Search results

  1. K

    Dr Mwakyembe Apangua Wajumbe wa Bodi ya Bandari (TPA)

    Kipallo Kisamfu ni Mkurugenzi wa TRC siyo TPC.ni ni uteuzi mzuri kwa sababu TRC ni mdau mkubwa wa TPC.
  2. K

    Mkurugenzi achafua hali ya hewa Tunduma

    Majungu si mtaji.Hebu soma na elewa vizuri taratibu za utoaji zabuni.Toka lini TEO akawa mjumbe wa pmu, evaluation team au mjumbe wa bodi ya zabuni? Kuwa makini siyo kukurupuka na kuwapa watu sumu bila maziwa.unachotakiwa kutupa hapa ni evaluation report nasi tungechambua hapa.
  3. K

    Kambi ya Lowassa Inapumulia Mashine ndani ya CCM, Ndoto za Urais zazidi kuota mbawa

    Baba tafuta mwanafunzi wa form one anayesoma masomo ya biashara akufundishe maana ya assets na liabilities halafu ndo urudi hapa
  4. K

    Ahsante Kikwete - Chuo Kikuu Kingine

    hakuna kitu hapo.Wewe ukipeleka chakula nyumbani pia upewe hongera?au ni wajibu wako?
  5. K

    Mgomo wa Walimu Tanzania: Ripoti toka Maeneo mbalimbali ya nchi

    WADAU HIVI NINAVYOONGEA SASA ,WALIMU WA KIBAHA WAMEGOMA NA WANAFUNZI KWA KUONESHA KWAMBA WANAWAUNGA MKONO WALIMU WAO BASI NAO WAANDAMANA HADI OFISINI KWA MKURUGENZI WA MJI KUWASAIDIA WALIMU WAO KUDAI HAKI. NAONA KUNA WATU WA UWT NA POLISI HAPA . source :mimi mwenyewe
  6. K

    CV ya Anne Makinda na utitiri wa madaraka na Advance Diploma tutasalimika kweli???

    sipendi mtu kuweka vitu hapa kinafiki.Anna Makinda ananiboa sana wabunge wapinzani wanapoomba muongozo kisha anawashushua.lakini kuhusu CV huyu ni kati ya CPA holders wa mwanzo kabisa.kwahiyo muanzisha mada uwe na uhakika na kitu unachoweka humu,mbona hukuweka hiyo CPA kwenye CV.otherwise...
  7. K

    BAKWATA yatangaza rasmi waislam kugomea sensa!

    ukubwa wa pua si wingi wa kamasi
  8. K

    Swala la Ulimboka kwa TBC sio habari!?

    Wenzio tulishaacha kuingalia,mbona unajiumiza roho?
  9. K

    Sura ngumu lakini hakuna Accountability!!

    ni mnafiki kama bosi wake
  10. K

    You are Right BASHE

    Hivi uraia alisharudishiwa?
Back
Top Bottom