Search results

  1. mnyawusi

    Uchaguzi 2020 Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) wekeni takwimu za wapiga kura kwenye website yenu

    Wadau wa JF, nawasalimuni nyote. Kwa siku za karibuni nimekuwa nikipitia website ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC kupata takwimu za masuala mbalimbali yanayohusu uchaguzi Mkuu wa mwaka huu 2020. Kwa bahati mbaya sehemu yenye kuonesha takwimu za wapiga kura, takwimu hizo hazipo badala yake...
  2. mnyawusi

    Malkia wa Meno ya Tembo na Wenzake wakutwa na hatia, wahukumiwa miaka 17 jela kila mmoja

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemtia hatiani raia wa China, Yang Feng Glan (66) maarufu kama Malkia wa tembo, na wenzake Wawili baada ya kuridhika na ushahidi uliotolewa na mashahidi kumi na moja upande wa mashtaka Katika mashitaka ya kujihusisha na biashara haramu ya meno ya tembo yenye...
  3. mnyawusi

    Trafiki kituo cha Makumbusho mmehalalisha rushwa?

    Nimekuwa nikipanda daladala mara kwa mara katika kituo cha Makumbusho na imekuwa ni jambo la kawaida kwa askari wa usalama barabarani katika kituo hicho kuchukua rushwa kutoka kwa madereva na makondakta wa daladala zinazoingia kituoni hapo. Ukiwa unaingia kituoni hapo kutoka barabara ya...
  4. mnyawusi

    Naanza kupata wasiwasi kuhusu TBA katika utekelezaji wa Miradi ya Ujenzi

    Nikiri kwamba licha ya Wakala wa Majengo TBA kuwepo na kutekeleza miradi mingi ya ujenzi,binafsi nimewafahamu zaidi baada ya kupewa zabuni ya kujenga hosteli pale Chuo Kikuu cha Dar es salaam UDSM na tukaambiwa kwamba badala ya kutumia makampuni mengine ya ujenzi,serikali iwatumie hawa jamaa...
  5. mnyawusi

    Spika aagiza Kamati ya Maadili ikutane kujadili kauli ya Ole Sendeka inayodaiwa kulidhalilisha Bunge

    Spika Job Ndugai ameielekeza Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge, kukutana, kuchunguza na kujadili kauli ya Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Christopher Ole Sendeka, inayodaiwa kudhalilisha Bunge. Katika ujumbe wa sauti unaosambaa kwenye mitandao ya kijamii, pamoja na maneno mengine, Mkuu wa...
  6. mnyawusi

    Hospitali anayotibiwa Lissu yasema haijapokea pesa kutoka bungeni

    Hospital ya Nairobi hawajapokea fedha za Bunge 43Millions hadi muda huu, hivyo taarifa ya Bunge ni feki iliyotengenezwa kisiasa ili kuzima upepo wa aibu kwa CCM na Serikali yake. Hospitali ya Nairobi alikolazwa Mbunge wa Singida Mashariki na Rais wa Chama cha wanasheria nchini Tundu Lissu...
  7. mnyawusi

    CHADEMA wajibu tuhuma za kufukuzwa waandishi wa TBC

    Kuhusu Mwandishi wa TBC kuzongwa /kuzuiliwa kutimiza wajibu wake. Tumepokea kupitia vyombo vya Habari taarifa za tukio la Mwandishi wa habari wa TBC kushindwa kutimiza wajibu wake Katika Makao Makuu ya CHADEMA. Tunapenda kuweka wazi Kuwa tukio hili halikufanywa kwa maelekezo ya kiongozi...
  8. mnyawusi

    Manispaa ya Kinondoni watendeeni haki walimu

    Tangu mwanzoni mwa mwezi Machi Manispaa ya Kinondoni iliwapa barua za uhamisho walimu wa shule za msingi ukiwa ni utaratibu wa kawaida unaolenga kuboresha utendaji wa walimu hao.Wengi wa walimu hao walihamishwa kutoka shule za mjini mfano Hananasif na kupelekwa nje ya mji mfano Bunju,Boko,Mbezi...
  9. mnyawusi

    Watatu wasimamishwa kufuatia sakata la matumizi mabaya ya fedha za ukarabati wa shule ya Omumwani

    Katibu Tawala Mkoa wa Kagera Diwani Athuman amewasimamisha kazi watimishi watatu wa Manispaa ya Bukoba ili kupisha uchunguzi wa matumizi mabaya ya ukarabati wa Omumwani sekondari. Chanzo: Gazeti la Mwananchi
  10. mnyawusi

    Taarifa ya Maafa ya Kagera kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu

    Baada ya mijadala mingi kuhusu michango kwa waathirika wa tetemeko mkoani Kagera, serikali imetoa ufafanuzi kuhusu michango hiyo. Serikali imesema imeshapokea misaada ya Vifaa, Chakula, Fedha na ahadi zenye thamani ya Sh. bilioni 15.19 kwa ajili ya Wahanga wa Tetemeko mkoani Kagera...
  11. mnyawusi

    Prof. Lipumba ataka suluhu na Maalim Seif

    Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba amesema anawasiliana na wazee na waasisi wa chama hicho Zanzibar ili kutafuta suluhu ya mgogoro uliopo baina ya viongozi wakuu wa chama hicho. Lipumba amesema anaamini kuwa mazungumzo hayo yataweza kuzaa matunda na kurejesha hali ya kawaida ndani ya...
Back
Top Bottom