Search results

  1. K

    Mkuu wa Shule ya Sekondari Nyiendo wilayani Bunda jitafakari kama kiti kinakutosha

    inawezekana ww ni mojawapo wa walimu mliopelekwa msingi. Naona bado unakihitaji cheo cha mkuu wa shule.
  2. K

    Kura ya Maoni: Muundo upi wa Muungano unafaa?

    tatu ndo suluhu
  3. K

    Tundu Lissu: Walimu wasisimamie uchaguzi

    Hilo ni kweli kabisa kwa sababu walimu ndo walioharibu uchaguzi uliopita kwa kuwasaidia maccm kuiba kura.
  4. K

    Tatizo la kuchangisha walimu mchango wa mwenge

    Hili suala la kuchangisha walimu mchango wa mwenge limekuwa endelevu Kwa sababu Kila mwaka walimu wanakuwa wakichangia Kwa kulazimisha. Mbaya zaidi Kila mwaka fedha inakuwa ikiongezeka mfanonkutoka sh. 2000 kwenda sh. 5000. Hapa walimu wanatakiwa kujua nini Kilichosababisha ongezeko hilo. Hii...
  5. K

    Mbunge Luhaga Mpina ndoto yako ya kuwa mbunge maarufu Tanzania imetimia

    Huyu mtu alituchomea nyavu zetu na alituacha masikini kabisa sitaki kumsikia kabisa.
  6. K

    Hongera Dar Mpya kwa kukemea "Double standard" ya Jeshi la Polisi

    Naona darmpya wameamua kusema ukweli.
  7. K

    Wakurugenzi wanaoficha barua za Uhamisho wa Watumishi waonywa

    Mbona hili jambo liko kwa kiasi kikubwa sana
  8. K

    Mwalimu mbaroni kwa 'kuoa' Mwanafunzi

    Ngoja apambane na hali yake.
Back
Top Bottom