Search results

  1. N

    Demokrasia na Maendeleo ndani ya CHADEMA

    na ndio maisha yanaendelea kuwapiga kila kukicha,naombea maisha yazidi kuwa magumu hasa kwenu nyie akina ritz mlioichagua ccm
  2. N

    Nape amfunika Kinana

    anapiga dili za tembo
  3. N

    Mmejitahidi sana sana kumtetea BABU (Dr. Slaa), lakini...

    kama mwenezi wenyewe ndie huyu basi kazi ipo yaani hovyo kabisa kabisa,sasa kama vibabu ccm si ndio wamejaa ,lowasa babu,kikwete babu,sita babu,pinda babu,wengine mnaweza kuwaongezea,kwahiyo sio mpaka uropoke ili uonekane unafanya kazi,kila mtu anajua kwa nafasi uliyonayo lazima upambane ili...
  4. N

    Mh. Joseph Mbilinyi hadi sasa umetufanyia nini Mbeya mjini?

    hana hoja chama chake kinachokusanya kodi tu kimeshindwa kutupunguzia shida zetu,huko mbeya mjini mna mkuu wa mkoa wa ccm,mkurugenzi wa ccm,mkuu wa wilaya wa ccm,rais anatoka ccm kwann huwaulizi wamewafnyia nn vijana wa mbeya?huna hoja
  5. N

    Somo la Katiba ya CCM kwa Nape & Co

    asikuumize kichwa kila mtu siku hizi anajua wameandaa utaratibu wakuropoka kila siku lengo tusahau shida zetu tujadili upuuzi usiokuwa na tija kwa taifa letu ,maisha bado magumu huku uswahilini ye anatuletea mambo yasiyokuwa na msingi wowote
  6. N

    CHADEMA kuna haja ya kuongeza nguvu vijijini

    ww ritz ndio umepuuza kwasababu mfumo unakunufaisha,lakini tumewachoka kweli nyie magamba
  7. N

    CHADEMA ni NGO INAYONUFAISHA WACHACHE

    yaani hueleweki unataka kusema nn unaweweseka tu haya kachukue posho yako
  8. N

    Tutaajiri Makatibu CHADEMA nchi nzima-Dr Slaa

    we ulikuwa ulaya kwa kodi zetu miaka kibao leo umerudi unajifanya unajua!ww songea umeenda lini na huo utafiti umefanya lini,kwa taarifa yako kwasasa ivi hakuna sehemu ambayo chadema haina wanachama,mwanzoni wakati unarudi nilizani kidogo uko tofauti na magamba wenzio kumbe mnarithi kila kitu.
  9. N

    Tutaajiri Makatibu CHADEMA nchi nzima-Dr Slaa

    we ulikuwa ulaya kwa kodi zetu miaka kibao leo umerudi unajifanya unajua!ww songea umeenda lini na huo utafiti umefanya lini,kwa taarifa yako kwasasa ivi hakuna sehemu ambayo chadema haina wanachama,mwanzoni wakati unarudi nilizani kidogo uko tofauti na magamba wenzio kumbe mnarithi kila kitu.
  10. N

    Tuna sababu ya kuipigia kura CCM 2015

    acha uongo huna chama wakati maneno yako tu yanaonesha we ni gamba!hebu tuondolee uchafu wako
  11. N

    Kushindwa kwa Heche kuongoza BAVICHA

    we ritz gamba mwenzio nape mbona kila siku anatoa matamko husemi acha kudandia kila hoja uonekane unajua wakati hujui
  12. N

    Joshua Nassari adanganya "live" ITV

    mmepunguziwa miaka ya kuishi tu povu linawatoka!acha uoga kifo kipo tu hata uishi miaka 100
  13. N

    Pingamizi la Dr Slaa dhidi ya Rose Kamili lakataliwa mahakamani

    wenzio wanaandamana we unahangaika na dr slaa,nenda kaungane na magamba wenzio kwenye maandamano ya kumkomboa ponda
  14. N

    Mbunge Joseph Mbilinyi (SUGU) ataka TRA wamtoze kodi RICK ROSS show ya leo...

    sasa ww kupe kama serikali inamtambua ndio asilipe kodi?mbona simba na yanga wamekatwa milioni 56 kwenye mechi ya juzi na tra sasa kwanini yy asilipe tumia akili kidogo sio kila kitu unapinga tu kwasababu kasema mtu wa chadema.
  15. N

    Wakazi wa Musoma Mjini wamuomba Prof Sospeter Muhongo kugombea ubunge

    acha uongo hujisikii aibu dume zima
  16. N

    Kipindi kigumu jimboni Kawe

    yaani unaonekana kila siku unabadili jimbo mara kwa mdee mara mnyika ww unaishi wapi mbona hueleweki,rita mlaki alifanya nn kipindi chake nipe mifano coz hata mm ni mkazi wa maeneo haya kwa vipindi vyote unavyovisema.
  17. N

    Shibuda kugombea uenyekiti CHADEMA

    hana madhara yoyote hata akiachwa agombee peke yake hawezi kushinda
  18. N

    Mchakamchaka wa CUF hadi 2015 tishio kwa afya ya CDM

    naona unawashwa bila kuwataja chadema huriziki,haya kachukue posho yako
  19. N

    Shigela: Chadema waangalie uongozi wa juu

    shigela ni nani
Back
Top Bottom