Search results

  1. andishile

    Bomba la mafuta toka Uganda kitendawili

    Pole sana.Mwenye upeo mdogo ni wewe unayeweza kutunga jambo ambalo hata mtoto mdogo wa darasa la kwanza anakugundua .muongo.nimekwambia work on progress wewe unasema financing 2019! Kumeshafanyika mambo mengi sana hadi muda huukwa mfano hii wilaya kuna wataalamu zaidi ya mia moja wa fani...
  2. andishile

    Bomba la mafuta toka Uganda kitendawili

    NI KWELI KABISA LINAJENGWA TENA KWA KASI YA AJABU SANA.VIVA MAGUFULI VIVAAA.VIVAA.,VIVA AWAMU YA TANO VIVAAA
  3. andishile

    Bomba la mafuta toka Uganda kitendawili

    Huu ni uongo uliopitiliza kabisa.Huoni aibu kuzusha uongo mkubwa kiasi hiki.unapata nini? mimi nafanya kazi kwenye moja ya wilaya ambapo bomba linapita.Kwa faida yako na wengine wengi uliowapotosha ni kwamba ujenzi wa bomba la mafuta unaendelea tena kwa kasi kubwa sana.Kampuni kadhaa...
  4. andishile

    Ripoti ya CAG: Mkataba wa Mlimani City na Chuo Kikuu cha UDSM ni wizi mtupu

    kazi nzuri sana CAG!ni aibu kubwa kwa chuo kikuu kilichobobea wataalam wa sheria na utawala kuingia mkataba mbovu kama huo na kutofanya ufuatiliaji wa uhakika na wa umakini.
  5. andishile

    Jacqueline Wolper arudi CCM

    Mpaka mkutano mkuu maalum unafungwa jana na Mhe Mwenyekiti mpya John Pombe Magufuli huyo Jack line Wolper hakuwa amerudi ccm. Ukisema amerudi usiku kwenye Muda wa burudani ingekuwa sawa zaidi.
  6. andishile

    Afisa Ugavi Wilaya ya Babati, Emmanuel Salehe apata ajali ya gari na kufariki

    Walisema ni mfanyakazi wa TRA jina linaanzia na S.naogopa kutaja lote. Huyo niliyetajiwa nae Ana gari kama hilo ila sijui namba zake. RIP
  7. andishile

    Serikali kubana matumizi zaidi, sasa kuunganisha taasisi zote zinazofanya kazi zinazofanana

    Kuna idara ktk halmashauri zina mtumishi mmoja!ambae ni mkuu wa idara tu!sasa anamwongoza nani hadi kulipwa mshahara wa mkuu wa idara!wakati idara hiyo inakuwa bado inafanya kazi kwa kushirikiana na idara nyingine!ziunganishwe tuu !
  8. andishile

    Serikali yaivunja Bodi ya TCU, yawasimamisha kazi vigogo

    Prof Ndalichako katika ubora wake!Big up!
  9. andishile

    Dr. Rajab Rutengwe: Nilinuia kurudisha ujumbe kwa Rais Magufuli

    Angekaa kimya ingekuwa bora Mara mia kuliko kuibuka upya na kuwafanya watu wajiulize maswali mengi na yeye kasema ishu ni kati yake na Mh Rais ndo wanajua kinachoendelea!
  10. andishile

    Ukweli kuhusu uteuzi wa aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa TIC

    Barua ya kutengua uteuzi wake ilitoa sababu Moja,mbona wewe mtetezi wake hujagusia hapa ?
  11. andishile

    TANZIA: Mwanamuziki Papa Wemba afariki dunia

    RIP PAPA WEMBA!nilikuwa nakukubali sana kimuziki!
Back
Top Bottom