    Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead

    Toka nimeingia naona kanumba, kanumba..kanumba msaanii..mi hata simjui, yaan nipo ktk hii nchi afu hata cjui kinachoendelea..daa!
  16. G

    Mwisho wa CCM waja: Wameanza kuweweseka!

    Nilichogundua kadirisiku zinavyoenda ccm inapoteza uwezo wake, ila ukilinga nisha katika vipindi vyote vyamuhula ya Uraisi, kipindi cha kikwete kumetia fora! ..Nani wa kulaumiwa?
Back
Top Bottom