Search results

  1. M

    Magufuli: Nikiondoka watakaokuja wataweza?

    Naona woga umemwingia anapofikira maisha baada ya kustaafu. Bila shaka anadhani atakayekuja atakuwa na tabia ya kutojali waliotangulia kama anavyofanya yeye. Inaitwa projection
  2. M

    CAG sio Muongo kwa vigezo hivi

    Rais Magufuli awe makini, kwasababu sasa taratibu baadhi ya wabunge na mawaziri wa CCM wanaikataa serikali yao wenyewe. Where is this leading to? Na kwavile hata yeye mwenyewe huwa anasema baadhi ya watendaji wake ni... ..asishangae siku wakimwita na yeye ni mwongo!
  3. M

    Ni aibu kwa Jeshi la Polisi kutoa sababu za uwongo wa kiwango hiki katika kuvunja mkutano wa ACT Wazalendo!

    Kimya cha CUF kina maana gani? Je, wanakubali kwamba walitaka kutia fujo kwenye huo mkutano wa ACT? Kama ni kweli kwanini Msajili asiwaandikie barua ya kuwafuta kwasababu ni chama cha fujo? Mambo ni mengi muda ni mchache
  4. M

    Tundu Lissu anaituhumu Seriƙali, Nchi ama Taifa!?

    Bado inabaki kwamba Mkuu wa nchi si nchi. Kama ingekuwa hivyo, basi hata kasoro zake binafsi zingekuwa kasoro za nchi. Sehemu ambazo mifumo ya serikali ni imara, nchi inaweza kujiendesha bila rais au mkuu wa serikali/nchi. Kwa mfano endapo uchaguzi unakuwa suspended au kucheleweshwa kwasababu...
  5. M

    Rais Magufuli: Mabepari wametunyang'anya gesi yetu hatuwezi kuitumia kwa uhuru

    Matamshi hayo ni dalili ya wazi ya Rais kukata tamaa. Atawezaje kuilinda Stigler's inayojengwa kwa fedha za mkopo?
  6. M

    Wapambe na Mashabiki wa Makanikia Mnaharibu Mambo!!!

    Lakini kama kimkataba madini yote yanayochimbwa ni ya mwekezaji na anachodaiwa ni mrahaba wa 4 percent, ambayo hao wawekezaji wanadai wanalipa, inawezekanje wawe wezi wa mali ya (mchanga uliokwisha chimbwa)? Ninachoona mimi na ukisikiliza tone za wachangiaji utagundua kuna makundi matatu au...
  7. M

    Rais Magufuli hata upambane kiasi gani, bila kuliweka sawa hili ni Kazi bure

    Na kutuaminisha kwamba anataka kuinyoosha nchi bila mwenyewe kutaka kunyooka, kana kwamba yeye si sehemu ya nchi ni kutudanganya.
  8. M

    Nape: wingi wa watu sio wingi wa kura

    Wanaccm Nawapeni typ, Nape ni mafia wa upinzani, anaiua ccm akiwa ndani,if you do not believe, just wait and watch out a
  9. M

    TUNDU LISSU ni kifaranga, kwanini mwenye kifaranga chake anajificha..?

    Dada Juli ukiandika, sijaona mtu akikuunga mkono, hata wanachama wenzako. Hebu anzia hapo kwanza.
  10. M

    Mama Nyerere akataa kupanda miti

    Kati ya Mambo ambayo ccm imefanikiwa ni kuwafanya vijana kukata tamaa ya kuishi na kuwa tayari kwa lolote mradi tumbo linapata kitu. Afadhali kama Mama anaonesha kwamba kuna maisha nje ya ccm pia. Mungu ibariki TANZANIA
  11. M

    Mwigulu amchana chana Lissu Hadharani

    Katika somo la mantiki kuna aina tatu ya hoja dhaifu: 1. Agumentum ad bacculum; hii ni hoja inayojibu maswali kwa kutumia madaraka na si kufuata msingi wa swali. 2. Agumentum ad hominem; hii ni hoja inayojibu kwa kumshambulia mtu aliyeuliza swali, badala ya kujibu swali lenyewe. 3. Agumentum ad...
  12. M

    Lowassa ni msafi, Lakini kuna kitu hiki...

    Naona jamaa yuko msituni anawinda, mfukoni amechukua viungo vyote vya mboga, halafu anapiga kelele, huku akitegemea mafanikio katika mawindo yake
  13. M

    Lowassa ni msafi, Lakini kuna kitu hiki...

    Watu mnatisha bwana, kama siyo TZ vile. This is already a very encouraging step.
  14. M

    Nachukua nafasi hii kuwapongeza wanawake wa Tanzania kwa kuipa kisogo CHADEMA, chama cha kizandiki

    Naona unajidhihirisha usivyo na heshima kwa wanawake. Katika zama hizi kuongea mambo katika mfumo wa gender difference ni kasoro ya kitaaluma. Hata hivyo kwa vile mnadhani wanawake ni lazima wasemewe na wanaume, ili kwa kuzunguka muwe mnawatumia vibaya, matokeo yake ndiyo haya. Nadhani...
  15. M

    Rais Kikwete anguruma Davos kwenye mkutano wa WEFORUM 2014!

    Kwani Kikwete ana kigugumizi? Au ndio maumivu ya Kiingereza? Naona kati ya wachangiaji kuna mjukuu wake ana uchungu sana, kazi yake ni kutukana tu wanaotoa maoni. Pole mjukuu, lakini mzee ndiyo hivyo tena, ngoma imebana hapo.
  16. M

    Je! Nitakosea nikisema kuna tatizo IKULU?

    Tunachotakiwa watanzania ni kujihadhari tu sasa, maana CCM kama gari, gia zake za mbele zote hazifanyi kazi na sasa linatumia gia ya rivasi kujiendesha. Hapo tutegemee chochote kile.
  17. M

    Wassira, Chikawe, Lukuvi kikaangoni kuhusu Katiba

    Wadau naomba msaada wenu, huwa sielewi jambo moja; eti tunajua kwamba muswaada huu wa sheria una makosa, halafu badala ya kurekebisha kabla ya kuwa sheria, tunasema, tia sahihi tu iwe sheria halafu tutarekebisha kwasababu utaratibu unaruhusu. Hii imekaaje? Ninavyojua sheria ikishahalalishwa...
  18. M

    Tanzania 'formally' isolated from EAC

    One important characteristic of primitive people (I am sorry if I should offend some one) is their fear of interaction. And the second which goes together with the first is their pride over their being primitive. The paradox stands in the fact that this condition can only be overcome through...
  19. M

    Balozi wa China: CCM inahusika, msajili wa vyama kimyaa!

    Hapo ndipo itakapofia ccm na ndipo inapougua Tanzania yetu, kupoteza kitu kinachoitwa national conscience, ambacho ndicho kipimo cha uhalali au ukosefu wa jambo. Hapa si suala la kudhani na kama unadhani, basi usitoe hukumu, in doubt do not judge. Zaidi ya hayo mdharau mwiba, mguu huota tende...
Back
Top Bottom