Search results

  1. K

    Tangazo la ajira jeshi la polisi

    tangu nijiunge na huu mtandao ths z th 1st tym a mit a ril great thnkr. great bro/sis, hii k2 ya kuwaza kishabiki i ril hate t. lets b positive
  2. K

    Maneno haya Jenerali kuhusu katiba nimeyapenda

    general z r8 nd muungano plus hw we share th national cake ar sensitive matters 2 4rm part of th constitution.
  3. K

    Navutiwa Sana na JK, ana Mbinu nzuri mno

    we unataka apewe baba ako, nimegundua ww ni m2 wa chuki xana huna lolote, zito zito...kafanyaje? acha woga.
  4. K

    Lowassa anaruhusiwa kusaini Petition ya Zitto?

    nimegundua ww ungekuwa raisi wachache wangepata haki zao, tena wale tu wanaokubaliana na wewe. at ths point as a nation we are nt suppozd 2 hv parmanent friend or enemy. atakaethibitika msafi tutampokea na wale wa kwe2 watakaoonesha uchafu wowote wataoneshwa mlango wa kutokea. tht shld b the spirit.
  5. K

    Je? Haya majukumu ya Makamu wa Rais anaagizwa na Rais?

    umeongea point sana bro, akistaafu atakuwa fundi kushona, haiwezekani m2 kila siku misele tu. tena wote wawili aisee, naona hawa hata briefing hawapeani ase.
  6. K

    Madai ya korosho tandahimba polisi watumia risasi za moto.prof.lipumba aongea

    kuna kila dalili nyie CUF mlichochochea ayo mavurugu, mi najiuliza kwanini baada tu ya hayo maandamano yenu mliyoyaita ya amani ndo vurugu zitokee.
  7. K

    Magufuli augua ghafla, alazwa

    we boya nini? Unasema atakumbukwa unataka afe? Acha kuchanganya siasa na ubinadamu mpuuzi we.
  8. K

    Ni Maneno ya Sitta yanatimia?

    of ol th magamba t list huyu huwa anaakili.
  9. K

    Kwa nini Zito anakuwa hayuko kwenye Target ya CCM na Magamba?

    hoja yako haina ushahidi zaidi ya vidata vya kipuuzi ambavyo havilingani na mazuri aliofanyia wananchi wa jimbo lake, njoo kigoma uone. Zito ni mwanasiasa si mpinzani, wapinzani ndo wanapinga hata maendeleo so wat f akiwa na urafiki na baadhi ya wana ccm 4 good ila hafati ujinga wao? au huo...
  10. K

    Je kwa hili bwana kabwe si kibaraka?

    we umewaza
  11. K

    Chadema Anzisheni Mradi wa Kuuza Magwanda

    kwani flana za kijani zenye picha ya JK si zipo nchi nzima? mbona ha2oni ziki2mika vibaya? nways ni onyo zuri japo mwenyewazo stil anawazo zuri.
  12. K

    steve nyerere kwny hili umechemka

    we kweli kituko! inamaana logic we hapo hujaiona?
  13. K

    steve nyerere kwny hili umechemka

    wakati anajitahidi kuelezea jinsi alivyosikitishwa na kifo cha the great K, akajikuta anasema... ''yani juzi tu tumekutana maisha club sisi tuko chini yy yuko juu anakunywa pombe na kucheza mziki wa twanga...'' mi nadhani angeweza kusema mengine ya maana ukizingatia alikuwa anasikika radion...
  14. K

    Maoni yangu dhidi ya "Baadhi ya wananchi wahuni" wa Arusha kujaribu kuzuia wanahabari wa TBC

    kuna tabia ya watu kupotosha hoja makini za watu humu ndani. chamsingi hapa nh kwamba bila kujali vyama hv mtu yoyote mwenye busara hawezi kushangaa kupingwa kimawazo na m2 mwingine kwani kila mmoja anamawazo yake nawangependa yaheshimiwe zaidi ya kwamba ni haki ya kikatiba. sasa mi binafsi...
  15. K

    Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead

    sasa dada zetu wa ndani wamepoteza mwalimu wa kiingereza, kwakweli alikuwa anawaintertain sana. n pic bro
  16. K

    Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead

    honestly ni mapema mno, he deserved a lil bit f a tym bt who is 2 question Gods decesion? we follow
  17. K

    Tupia vijineno hapo kwenye picha... William na Lowassa

    fichaa hi cheki ntakuambia kazi yake bdae
Back
Top Bottom