Search results

  1. wa tarime tanzania

    Unawekeza Tsh 30m unapata kodi 300k kwa mwezi. Mwenzio kawekeza Tsh 2m anapata hiyo hiyo

    Hoja yako si yakweli, katiba biashara ambazo ziko secured ni real estate na Truser bond Hoja yako ina onesha hujawahi fanya biashara uone risk ya biashara ilivyo, katika biashara ambayo iko secured ni Real Estate na Turesur Katika biashara ambayo iko secured ni Real Estate na Treasure...
  2. wa tarime tanzania

    Mume wangu anawabagua watoto, anampenda wa kike kuliko wa kiume, nifanyeje?

    unajua ndoa za vijana wengi huwa tunaoa wadada ambao kabla ya ndoa unakuta mlikua wapenzi,mna oana baada ya miezi 2 mwenzako anakuambia ana Mimba au hata kabla ya ndoa una furahi sana,hakuna jambo linalo umiza kwenye ndoa kama kusikia maneno mtoto si wako,ni wa fulani na ukiunganisha matukio ni...
  3. wa tarime tanzania

    Team nzima ya CHADEMA ndani ya Kahama leo mapokezi ya James Lembeli

    Usiwe una andika kitu ambacho hujui,mm nilinunua pikipiki mwanza niliendesha hadi Tarime ni km 287 bila kusimama kokote ilikua mwaka 2006,kwa ushauri tu lita moja ya petrol kwa gari kama Opa au Vitz yenye CC1490 inaenda km 14 mpaka km 16,je kwa pikipiki yenye CC150 lita moja ya petrol itaenda km...
  4. wa tarime tanzania

    Nimemchomea mke wangu kazini kuwa anatumia cheti feki

    Wanawake wa siku hizi hawana shukrani kabsa, yaani unakufa hujamaliza hata wiki kabrini ameisha olewa, yaani ningekua nakufahamu haki ya Mungu ningekupa hata laki ya pongezi
  5. wa tarime tanzania

    Basi luxury Mwanza to Dar-es-Salaam

    umenichekesha sana, engine inapiga kelele utazani iko kwenye mfuko wa shati
  6. wa tarime tanzania

    Nimeoa nina miaka mitatu, mama yangu na dada wanadai mtoto niliyezaa hafanani na mimi

    Ndugu wana jamvi, Mimi ni kijana mwenye Miaka 30 nimeoa miaka mitatu iliyopita, kabla ya kumuoa mke wangu, tulikuwa wapenzi zaidi ya miaka 4 ndio tukaoana kwa harusi kubwa sana. Tukiwa kwenye hatua za mwisho wa kufunga ndoa mke alinambia ana ujauzito, nikamwambia hakuna tatizo ngoja nifanye...
  7. wa tarime tanzania

    Binti wa kambo anajilengesha kwa baba wa kufikia

    Inabidi ampatie anacho hitaji vinginevyo hakawii kumwambia mama yake Baba ana nitaka
  8. wa tarime tanzania

    Msaada kuhusu spea za magari

    Wana jamvi kwa wale wanao deal au wenye ufahamu na maduka ya spea used za magari, natafuta half cult isiyo na engine ya Toyota Rav4 ya 2007, kwa yeyote ambae atakua na msaada juu ya hilo naomba sana ani PM
  9. wa tarime tanzania

    Mbowe aacha mpasuko CHADEMA Bukoba kwa kumuunga mkono Kagasheki

    mbona CCM kila kukicha mnamsifia sana Zitto na bado mnaweka mgombea kwenye jimbo lake
  10. wa tarime tanzania

    Ujio wa PSquare - ITV Taarifa ya Habari.

    lazima wewe utakuwa ni Ruge
  11. wa tarime tanzania

    Ujio wa PSquare - ITV Taarifa ya Habari.

    lazima wewe utakuwa ni Ruge
  12. wa tarime tanzania

    Bomu la Wassira na CCM kuisambaratisha CHADEMA limetegwa wapi?

    kwani umelazimishwa kusoma,!?sisi tunahitaji
  13. wa tarime tanzania

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    kweupe ndio mahali pazuri pa kuanikia chupi
  14. wa tarime tanzania

    Tunga sentensi...!!!

    wa kanda ya ziwa tuko vzr
  15. wa tarime tanzania

    Kama Mbowe na Zitto watabaki CHADEMA njooni mchukue kadi yenu

    kumbe unatoka kwa Mwigulu!tutachapisha nyingine,wewe subiri mkutano wa magamba uje urudishe wakuchukue na video kabsa ili uuze sura kabsa,unatumwa umtishie M/kiti kwa vigezo vya kipuuzi
  16. wa tarime tanzania

    Kama Mbowe na Zitto watabaki CHADEMA njooni mchukue kadi yenu

    We irudishe au kama vipi ichome mwenyewe usituletee upuuz kupotezeana mda! kumbe ni wa Mwigulu !tutachapisha nyingine subiri mkutano wa magamba uje urudishe uchukuliwe video si mdio mnapend
Back
Top Bottom