Search results

  1. S

    Tamasha kubwa la nyimbo za injili leo Mlimani City, kiingilio bure

    Asante kwa taarifa nawe pia sio Chrismass ni Christmas
  2. S

    Lusinde asilaumiwe elimu darasa la saba ni shiida sana kuzungumzia mambo ya kitaifa

    Katika mambo ambayo yalidhiliisha kuwa elimu ni kigezo muhimu kwa mbunge wa bunge letu la Tanzania, baadhi ya wabunge walishindwa kabisa kutoa michango ya kujenga hoja either kwa kutumwa au kutokana na elimu mbovu waliyonayo bwana lusinde maskini alinisikitisha lakini nilifanikiwa kujua shida...
  3. S

    Rais Kikwete apangua Baraza la Mawaziri

    Wahariri wa vyombo vya habari wameitwa wawe wamefika ikulu kabla ya sa tisa alasiri. Soure;gazeti la mwananchi online
  4. S

    CDM viongozi mjipange kwa kampeni ya nchi nzima

    Baada ya ushindi mzito wa udiwani na arumeru ni ishara nzuri ya chama kukubalika zaidi. Ushauri wangu kwa viongozi ni kuorganize kampeni kubwa kama operation sangara ya nchi nzima hasa wilaya zilizo mali na makao makuu ya mikoa au vijijin kwa jina jingine,pia kuna mikoa ambayo hatukufanya vizuri...
Back
Top Bottom