Search results

  1. coxmase

    Luhanjo atoa ripoti, Jairo arudishwa kazini

    Nafikiri ni mtaji mwingine wa upinzani si chadema peke yake
  2. coxmase

    Hotuba ya kutisha!!!!!!!!

    Afadhali ulishituliwa na konda ole wako ungeendelea kuota halafu ukapata hasira na kuanza kuvunja vunja radio kumbe una mnyuka jirani yako makonde hapo ingekuwa balaaa
  3. coxmase

    RC ARUSHA agoma kusitisha huduma ya Loliondo

    Unenalo ndilo muhimu haswaa
  4. coxmase

    Serikali: CHADEMA inapewa pesa kutoka nje kuleta machafuko Tanzania

    Eee kumbe wengi mnatumwa na shehe yahaya
  5. coxmase

    New loliondo pics

    Yakhe nlipoona hii post pande hiz nkafikiri mambo ya kikubwa yashaanza fanyika tena huko nkasema watu wameshindwa vumilia ati, kumbe sivyoo
  6. coxmase

    Hali kama hii unaweza kumkubalia mkeo awe muigizaji?

    Hii ngumu kuvumilia maana anaona mpaka mavazi ya ndani na mapaja.
  7. coxmase

    Yaliyomkuta Nakaaya Sumari

    Acha kusingizia vitu vingine si useme umekosa nauli ya kurudia BONGO LAND
  8. coxmase

    Dk kawambwa ;ripot ya prof mshoro iko wapi??wajulishe na wabunge

    Mimi pia huyu prof Mshoro kanifundisha pale mlimani "Engineering Mechanics" Na ukifuatilia vizuri Degree yake ya kwanza ni Aeronautical Engineering kwa hiyo ni mtaalamu sahihi katika kamati hiyo ya ATCL. Ni mtendaji mzuri na nafikiri report yake pia itakuwa nzuri, Embu aliyenayo atujuze
  9. coxmase

    Viumbe wanaume

    Na mayai yake mawili unayaweka kwenye kisosa unayasugua kwa kabrashi kalaiiiniii
  10. coxmase

    Somalia nomaaa!!!

    Karembo kazuri kweli sasa wamekachinja kwa nini jamaniiiiiiii???????????
  11. coxmase

    Uvaaji wa kondomu kama vazi

    Tusubiri tuone
  12. coxmase

    Uvaaji wa kondomu kama vazi

    ona mwenyewe ItooI Vending - Condom Vending Machine's Photos - Condom Wear
  13. coxmase

    Cheki mheshimiwa

    Hilo ni vazi mheshimiwa kavaaa
  14. coxmase

    Cheki mheshimiwa

    hahahhaaaaaaaaaaaa
  15. coxmase

    Ajali Kazini

    Hapo kwenye red igeuze usome kinyumenyume!
  16. coxmase

    Ajali mbaya Kibamba - Dar

    Maskini dah yaani imeniuma mno dah Maisha haya MUNGU atulinde
  17. coxmase

    PATA a FREE WEBSITE !

    wizi mtupu
  18. coxmase

    Mdosi apigwa faini kwa kukojoa hadharani

    Hapo kwenye red kaka
  19. coxmase

    Ngo! Ngo! Ngo! Hodiiiiiiiiiiiiii

    Kazi za kubeba mabox kaka ngumu unakuwa hoi mwaka mzima nipo ka likizo kadogo tu
  20. coxmase

    Ngo! Ngo! Ngo! Hodiiiiiiiiiiiiii

    Angalia tarehe ya kujiunga JF mamaaa
Back
Top Bottom