Search results

  1. G

    Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi NIMR Dr. Mwele Malecela

    Kwamba baadae majibu yatakuwa negative, siyo?
  2. G

    Tuliuza kila kitu chetu sasa tunalilia bomba la mafuta la jirani zetu!

    Bomba la mafuta Tanzania-Zambia ni TAZAMA, siyo TAZARA.
  3. G

    Hivi ni kwel hakuna namna!!!!!

    Hiyo ni moja ya madhara ya kuchomwa sindano. Yawezekaba mishipa ya fahamu iliumizwa au alipata jipu sehemu iliyochomwa, lakini pia yawezakuwa ni uzembe wa mchoma sindano. Kosa kubwa kabisa walilofanya hao wadumu ni maelezo waliyokupa kwamba hakuna chakufanya zaidi, na kwa kosa hilo waweza hata...
  4. G

    Mtoto mchanga kitovu kutoa damu

    Pole sana. Watoto wachanga wengi huzaliwa na upungufu wa vitamini K na hivyo kusababisha damu kushindwa kuganda. Hii hupelekea damu kuendelea kuvuja sehemu iliyo na mchubuko au ilipochomwa sindano au kwenye kitovu wakati bado hakijakauka vizuri. Ndo maana kuzuia hii hali watoto wote wachanga...
  5. G

    Mwingereza akamatwa na mijusi 165 kutoka Tanzania

    Mkuu, Mimi siyo mjuzi wa sheria ila wanaosimamia biashara hii ni wizara ya mali asili na utalii. Utaratibu uko hivi: Kila mwaka wizara husika hutangaza ununuzi wa leseni za kuwinda wanyama mbali mbali na kuwauza aidha ndani au nje ya nchi, au kwa ajili ya kiteweo. Leseni hizi ziko katika...
  6. G

    Mwingereza akamatwa na mijusi 165 kutoka Tanzania

    Hao sio geckos mkuu. Hao unaowasema wanaitwa Agama; kuna blue agama, red headed rock agama etc. wanapenda sana kukaa kwenye mawe au vichuguu na hutoka kuota jua. Hawa wanasafirishwa sana nje ya nchi na ni ruksa kuwasafirisha hawa agamas kwasababu bado wapo wengi sana.
  7. G

    Mwingereza akamatwa na mijusi 165 kutoka Tanzania

    Ndio mkuu, hii biashara ni biashara iliyo shamiri sana hapa nchini. Ukitembelea pale swisport utaona jinsi maboksi ya wanyama hawa wadogo wadogo wanavyosafirishwa kila siku. Tatizo ni kwamba katikia biashara hii ambayo ni halali watu wengine wanatumia kupitishisha magendo yao mfano hao aina hii...
  8. G

    Mwingereza akamatwa na mijusi 165 kutoka Tanzania

    Geckos wapo wa aina nyingi sana hapa Tanzania na wengi wao hawapo kwenye kundi la wanyama wanaokaribia kutoweka (endangered species) kwahiyo ni ruksa kusafirisha nje ya nchi. Mfano ni house gecko, green gecko, cloud gecko, etc. Hao wa kwenye picha wanaitwa Dwarf gecko au blue gecko; kisayansi...
  9. G

    Chembe ya moyo ni nini na hutokana na nini?

    Mkuu, "chembe ya moyo" ni maumizu ya sehemu ya juu ya tumbo (Epigastric pain) hiyo ni dalili ya magonjwa mbali yakiwemo ya kifua, moyo na tumbo. kwa watu wasio na elimu ya kitabibu wamekuwa wakifikiri kwamba ni ugonjwa unaojitegemea lakini sivyo. Ni sawa sawa na mtu anaekwambia kwamba anaumwa...
  10. G

    Nahitaji specialist

    Ni vizuri ukaweka history ya ugonjwa wako vizuri ili uweze kusaidiwa. Ni magonjwa mengi sana yanaambatana na vipele. HPV haisababishi vipele ila inasababisha uoto (vinundu) kwenye ngozi hasa sehemu za siri (mfano kichwa cha uume au sehemu ya nje **** (vulva)) japo sehemu yoyote ya mwili yaweza...
  11. G

    Mbunge Salome Mwambu (CCM) mahututi Muhimbili

    Amelazwa kwa maradhi ya kisukari na shinikizo la damu (BP).. Hivyo vyote hasa hasa BP inaweza sababisha kiharusi (stroke), na kama yuko ICU most likely atakuwa kapoteza fahamu (moja ya dalili ya stroke).. Kwa mantiki hiyo CT scan inahitajika kubaini kama kuna stroke au la. mbali na ubongo...
  12. G

    Opinio Poll: Je, unaunga mkono mgomo wa madaktari?

    Hili siyo swali la kipima joto
Back
Top Bottom