Search results

  1. M

    Siipendi CHADEMA, naichukia CCM na Wanasiasa

    Matatizo mengi duniani yanasababishwa na siasa na wanasiasa kama ilivyo hapa Tanzania.Ni kwa sababu hii ndo maana siamini ktk siasa.Naichukia sana CDM na siipendi kabisa CCM.Anayeweza kunishawishi kwa vigezo thabiti kwamba CCM ama CDM ndo suluhu ya matatizo yetu nchini na afanye hivyo sasa
  2. M

    Tanzania, Malawi row over Lake Nyasa again

    Great Thinkers, You should trust your government, it is very stable and everything concerning the border conflict over lake Nyasa is under control. Never jump to an issue brother.
  3. M

    PICHA: CHADEMA walivyoisambaratisha Ngome ya Magufuli CHATO

    Nashukuru kwa Dr Lukanima kujiunga na Chadema lkn as far as i know hawezi kuwa kipenzi cha watu wa Chato politically.Personally Dr Lukanima hana tatizo na ni msomi mzuri lakini historia ya baba yake Chato sio nzuri lazima tu itamcost mwanae.Baba yake Mzee Lukanima aliwahi kuwa Meneja wa...
  4. M

    Kikwete umejisikiaje Dr. Ulimboka alivokukatalia kwenda kumuona?

    Akili ndogo kama ya baba yako DHAIFU.Damu za watu zitawadhuru tu siku moja
  5. M

    Hivi profession ya Nape ni nini?!

    Kaka yangu Nape binafsi nimekuelewa vyema na nimefarijika kwa kitu kimoja tu toka kwako KUTUMIA JINA LAKO HALISI HAPA JF.Hata hivyo iwe isiwe unayo kazi kubwa sana kwa nafasi uliyonayo kwa vile Watanzania wa leo wamebadilika sana na uwezo wao wa kupambanua mambo uko juu sana kwa sasa pengine...
  6. M

    Mnyika, La hasha rais Kikwete si dhaifu bali.....

    Muulize hata Waziri Mkuu atakwambia kuwa Rais wetu ni dhaifu tena sana.Nakuomba ufute kauli yako kwamba mkuu wetu wa kaya si dhaifu.Ninachoweza kukubaliana na wewe ni kwamba Rais wetu ni rijali basi!
  7. M

    Baada ya mpango wa kujenga visima kukwama ndani ya Chadema, Sabodo kaja na mbinu mpya

    Ritz komaa na business hizi propaganda huwezi ndg yangu.Kama Nape kashindwa itakuwa wewe? Any way jaribu!
  8. M

    Kwanini Gwanda lisiwe Vazi la Taifa

    Nina wasiwasi na uwezo wako wa kufikiri.Jamii Forum being the home of great thinkers why did you resorted joining it while you know ur not good upstairs-narrow minded.
  9. M

    Kipanya leo!!

    Sio bure,mtu mwenye busara hawezi kukata tawi la mti alokalia lazima kuna msukumo toka nje.Uwezo wa kupambanua mambo umefikia ukomo hivyo tusubiri matokeo ya maamuzi ya kukurupuka.
  10. M

    Mlipuko wa mabomu Nairobi

    Mh! kazi kweli kweli
  11. M

    Unafiki wa serikali huu hapa hebu oneni

    Toa ufafanuzi kidogo plz cause picha hiyo tu bado haioneshi unafiki wa serikali kama thread yako inavyoeleza.
  12. M

    Tanzania imeiva kwa mapinduzi

    Ndg Watanzania wezangu,sasa ni dhahiri kwamba umasikini umetamalaki miongoni mwa jamii na hakuna mwingine wa kumlaumu tofauti na viongozi na serikali legelege na uongozi uliopoteza mwelekeo.Je ipo haja kwa Jeshi letu kuchukua nchi ili kurejesha utawala wa sheria? Lakini pia ni kweli kwamba jeshi...
  13. M

    Mwantumu Mahiza, ana nini? Anasogezwa ikulu japo tulimkataa!

    Kama hujui sifa zake kaa kimya! Wakubwa wengi wanampenda kwa sababu ya ubunifu wake.Kama huamini jaribu uone!:target:
  14. M

    Diwani wa CCM afariki dunia

    R.I.P Diwani
  15. M

    Hawa wanafaa uwaziri mkuu Pinda akianguka...

    Pole sana kwa utafiti wako finyu.Kama wamekutuma kupima upepo basi waambie upepo uvamao sasa ni wa Kusi, ukivuma kutokea mashariki kuelekea Kusini.Inshort Magufuli does NOT FIT and will never fit to become a PM.Ni mtu wa jazba na visasi vya kike na zaidi ya yote ana maamuzi ya kukomoa na...
  16. M

    Kumbe Lembeli anaishi gesti hana nyumba Kahama

    Tuwaache magamba wapalulane sie tujenge cdm yetu.Hongera magamba hiyo ndiyo kasi na nguvu zaidi mliyowaahidi watanzania!!
  17. M

    Kumbe Lembeli anaishi gesti hana nyumba Kahama

    Hizi ndizo gharama za ufisadi,tusubiri 2015 tutajua mengi.
  18. M

    Kilichojiri viwanja vya NMC na hatma ya Jimbo la Arusha Mjini

    Chadema inatisha,kazi kwao magamba
Back
Top Bottom