Search results

  1. L

    Dr. Ulimboka is smart and good Now..

    Wanaokufa leo ni kwa sababu ya mgoma, au toka mgomo uishe hujafiwa wewe? Zoba ni wewe division 5.
  2. L

    Dr. Ulimboka is smart and good Now..

    Usilolijua ni sawa na usiku wa giza, mtaongea mengi ila ipo siku mtafunga midomo yenu. Ukweli ni kwamba Dr. Uli ni shujaa wa wengi, alichokipigania ni mazingira bora ya kazi na huduma bora za afya kwa watanzania wote.
  3. L

    Jf vote of no confidence to pm. Hapa tunahitaji vote ngapi?

    Kwa nn asipigwe chini au kwann apigwechini? KOMBAJR
  4. L

    Kutoka bungeni,

    Ccm yakiri, serekali yake imeshindwa kazi, ni ndoto kushinda 2015.
  5. L

    Mnafiki Sitta (SIX) ameumbuka Kirumba, na mnafiki Kilango kaumbuka Kiwira

    Ukweli ni kwamba, huwezi ukapingana na mkondo, CDM ni mkondo wenye kasi ya ajabu, adui( ccm) lazima azame tu..
  6. L

    Kwanini ili chadema ishinde lazima ushindi uambatane na vurugu

    Tutafika tu ndugu yangu, kila kitu kina mwisho wake, na nikuhakikishie kwamba cku hii nchi inakombolewa ccm hakitakua chama cha upinzani bali kitakufa kabisa., mwisho wa dhuluma ni aibu...
  7. L

    zito kabweeee slaaaa mboweeee na makamanda wengine

    Wewe ni wa ukweli, pia tutoe elimu kwa jamii inayotuzunguka, kwamba mwisho wa kunyonywa na zii zii em umefika, ni lazima tujikomboe wenyewe, ni heri ushinde njaa cku moja ili uje ushibe milele..., tusidanganyike tena. 2015 nchi hii ikombolewe....
Back
Top Bottom