Search results

  1. G

    Uchunguzi wa uhalifu kufanywa na vyombo vya nje ni kulishushia taifa heshima na kuhatarisha usalama wetu

    Je hoja yenu mmeenda mbali na kuangazia viongozi wa nchi kutibiwa nje pia je sio dharau kwa taifa pia?!?!?
  2. G

    Lissu tambua unaishi katika Taifa ambalo wengi wana mitazamo ya aina hii

    Umeandika vizuri saaaaana Our Living GOD at heaven will give you mercy OOOH be blessed
  3. G

    Ni nani huyu Doctor(PhD Holder) anayejiita Professor?

    Yap nahisi hata mimi ni huyu huyu
  4. G

    Kutoka Algeria: MC Alger 4 - 0 Young Africans

    Du hatareee saana 4 0
  5. G

    Maneno ya dhahabu kutoka kwa Husein Bashe

    Kwa nini maneno kama haya hawayasemi kwenye right platforms?!?!? Party caucuses NA na kwenye CC or NEC?
  6. G

    Mabadiliko Baraza la Mawaziri: Prof. Palamagamba aula, Mwakyembe achukua nafasi ya Nape Nnauye

    Basi makonda atakuwa na nguvu saana maana kam ni kweli ile Facebook page yenye sura yake ni yake alisema nape ndio atatolewa na si yeye RC its terribly I don't believe at all what has happened really
  7. G

    Orodha ya Benki za Kitanzania nchini Kenya

    Umenichekesha saaana maana ni kweli hamna namna sisi ni wa hapa hapa tu period ujinga wetu ndio ushatumaliza hamna jinsi
  8. G

    Nilichogundua teuzi za Rais Magufuli

    Dr Kabudi anakuja kumreplace Dr Mwakembe wengine watapandishwa
  9. G

    Rais Magufuli amteua RAS wa Kagera, Jaji Warioba aukwaa Ukuu wa Chuo SUA

    Athuman Diwani naona ni mkristo kweli ukiamua kuwa kipofu unaamua tu
  10. G

    Canadian lawyer calls for probe on IPTL

    I think now there is a need for the Tanganyika law association to help the nation to get out of this scam we need to stand united so that we can all together save the nationa regardless of our political stances
  11. G

    Gavana Prof. Ndulu: Benki wapo sahihi

    Karugila unaweza kuamua kuwa kipofu wakati unaona ni suala la uamuzi tu na kujitoa akili kama una amini watu wa chuoni ni kama ulivyoandika hiyo ni mind set yako so sitakushangaa maana umeamua kuwa mvivu wa kufikiri na inawezekani ikawa sio kosa lako ni la kimfumo zaidi ulikufikisha hapo
  12. G

    Gavana Prof. Ndulu: Benki wapo sahihi

    Tusiwe wavivu wa kupata taarifa sahihi mabenki yapo sahihi na prof yuko sahihi tatizo tuna wabunge wengi wa ccm uelewa wao wa mambo ni mdogo saaana hawasomi.Naomba watu waaome income tax practise notice number 05/2013 iliyotiwa sahihi tarehe 1/11/2013 inayozungumzia business income ndio utajua...
  13. G

    Picha: Lowassa ahani msiba wa Peter Kisumo

    lazima shule ulifeli saana maana hata rangi hujui inasikitisha sana au ndio ukipofu wa mahaba ya kijani
  14. G

    Dalili zote zinaonesha ni Lowassa

    sidhani kama ni tabia nzuri vile vile kujadili afya za watu kama mnakumbuka kuna mmoja alimkebehi lowasa now yukomwapi
  15. G

    Dalili zote zinaonesha ni Lowassa

    Naomba damu za wagombea wrote wailing zipimwe kwenye kale kaugonjwa halafu majibu yawe live kuanzia outpaced damu hadi misitari itavyo onesha ndioo mtajua nani mgonjwa
  16. G

    Yuko wapi mkuu wa kitengo cha propaganda wa CCM - Tambwe Hiza?

    Jana karudi upinzani tena jangwani
Back
Top Bottom