Search results

  1. A

    Uvamizi wa CUF Arusha waikatisha ziara ya CHADEMA kusini

    Kwani wanaovaa baraghashia si watanzania?
  2. A

    Picha: Mikutano Muleba - Heche aliyoyaacha Bukoba moto waiwakia CCM

    Hivi chama ambacho mwenyekitu wake anaendesha danguro kinaweza kuwa chama cha Mungu!!!!!?
  3. A

    CUF yapeleka wafuasi Arusha na mabasi kutoka Dar

    Engelikuwa mgala nadhani uprof ungelikuwa umetimia!!!
  4. A

    Jee ingekuwa ni wafuasi wa CDM wamevunja uzio (ribbon) ya Polisi pale Kidongo Chekundu?

    Mkuu na vp yule Mungu aliyeuwawa msalabani na wanaadamu ambao kawaumba yy mwenyewe? Yaani Mungu kaumba wanaadamu alafu wanaadamu wakamgeukia Mungu wao aliyewaumba wakampiga na kumuua msalabali!!!!?
  5. A

    Dk. Bana awajia juu CHADEMA/CUF kuhusu M4C & V4C

    Mkuu kwani aliyeanzisha hizi harakati ni chama gani kati ya CUF na CHADEMA?nakusudia kabla ya M4C na V4C!!
  6. A

    Chadema yabeza V4C ya CUF

    Mtwmelwa ni nabii?kwamba akisema chochote ni wahyi?alafu mnajiita GT!!! Nyinyi mliwachafua CUF mlitarajia wanyamaze!!!?
  7. A

    Chadema yabeza V4C ya CUF

    Na jwa akili yako mbovu umeamini hii propaganda!!!?
  8. A

    Mbaguzi Ismail Jussa Anapozidi kufunguka..

    Jusa anawanyima usingizi eeh!!! Hiyo post si ya Jussa ni ya Salma Said wa Mwananchi msikurupuke!!!!
  9. A

    Kauli za Slaa na mauaji ya raia wasio na hatia

    Sasa mtu ambaye kaiba mke wa mtu alfu akazini nae mpaka akamzalisha unategemea atakuwa na kheri!!!
  10. A

    Mwandishi mwingine wa Channel Ten ashambuliwa na vijana wa UVCCM huko Bububu, Zanzibar

    Mtoto wa kiume risasi imempata ktk kordani(mabumbu).
  11. A

    Mwandishi mwingine wa Channel Ten ashambuliwa na vijana wa UVCCM huko Bububu, Zanzibar

    Uchaguzi Bububu Kuna mtoto wa miaka 15 amepigwa risasi sehem za siri na kufariki
  12. A

    POLISI Mwanza Wapiga STOP Mkutano wa Hadhara wa CHAGULANI: Hofu ya makundi yatanda CDM

    Wacheni unafiq chadema!cuf walivowatimua akiba Hamad Rashid mliropoka kweli hapa leo kisahanu kimerudi kwenu mnatetea!!
  13. A

    CUF yasisitiza zanzibar kuwa na muungano wa mkataba

    Kwani ni nani anang'ang'ania Muungano!?ss tumesema na tunaendelea kusema wazi wazi hatutaki Muungano.nyinyi ndio mkaleta sheria eti oooh tuujadili kwa kuboresha si kuvunja tukawaambia sawa.ss sisi tumetafuta njia nyengine ambayo tutauvunja muungano badil ndio tukaja na Muungano wa mkataba ili...
  14. A

    Slaa sisi ni watu wazima na timilifu

    Umenena mkuu
  15. A

    Kwanini tusiunganishe nguvu kama lengo ni moja!

    Kwaiyo na dr wa biblia nae aliingilia mambo ya watu binafsi? Pia Dr wa biblia kumuibia yule mkaka mke wake ni halali kwa alikuwa hatimizi mambo flni flni!!!duh kwani ikiwa mke haridhiki na mwenendo wa mumewe hakuna utaratibu wa kisheria kuufata km ni wa dini au kiserikali???
  16. A

    Kwanini tusiunganishe nguvu kama lengo ni moja!

    Dhambi haifutiki eti kwa kuwa kahudhuria raisi ktk dhambi hiyo!!
  17. A

    Kwanini tusiunganishe nguvu kama lengo ni moja!

    Unakusudia shemeji yupi?km ni mke wangu ndio natika nae.hapa hatuzumzii mke tunazungumzia kimada kiruka umande!nakurudia tena kiongozi anayetaka kuwakomboa wtz anawezaje kuiba mke wa mtu alafu akakaa nae kimada mpaka akazaa nae??
  18. A

    Kwanini tusiunganishe nguvu kama lengo ni moja!

    Jibu swali wacha ujanja!!
Back
Top Bottom